Nyani Ngabu ana roho ngumu...yaani hakuona hata Romney alivyonywea mwisho wa mdahalo! Romney's "Binders full of women" itamtafuna hadi akose usingizi.
They are happy and are going to have a peaceful sleep like me:-
But we caught him on his lies. Unlike the first debate.
kiukweli mimi sijui maana sijasikia wala kuona kama matokeo ya early yameshatangazwa na nijuavyo kila kitu hujumlishwa na kutangazwa siku ya uchaguzi. Au wewe mwenzangu unajua?
kusutwa tena? Sikujua Obozo ni mwimbaji wa rusha roho. Na Romney did just fine for he didnt have to do much compared to Obozo who was an umitigated disaster in the first go round
Wewe Nyani, waswahili wanamsemo kuwa UJANJA SIO KUWAHI BALI KUFIKA ; talk about the second debate not the first!!
Mmmhh, una kazi? Yaani wenzio wote wameona jinsi bepari la Kimarekani Mitt Romney lilivyododa kwenye mdahalo lakini wewe peke yako ndiye unayesema bepari alikuwa "sawa". Si ajabu wewe ni mwanachama wa Magamba ambayo kwao uongo ndio ukweli na wala hawahangaiki kutafuta ukweli maana ktk maisha yao yote uongo ndio imekuwa taaluma yao ya kuwapatia ugali! Kazana Nyani, fainali ni Nov 06.Na wazungu husema first impression is (always) the last impression. Obozo kajitutumua kwenye mdahalo wa pili lakini hajashinda. The Odamage was done in the first debate.
Mmmhh, una kazi? Yaani wenzio wote wameona jinsi bepari la Kimarekani Mitt Romney lilivyododa kwenye mdahalo lakini wewe peke yako ndiye unayesema bepari alikuwa "sawa". Si ajabu wewe ni mwanachama wa Magamba ambayo kwao uongo ndio ukweli na wala hawahangaiki kutafuta ukweli maana ktk maisha yao yote uongo ndio imekuwa taaluma yao ya kuwapatia ugali! Kazana Nyani, fainali ni Nov 06.
wenzangu wote kina nani?[/QUOTE
Kwani humu umekuwa ukibishana na akina nani? Huwajui?