Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,211
- 113,520
je ubaguzi upo. kwani wazungu hawatabiriki.OBAMA ANAWEZA KUANGUKA
Nov. 6 hiyo ndiyo itakuwa kilio cha wengi as if Obama hawezi kushindwa kihalali bila kurusha karata ya ubaguzi.
je ubaguzi upo. kwani wazungu hawatabiriki.OBAMA ANAWEZA KUANGUKA
http://www.washingtonpost.com/blogs/ezra-klein/wp/2012/09/12/the-romney-campaign-gets-desperate/The backlash has been brutal. The Atlantic's Jeffrey Goldberg called Romney's statement a "slander." Time's Mark Halperin tweeted that it was the "most craven+ill-advised move of '12." Josh Marshall wrote that it was "reminiscent of John McCain's rash call four years ago to cancel the presidential debates and the campaign itself to deal with the unfolding economic crisis."
Romney's comments were, to be sure, unusually noxious and indecent. But this is also what happens when campaigns get desperate. Like a gambler who's already lost too much, they begin taking risks in the hope of making it all back. And then, more often than not, they pay the price.
nasubiri utakapoficha uso wako
GOP elector resigns, says she can't support Romney - News - Boston.comOne of the Republican appointees to the Electoral College abruptly resigned from her post Thursday after publicly questioning whether she would support the party's presidential ticket when casting official votes after the November election.
Melinda Wadsley of Ames, Iowa, told The Associated Press that she could not in good conscience vote for party nominee Mitt Romney. Wadsley was among three electors who had told the AP for a story published Thursday that they were exploring alternatives should Romney win their states.
'‘I have always been a straight ticket Republican, and for the first time in my life I am an undecided voter, therefore, I need to resign my position as a Republican presidential elector,'' Wadsley said in an email exchange.
Mbona hicho ki Obama chenu na chenyewe hata hakijui kiseme nini...mara Egypt ni ally...mara sijui sio ally....
Na lini Obama kawakemea akina Keith Olberman, Ed Shuzi na ilk yao? Matusi wewe unayaona upande mmoja tu?
Mnachekesha kweli nyie.
(1) Nategemea uwe mstaarabu iwapo unataka kujadili jambo na kusikilizwa; ukishaanza kuongea "Ki Obama chenu" unakuwa unajishushia hadhi bure kwetru ambao huwa tunakusoma post zako positively.
(2) Pamoja na mapungufu ya statement hiyo hapo ya "Ki Obama chenu", bado unaonyesha pia kuwa hukuelewa tatizo la Romney kwenye skendo ya Rush ni nini. Hilo swali la Obama kutowakemea akina Keith na wenzake, lilitolewa kwa mara ya kwanza na mtu mmoja pale Foxnews kama defense ya Mitt. Lakini ni lazima ufahamu kuwa kulikuwa na tofauti kubwa sana kati ya Rush dhidi ya yule mwanafunzi na hao unaowataja dhidi ya akina Sarah na Michelle, ambao ndio victims wa Keith na wenzake, na wala hawajawahi kuwaita "malaya." Kusingekuwa na tofauti baina yao ni wazi Rush asingepoteza matangazo kwa wingi vile wala asingelazimika kuomba radhi.
Don't underestimate the Chicago political machine.
You wait, I'll get the last laugh.
....08 you said the same BS,na this time it will be worse for your boy flip flopper kuliko yule babu AKA war hero...wont even be close this time.
Niwie radhi ndugu yangu. Najua wewe ni mstaarabu sana hivyo sina budi kuirudisha hiyo fadhila katika mjadala huu na mingineyo hapa jukwaani. Nilipitiwa na ninakiri kosa.
Nashukuru sana kwa hatua hiyo ya kistaarabu; Nyani wewe ni ndugu yangu wa siku nyingi sana tokea kule Darajani
Nikirudia pointi niliyokuwa nasema ni kuwa kweli kuna matusi sana kwenye TV, ila kuna matusi na matusi; yale ya Rush kwa yule binti mtoto wa shule yalikuwa yamezidi mpaka kwa kila kiwango na ilikuwa ni muhimu kwa Mitt kuyakemea kama kiongozi wa kambi yake. Yule binti hakusimama jukwaani kusema aliyokuwa akishambuliwa nayo bali alikaribishwa na congress kama raia wa kawaida tu kutoa testmony yake. Iwapo binti huyo angekuwa ameorganize mkutano wake mwenyewe kama candidate wa kisiasa ni kweli angekuwa treated tofauti. Kwa kumtukana matusi ya nguoni, Rush alikuwa anatishia raia wengine wa kawaida wasitoe testimonies zao kwa congress hata kama hawana political agenda zozote, kwani hawajui Rush atawageukiaje.
Hilo lilikuwa kosa ambalo Romney hakutakiwa kusema fuzzily kuwa "I wouldn't have used that language", badala yake angesema moja kwa moja kuwa "Rush has crossed the line and he, immediately, should stop attacking this young woman."
Niwie radhi ndugu yangu. Najua wewe ni mstaarabu sana hivyo sina budi kuirudisha hiyo fadhila katika mjadala huu na mingineyo hapa jukwaani. Nilipitiwa na ninakiri kosa.
[/video]
Laura ni activist ambaye ana ajenda inayojulikana waziwazi kama ambavyo Ed Schultz mwenyewe, na Rush Limbaugh wanavyojulikana kuwa ni activists. Wao wana majukwaa ya kutolea maoni yao na kujibu maswali yote yanayoelekezwa kwao. Yule aliyetukanwa na Rush hakuwa activist na wala hakuwa na jukwaa lolote la kumjibu Rush. Yaani huoni tofauti hapo ndugu yangu?Mzee, mbona umekwepa kabisa ku address matusi ya Ed Schultz?
Au hayo ya kumuita Laura Ingraham "slut" siyo matusi?
Laura ni activist ambaye ana ajenda inayojulikana waziwazi kama ambavyo Ed Schultz mwenyewe, na Rush Limbaugh wanavyojulikana kuwa ni activists. Wao wana majukwaa ya kutolea maoni yao na kujibu maswali yote yanayoelekezwa kwao. Yule aliyetukanwa na Rush hakuwa activist na wala hakuwa na jukwaa lolote la kumjibu Rush. Yaani huoni tofauti hapo ndugu yangu?
Sandra Kay Fluke (born April 17, 1981) is a Georgetown Law School graduate and women's rights activist
Fluke is a native of Saxton, Pennsylvania, and graduated from Pennsylvania's Tussey Mountain Junior/Senior High School in 1999.[SUP][7][/SUP] She graduated from Cornell University's Program in Feminist, Gender, & Sexuality Studies in 2003. Wikipedia
Je una mtoto wa kike ambaye hajamliza shule? Utajisikiaje iwapo binti yako wa kiwango hicho akikaribishwa na Congress halafu mtangazaji mwenye wasikilizaji wengi kama Rush akasema kuwa binti yako huyo ni malaya bila kumpa hata nafasi ya kujitetea?
Ingekuwa "kubwa kuliko yote ni uchumi" basi Romney angekuwa anaongoza kwenye polls manake umesema yeye ndio anakubalika zaidi kwenye mambo ya uchumi. Central theme yako imepinda.Lakini kubwa kuliko yote ni uchumi,na wakipimwa kwenye hilo,inaonekana kama vile Romney ana upper hand kwani polls zinaonyesha kuwa watu wana imani naye kwenye issue za kiuchumi kuliko Obama.