Nadhani tunapishana uelewa wa nia na madhumuni ya Antarctic Treaty mkuu, rudi usome tena from credible sources.
Antarctica ndio bara pekee halikaliwi na watu kwa sababu mazingira si rafiki kuishi. Mataifa hayo walisign treaty kuhakikisha hakuna taifa litakalo-claim Antarctica ni mali yake na kuzuia nchi yoyote kuweka kambi na operation za kijeshi.
Hakuna anaezuiwa kwenda Antarctica, tena kuna scientific expeditions kibao wanaenda kila mara mkuu mpk NAT GEO na Discovery wanaonesha hizi mambo na wanafika mpk kwny geographical south pole. Hakuna ukuta wa barafu sijui hizo dome..... nehi nehi
Sent using
Jamii Forums mobile app