The World is a flat plane and not a globe

The World is a flat plane and not a globe

Our past was a lie,they used to live titans gigantics and very large animals species,our ancestors used their own minds and intelligent substances within to figure their immortality ,they survived alot and drew maps through view of their own footage
Ncha maana yake ni ukingo ambao baada yake hakuna kingine kwenye hicho kitu husika.

Na ncha sio kweli kwamba ni imaginary point. Kitendo cha wewe kusemani imaginary point kinaonyesha ukomo wa kujua ukomo wa dunia kiumbile ni wapi.

Unaweza kuthibitisha ukweli wa hiyo ramani hapo juu ? Walitumia vigezo gani kuchora ramani hiyo ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katafute usome kwanza kabla ya kuzodoa msingi wa kujibu swali kwa swali.

Ukizodoa kujibu swali kwa swali, unajionesha ulivyo na msingi dhaifu katika falsafa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwanini usielezee huo msingi wa kujibu swali kwa swali kama ulivomuelewa socrates then tukaenda sawa..

Elezea hapo mkuu
 
Kingo za dunia ni kuta za barafu ukizivuka kuna ardhi inaendelea yani you are getting out of the boundaries of the earth.
Kwa hiyo dunia ina umbo gani...

kama sio sphere kama unavyotuaminisha,, maana yake ni kua kuna mwisho wake

Nichukulie mfano ulivyoweka apo juu kama bakuli.. Je ni bara la artantica tu ndo unaona ndo mwisho wa dunia..??..

Kama yapo wengine.. Mf: south america au hata australia.. Nadhani tungekua tushawai ambiwa kua ukifika sehemu fulani unaona kingo za dunia..

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I

What happens at the peripheral line of your soo called round earth?.. i believe the difference ya round na spherical ni kwamba round is in 2D while spehircal ni 3D.... you are also an architect so you understand my language!.
Professionally I'm not an architect ila I'm fascinated by architecture and engineering. Yes, round is 2 dimensional. At the peripheral line there is a dome, and we as humans can never venture beyond. Refer logo ya UN that is the REAL MAP of the earth. (truth hidden in plain sight)

ISAYA 40:22 SUV
"Yeye ndiye anayeketi juu ya duara ya dunia, na hao wanaokaa ndani yake huwa kama panzi; yeye ndiye azitandazaye mbingu kama pazia na kuzikunjua kama hema ya kukaliwa;"

Kuna videos from youtube nimepost hapo juu, please keep an open mind unapozipitia.

Sent using Intercontinental Ballistic Missile
 
Huo ndio msimamo wangu, na nimewaambia ya kuwa dunia kiumbile ni duara ila kutakana na ukubwa wake na upeo w macho yetu na vitendea kazi tunavyotumia huonekana kama tandiko lililo tandikwa tu yaani tambarale
Dunia ni duara ambalo ni tambarare ila sio mpira unaozunguka jua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una shida kweli, inaonekana hata wewe bado hujawaelewa wenzako vizuri.
- Unasema kwamba vitu vinafall sababu ya density, density equals mass over volume, and we expect different materials to have different densities, Ngoja nikuulize swali.

Y do things fall at the same rate??

Sent using Jamii Forums mobile app
Its only because they are highly denser

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Professionally I'm not an architect ila I'm fascinated by architecture and engineering. Yes, round is 2 dimensional. At the peripheral line there is a dome, and we as humans can never venture beyond. Refer logo ya UN that is the REAL MAP of the earth. (truth hidden in plain sight)

ISAYA 40:22 SUV
"Yeye ndiye anayeketi juu ya duara ya dunia, na hao wanaokaa ndani yake huwa kama panzi; yeye ndiye azitandazaye mbingu kama pazia na kuzikunjua kama hema ya kukaliwa;"

Kuna videos from youtube nimepost hapo juu, please keep an open mind unapozipitia.

Sent using Intercontinental Ballistic Missile
If we cant venture beyond this peripheral line dome, why can a person fly from say tanzania eastwards to Australia. Then from australlia eastwards to the states, then from the states eastwards again to Tanzania..and he does not find this peripheral. . Soo where is this peripheral located.???
 
Kama unaamini dunia inazunguka basi wewe utakuwa ni juha.

Tena wazungu wanakwambia inazunguka 10,000km/h.

Ni mwehu tu ndo wakuamini haya mambo kama aliyeamini binadamu wa kwanza kaishi miaka milion 3.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta sehemu isiyokuwa na matuta, kisha mwambie dereva aendeshe gari kwa speed kubwa, halafu ulale au usiangalie nje, kama utahisi hiyo speed njoo Tena tukueleweshe kuhusu hiyo 10,000km/hr ya dunia

Au kapande ndege kisha utuambie kama unaweza hisi speed yake ukiwa ndani.

Hivyo ndivyo dunia ilivyo, ingekuwa na speed ndogo ungeihisi lakini ina speed kubwa na kwa sababu imekubeba huwezi kuihisi speed yake.
 
This is crap!!!.. kama earth ikiwa flat, nimetoa mfano hai, ukitoka tanzania mmoja akaenda east akapita australlia akarudia south amerika atarudi tanzania, na mwingine akienda west ataanza south america kisha australlia na kuturudi tanzania... iyo flatness inatoka wapi na watu watazungukaje na kurudi walipotoka kama sio duara??
Weka ushahidi hilo unalosema kama limewahi kufanyika.. Hata flight routes za ndege haziko hivyo! Hakuna ndege inayotoka USA kwenda Australia through the Pacific Ocean. Zote zinapitia europe! Ask yourself why

Sent using Intercontinental Ballistic Missile
 
Haiwezekani ndo maana hicho kitu hakijawahi kufanyika kwasababu dunia sio duara.
Dunia ni round. Ushahidi ni kua mmoja anaweza kupanda ndege say from australia, akaenda east, mwingine akaenda west wote mkaja kukutana marekani japo alieenda west atatumia muda mrefu zaidi kwakua ni mbali zaidi..
Sasa mnataka ushahidi gani zaidi????? Kama kitu simple namna hui huelewi.??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapi umewahi shuhudia hii
This is crap!!!.. kama earth ikiwa flat, nimetoa mfano hai, ukitoka tanzania mmoja akaenda east akapita australlia akarudia south amerika atarudi tanzania, na mwingine akienda west ataanza south america kisha australlia na kuturudi tanzania... iyo flatness inatoka wapi na watu watazungukaje na kurudi walipotoka kama sio duara??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
If we cant venture beyond this peripheral line dome, why can a person fly from say tanzania eastwards to Australia. Then from australlia eastwards to the states, then from the states eastwards again to Tanzania..and he does not find this peripheral. . Soo where is this peripheral located.???
Hakuna flight Eastwards from Australia to the US! I stand corrected. Jiulize kwanini major airport hubs ziko uarabuni na bara europa!

Sent using Intercontinental Ballistic Missile
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom