.Aisee kweli kuna watu wako stone age, na huwez kubishana nao maana hawajui kwa nini USA anachukizwa zaidi na silaha za nyuklia za north korea kuliko za iran.
Kama hakuna mmiliki wa Eneo lililopo huko, waachie Watu wakatalii free waone mwisho wa ardhi ya Dunia!Anasema hawataki twende Antarctica.
Kweli kwa jinsi wanavyotetea eti dunua ni kubwa sana huwezi kuhisi. Basi tetemeko ni kitu kidogo sana kwenye hili gigantic world tusingetakuwa kulihisi kabisaShida ni pale unaweza kusema baiskel inatembea na hatuioni ikiwa katika motion
huwa najiuliza dunia inayozunguka km zaidi ya km9000 kwa saa inawezekanaje tusione ile purukushani sababu ya gravity force lakini tunawez akuliona tetemeko lililo na nguvu kidogo kuzidi ile speed tutaona upepo vimbunga na tsunami lakni sio ile speed kubwa zaidi
daaaa hapo najiuliza tu ila hakuna mwanasayansi wakukujibu kwa uthibitisho zaidi ya theory tu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kweli bwana maana hawaonani...au yanakata kona[emoji23][emoji23][emoji23]kama dunia sio duara korea kaskazini anaitisha vipi marekani na makombora yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina jibu mkuu wanguBaba Swalehe tuambie hapa!
Theory ya rotation of the earth speed yake ni uniform na inachukua saa 24 kukamilisha mzunguko ambao unazalish usiku na mchana. Kama mwendokasi wa Dunia ni Uniform katika mzunguko wake wa saa 24 usiku na mchana unapatikana tafsiri yake ni kwamba saa zake inabidi ziwe pacha. Mchana utachukua saa 12 na usiku saa 12.
Equinox mnasema when the sun crosses the equator! Usiku na mchana unakuwa the same length. Tafsiri yake ni kwamba masaa ya usiku na mchana yanatofautiana kwenye Dunia hii hii ambayo speed yake ni Uniform ambao kila siku unachukua saa 24 kukamilisha mzunguko wake ambao tunapata usiku na mchana.
Ajabu ni kwamba the sun linakuwa overhead at the equator twice per year! Inatokea mwezi March na mwezi September. Hii hali inakuwaje?wakati earth rotates at a uniform speed in 24 hrs siku zote? Kwa nini equinox isiwe daily?
Tupatie majibu msomi.
Hahah akilindogosana yani unalinganisha diameter ya roller coaster, merry go around na diameter ya dunia???
Quantum physics= covers mostly relativistic theories.
Quantum mechanics=covers mostly non relativistic theory.
You got my point??
Sent using Jamii Forums mobile app
Zipo ndege kutoka Australia to US eastwardsHakuna flight Eastwards from Australia to the US! I stand corrected. Jiulize kwanini major airport hubs ziko uarabuni na bara europa!
Sent using Intercontinental Ballistic Missile