The US Presidential Elections-2012

The US Presidential Elections-2012

We just need to eradicate malaria mkuu wangu.Ndiyo maana nikatoa mfano wa wa "providing fish vs teaching how to fish",moja ni long term,moja ni short term.

ukimpa samaki,siyo mbaya kabisa,just like nets.Naomba tukubaliane kutokukubalina.

America have eradicated Malaria not through teaching but through public health policies. Tanzania can do the same if policy markers do what they preach.
 
Ndugu Romney amejiharibia kabisa hata ile slim chance aliyokuwa nayo ya kushinda uchaguzi mkuu kwasababu ametoa kauli ambayo nadhani itamcost.Pamoja na kwamba ni mtu asiyeushirikisha ubongo wake wakati anazungumza,hiyo statement aliyoitoa ilirekodiwa kwa siri wakati akiwa kwenye fundrising ya matajiri wakubwa.Ni mtu mwenye kuzungumza kutegemeana na audience aliyonayo kwa wakati huo.

Amesema wazi kabisa kuwa hajali kuhusu asilimia 47 ya wananchi wa marekani,hilo limepelekea wengi kujiuliza kuhusiana na u ftness wake kwenye leadership capacity kama hii ya urais wa marekani.
 
Hotuba ya Bill Clinton na hotuba ya Joe Biden kwa kiasi kikubwa imezidi kumpa Obama nafasi ya ushindi, wachambuzi wa siasa za Marekani wanasema ikiwa kuna wale wenye mawazo huru ambao hawajaamua upande gani wa kupigia kura, basi Clinton amefanikiwa kuwashawishi kujiunga na vuguvugu la kumrudisha madarakani Obama kwa muhula wa pili.
 
Kwenye sera ya afya Romney alikuwa anaponda sera za Obama cha kushangaza Romney kabadili nia na kusema hatobadilisha baadhi ya vipengele vya mpango wa huduma ya afya ulioidhinishwa na Obama, licha ya ahadi zake za mwanzo za kufuta kabisa sheria ya mfumo mzima wa afya "Obamacare"
 
Hotuba ya Bill Clinton na hotuba ya Joe Biden kwa kiasi kikubwa imezidi kumpa Obama nafasi ya ushindi, wachambuzi wa siasa za Marekani wanasema ikiwa kuna wale wenye mawazo huru ambao hawajaamua upande gani wa kupigia kura, basi Clinton amefanikiwa kuwashawishi kujiunga na vuguvugu la kumrudisha madarakani Obama kwa muhula wa pili.

Hamna lolote. O'bummer ataangukia pua Nov.6.
 
Hamna lolote. O'bummer ataangukia pua Nov.6.
Are you aware that so far five Republican Senators have jumped ship, they are now fighting to save their own skin and the only way they can retain a slim chance of survival is by keeping Romney at an arm's length...away from them! Even Romney is now trying his best to stay away from Romney though without much success. In actual fact Obama doesnt need to do anything now...Romney himself is doing it all everytime he opens his mouth and his campaign machine is disintergrating right before his eyes. The first victim of things not going Romney's way is the fallout at the Republican mouthpiece center, Fox News...NSBC has overtaken Fox News in rating!
 
Are you aware that so far five Republican Senators have jumped ship, they are now fighting to save their own skin and the only way they can retain a slim chance of survival is by keeping Romney at an arm's length...away from them! Even Romney is now trying his best to stay away from Romney though without much success. In actual fact Obama doesnt need to do anything now...Romney himself is doing it all everytime he opens his mouth and his campaign machine is disintergrating right before his eyes.

The election is in November and this is just September. Btw, have you seen the latest Gallup daily tracking poll?

The first victim of things not going Romney's way is the fallout at the Republican mouthpiece center, Fox News...NSBC has overtaken Fox News in rating!

Source please.
 
The election is in November and this is just September. Btw, have you seen the latest Gallup daily tracking poll?

Source please.
Have you seen the Fox News tracking poll in swing states...Florida, Ohio and Virginia? O'Ralley laments he cant understand the American people and what's wrong with them! He was just short of calling American voters "stupid"...Romney is not alone there! Nyani Ngabu, Tim Pawlenty has just jumped ship too...he has resigned as Co-chair of Romneys Campaign team!
 
Last edited by a moderator:
The election is in November and this is just September. Btw, have you seen the latest Gallup daily tracking poll?

Source please.

Gallup Poll, Pew Poll, CNN poll, Fox news Poll, Tea Party Poll kila moja anakuja na takwimu zao zinazoofautiana kila siku. Mmoja atasema Obama kamzidi Romney kwa 8 points, wakati mwingine atasema Romney anaongoza kwa 53% dhidi ya Obama. Sasa supposed objectivity ya hizi polls ziko wapi?
 
Have you seen the Fox News tracking poll in swing states...Florida, Ohio and Virginia? O'Ralley laments he cant understand the American people and what's wrong with them! He was just short of calling American voters "stupid"...Romney is not alone there! Nyani Ngabu, Tim Pawlenty has just jumped ship too...he has resigned as Co-chair of Romneys Campaign team!

Polls are all over the place and the good thing about them is they don't count. The only poll that counts is the one on November 6.

As far as Pawlenty goes, it's nothing to fret about. He probably needed to make some money so he had to do what he had to do.

I'm still waiting for the source about MSNBC beating out FOX News in the ratings.
 
Gallup Poll, Pew Poll, CNN poll, Fox news Poll, Tea Party Poll kila moja anakuja na takwimu zao zinazoofautiana kila siku. Mmoja atasema Obama kamzidi Romney kwa 8 points, wakati mwingine atasema Romney anaongoza kwa 53% dhidi ya Obama. Sasa supposed objectivity ya hizi polls ziko wapi?

Hizo zinaitwa opinion polls.

Sasa kwenye opinion polls kuna objectivity gani?
 
Hizo zinaitwa opinion polls.

Sasa kwenye opinion polls kuna objectivity gani?
Hilo swali labda nikuulize wewe unayedai Obama ataanguka kwenye uchaguzi Novemba based on some Gallup Poll for today or maybe yesterday.
 
Hilo swali labda nikuulize wewe unayedai Obama ataanguka kwenye uchaguzi Novemba based on some Gallup Poll for today or maybe yesterday.

Obama kushindwa ni opinion yangu mimi na haihusiani na opinion poll yoyote ile.
 
Polls are all over the place and the good thing about them is they don't count. The only poll that counts is the one on November 6.

As far as Pawlenty goes, it's nothing to fret about. He probably needed to make some money and he had to do what he had to do.

I'm still waiting for the source about MSNBC beating out FOX News in the ratings.

How objective are so-called "TV ratings" anyway? Mind explaining?
 
Bwa ha ha ha.....kumbe ni kwa siku mbili tu!

Last night, for the second night in a row, MSNBC beat Fox News in primetime (8-11pm) in the key adults 25-54 demo. On Monday MSNBC averaged 471,000 demo viewers to Fox News Channel's 469,000. On Tuesday, MSNBC drew 575,000 demo viewers, to FNC's 526,000. We will have the full ratings numbers in The Scoreboard a little later on.
The number one show in the demo on cable news is always, always "The O'Reilly Factor" unless there is some sort of unusual news event or huge booking.
 
Back
Top Bottom