The US Presidential Elections-2012

The US Presidential Elections-2012

Hatimaye Obama, kafanya kile kilichotegemewa na wafuasi wengi wa Democratic alipojibu na kurihizisha fitna uongo na hila za mpinzani wake Romney kwamba hazina ukweli

sidhani kama umeangalia mdahalo na kama umeuelewa! mdahalo wa leo hakuna clear winner wala clear loser maana sana sana tumeshuhudia malumbano na interruption huku Obama akionekana kukosa uvumilivu kwa kuinuka mara kwa mara bila idhini ya moderator! anyway kuna mdahalo wa mwisho kuhusu Foreign policies tunataka kujua candidates wote wawili wana mtizamo gani kuhusu Africa kiuchumi kisiasa na demokrasia, pia swala la Iran, korea kasakazini, Syria,china na urusi!
 
"Please proceed Governor" Obama said

"He did in fact, sir, call it an act of terror," Crowley said.

"Can you say that a little louder, Candy?" Obama joked.

"He did call it an act of terror," Crowley repeated.

Surely, this Candy Crowley will never be offered a job at Fox News.

Oh! And I just checked the right wing blogs, they're taking so long to update their posts. Facts checking?
 
There was no clear winner dude, hii ndo comment niloisikia kwa matangazaji isipokuwa tunachoweza kusema ni kuwa compared to last debate, this time around Obama has improved. Msilete siasa za kitanzania hapa!!!!
 
There was no clear winner dude, hii ndo comment niloisikia kwa matangazaji isipokuwa tunachoweza kusema ni kuwa compared to last debate, this time around Obama has improved. Msilete siasa za kitanzania hapa!!!!

hahaa waambie wewe labda
 
Yeeeeeessss he nailed it man, our home boy Obama he did it..... yeeeeeeeeeeeesss.....!!!! What a moment...!!!
 
Duh! Nimeangalia huo mdahalo ila nimeambulia machache sana, sekondari kata chuo kata vimeniathiri

Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Nakuunga mkono kuwa hilo ni tatizo kubwa sana.
 
Mweh! Watu kila mkimwona Obozo mna orgasm tu hata kama perfomance yake ni ya kawaida

Go & help huyo Romney LIAR ur defending.... kamuulize kalitaka KULIA LEO.... anang''ata meno tu kawa mwekundu like pig on sun..... Chezea mjaluo ww....!!!
 
ukweli romney kagaragazwa ile mbaya. Kwanza jamaa ni muongo halafu hana kumbukumbi pili mambo yote anayoyazungumzia hajatoa concrete plan au roadmap ya namna ya ku-achieve

hongera sana obama
 
Back
Top Bottom