Jua ni dogo kama tochi linalimulika lidunia likubwa ndo maana mwanga haufiki sehemu nyingine sawiaKama dunia ingekuwa flat kama unavyodai basi watu wote duniani tungeliona Jua kwa mara moja na kusingekuwa na kupishana kwa muda kati ya eneo na eneo.
Nilichoka pale jamaa mwansayansi wa Nasa alipoulizwa why now hamuendi mwezini?? Akajibu eti tulidestroy tech iliyotufanya tukaweza kwenda kipindi kile so sasa hivi hatuna nyingine..i was like whatttt? Seriuos????
Nikajua hizi ni kamba tu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kwa jinsi wanavyotetea eti dunua ni kubwa sana huwezi kuhisi. Basi tetemeko ni kitu kidogo sana kwenye hili gigantic world tusingetakuwa kulihisi kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina jibu mkuu wangu
Mimi ni kilaza
The earth is flat
Satisfied ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamfananisha bacteria na mwadamu what kind of logic is this?Hahah akilindogosana yani unalinganisha diameter ya roller coaster, merry go around na diameter ya dunia???
Hem angalia torque Kwenye hivyo vitu na torque ya dunia respectively
Hivi unahisi bacteria aliyetua juu ya ngozi yako anajua unatembea au uko stationary hatakama unakimbia? Kumbuka yeye mkunjo wa ngozi yako anaona kama milima ya everest
Zipo ndege kutoka Australia to US eastwardsView attachment 1336934
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh! Mkuu mbona unaandika vitu vya kubuni yaani jua unasema ni dogo kama tochi?Jua ni dogo kama tochi linalimulika lidunia likubwa ndo maana mwanga haufiki sehemu nyingine sawia
Huyu mwamba ni balaa alikuwa sio mnafiki kama hao wakina newton na aliwachana akawaambia mnachofanya ni kujishushia tu heshima zenu
View attachment 1337012Kama dunia ingekuwa flat kama unavyodai basi watu wote duniani tungeliona Jua kwa mara moja na kusingekuwa na kupishana kwa muda kati ya eneo na eneo.
Yaani jua ndio linazunguka dunia? tena jua ndio dogo kuliko dunia? hiki ni kichekesho 😂😂😂
We unadhan nan apaswa kusema ni uongo kati ya alietoka nje ya dunia akaja na hio prove ama mpuuzi mmoja wa jamii forum ? And ofcourse yes ni nadharia sio something we can see. Same as we can't see air but doesn't it qualify kuitwa nadharia because we don't see it?
Yaani jua ndio linazunguka dunia? tena jua ndio dogo kuliko dunia? hiki ni kichekesho![]()
Naongelea ukubwa wa kitu...kama uko offended basi chukulia binadamu angekuwa na size ya bacteria halafu atue kwenye ngozi ya Ng'ombe...
Nacheka sana, hata wajinga wanapeana tuzo, hili halishangazi.
Ajabu ya watu kama nyinyi, yaani kwa ujinga huu mnapeana tuzo.
Kusema tu uelewa wako ni zaidi ya uelewa wangu, ni ishara ya kuwa wewe ni mjinga.
Wanao jua wanajua, haiwezekani tangu jana huweki hoja zaidi ya kutaj taja majina, na hii ni kazi rahisi sana.
Hujawahi kusikia tuzo za wanamuziki, wacheza mipira na wacheza filamu za ngono ? Sasa ujinga hauishi na huo wakwenu ni muendelezotu.
Hicho kipenyo ni moja ya propaganda ulizolishwa shuleniDuh! Mkuu mbona unaandika vitu vya kubuni yaani jua unasema ni dogo kama tochi?
Kipenyo (diameter) cha Jua ni 1,391,000 km na kipenyo cha dunia ni 12,742 km hivyo kipenyo cha Jua ni mara 109 zaidi ya kipenyo cha dunia vipi Jua liwe dogo kuliko dunia?
Kwa ukubwa huo wa jua ina maana Kama dunia ingekuwa sio duara (flat) Kama mnavyodai basi watu wote duniani tungeliona Jua kwa mara moja kusingekuwa na kupishana muda.
Dunia imekingwa huwezi toka jesus!kuelekea juu View attachment 1337053
Sent using Jamii Forums mobile app
Naongelea ukubwa wa kitu...kama uko offended basi chukulia binadamu angekuwa na size ya bacteria halafu atue kwenye ngozi ya Ng'ombe...
Tatizo LA huju jamaaa theory zake zote anawaza umeme tu ndo maana theory zake zilikuja kuonekana ni uongo, so na wewe umekubaliana na earth sio object