nitonye
JF-Expert Member
- Dec 18, 2011
- 7,349
- 3,904
Mkuu hivi mdaharo umeanza saa ngapi?
Umeanza saa 4:00 ya alfajili kwa saa za afrika mashariki. Yaani Obama yuko juu sana
Mkuu hivi mdaharo umeanza saa ngapi?
well tutaona maana waja humu hupata orgasm kutokana na vi opinion polls ambavyo havi count kwenye siku ya siku
poa tutaona mwana....hivi juu ya zile big three states nani anaongoza kwa wale ambao tayari wamepiga kura
Obozo kushnehi
lakini kuna kauli aliitoa alipokuwa huko..
You wish. Did u see how nervous Romney was today?
thats just a figment of your imagination!