Romney hana chake,Obama anongoza kwenye polls in all 8 swing states.Its the "Omentun",Romney wali mhumanize lakini wapi.Obama is going all the way.Tusubiri Romney atakuja na gia gani maana kaishiwa hoja.Akibanwa kwenye specifics of what he's actualy going to do,hana jibu,na saa nyingine ana dodge swali kijinga kabisa.Jamaa yuko kama robot,no wonder eti wanataka kumhumanize.What ajoke!Kitakachosababisha Obama ashinde tena kwa kirahisi ni republican wenyewe. Ingawa wanamchukia Obama kwa kila kipimo, wengi wao watampigia Obama kwa kuwa hawampendi Romney, na hiyo itawapa nafasi ya kusubiri uchaguzi mwingine mwaka 2016 kwa vile wakishamchagua Romney watalazimika kuwa naye hadi mwaka 2020, jambo wanaloona kuwa ni mbali sana. Kuna watu wanaonyemelea nafasi hiyo mwaka 2016, mmoja wao akiwa ni Jeb Bush, mwingine na Sarah Palin (and yes, Sarah Palin), kwa hiyo wasingependa kufanya makosa kwa kumpa Romney halafu washindwe kuigombea tena mwaka 2016. Romney alianza kampeini mara tu baada ya kuchaguliwa kwa Obama, na potntiala candidates wa republican walikuwa wanajua jinsi Romney alivyokuwa amejizatiti kuwabomoa wapinzani wake kwenye primaries, ndiyo maana hawakutaka kujiingiza kwenye uchafu wa primary hizo: walioingia wanajua kilichowapata.
Jmushi1, kwanini unaamini kuwa Obama atamshinda Romney?
Demographics za marekani zimebadilika na zinaendelea kubadilika.Nadhani miaka 30 ijayo,wanasema wazungu hawatakuwa majority tena marekani.Pia kimahesabu,Obama anahitaji kura za wazungu kwa asilimia 40 peke yake,hao atawapata kutoka kwenye base yake ya chama cha democrats na some independents..Wabaguzi wapo lakini hawatoshi kumyima kuongoza kwa miaka mingine minne.je ubaguzi upo. kwani wazungu hawatabiriki.OBAMA ANAWEZA KUANGUKA
Nilikuwa naongea na Republican ninayefahamiana naye leo, inaonekana wamekwishakata tamaa wameanza kumulika 2016.Demographics za marekani zimebadilika na zinaendelea kubadilika.Nadhani miaka 30 ijayo,wanasema wazungu hawatakuwa majority tena marekani.Pia kimahesabu,Obama anahitaji kura za wazungu kwa asilimia 40 peke yake,hao atawapata kutoka kwenye base yake ya chama cha democrats na some independents..Wabaguzi wapo lakini hawatoshi kumyima kuongoza kwa miaka mingine minne.
Nilikuwa naongea na Republican ninayefahamiana naye leo, inaonekana wamekwishakata tamaa wameanza kumulika 2016.
Sababu alizonipa ni kwamba Romney hakuwa mgombea anayekubalika ndani ya chama chake. Ndiyo maana mpaka leo anajaribu kuwashawishi Tea Partiers kuwa ni mwenzao, na mkakati huo umewaudhi wale Republicans wenye siasa za kati. Walitaka Governor Bush agombee, lakini kwa sababu ya rekodi aliyoacha kaka yake, asingekubalika. Kwa hiyo wamemtosa Romney licha ya kwamba matajiri wenzake wametoa fedha nyingi kumuunga mkono, anasema hana sera ambazo zinaweza kushawishi wapiga kura kwamba atakuwa bora kuliko Obama. Convention haikumsaidia, na wengi wanaamini kuwa hata debates za Oktoba zitasaidia kumwinua Obama zaidi ya Romney.
Mkuu kama unadhani there's nothing to worry about,fwatilia wanachosema kina Ingram,Oreily na Limbaugh,o! btw and miss Palin as well.Wote wanadai there's something wrong,eti wanaamini Romney alitakiwa awe mbele ya Obama kwenye kura za maoni at least by 5 points.Siyo kwamba tuna overconfidence,ndo reality.Tusubiri debate ya kwanza october 3 ndo utaona atakavyozidi kuachwa mbali.It's funny how overconfident some people are when not even a single vote has been cast yet.
Or maybe I've been living under a rock and the election is already done and over with....maybe.
Wow, what happened Nyani Ngabu, you were dripping confidence sometime back as to who would win! Nevertheless Romney's iota of a chance completely disappeared the day he picked Sarah Palin, oops! I meant Paul Ryan as a running mate.It's funny how overconfident some people are when not even a single vote has been cast yet. Or maybe I've been living under a rock and the election is already done and over with....maybe.
Wow, what happened Nyani Ngabu, you were dripping confidence sometime back as to who would win! Nevertheless Romney's iota of a chance completely disappeared the day he picked Sarah Palin, oops! I meant Paul Ryan as a running mate.
mambo ya election za US ni more green circled sana,it is such a highest political players ground,last time Bush aliamua kuchakachua matokeo ya jimbo la flrida ili tu amalize kipindi chake,this time arround thogh inaonekana obama bado hayuko mbali na mitt,ikiwa kitatokea chocote kitakachobadilisha mambo na kutishia ushind wa obama lolote linaweza likatokea