jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,375
- 25,453
- Thread starter
- #101
Ni uchumi,lakini other things are unfolding!Kwa mfano Romney mwenyewe anavyojinasibisha na uwezo wa kutoa maamuzi sahihi kuhusiana na siasa za middle east,pia uchumi,bado kuna mambo ambayo yanaelekea in a positive way,jobs where created,just last month labor dept wametangaza!hata kama hazikufikia level waliyoitaka,(unemployement still is high),lakini its a step given the magnitude of economic crisis,feds wametangaza stimulus package nyingine,hilo limefanya markets zikareact in a positive way,hata s&p 500 imepanda juu kwa mara ya kwanza toka 2007,na more jobs will be created,hayo ni mambo yanampandisha Obama chati kwenye kuhusu uchumi,so fwatilia yaliyobandikwa humu usome,kuna links pia,soma!soma btn the lines!halafu uchanganye na zako.Its the economy stupid,Wamarekani siyo wajinga.Ingekuwa "kubwa kuliko yote ni uchumi" basi Romney angekuwa anaongoza kwenye polls manake umesema yeye ndio anakubalika zaidi kwenye mambo ya uchumi. Central theme yako imepinda.
Badala ya kuuliza kwa madharau kuiponda hii thread,unaweza ukawa msomaji tu mkuu na utakuta majibu kutokana na maswali,ama uliza kiustaarabu kama mtu aliyekomaa akili.Ukishindwa kufanya hayo,basi unaweza anzisha thread ya kwako iliyonyooka.It is that simple kuliko kuwa childish kutaka kuharibu thread.Sitokujibu tena.