The US Presidential Elections-2012

The US Presidential Elections-2012

Mkuu nadhani una short memory au selective amnesia...

Nadhani umesahau speech alizotoa Obama previously mfano "A More Perfect Union" kipindi kile walivyomzonga kuhusu Pastor wake..., na hii speech alikesha mwenyewe anaandika mpaka usiku wa maneno (sio mtu wa kuandikiwa) na his two best selling books shows that the gentleman can write

Unajua there is a thin line kuonekana assertive na strong na kuonekana a bully.., nikupe mfano mdogo kwenye primaries Hilary baada ya kushindwa na Obama before kwenda kwenye state nyingine (I can't remember which one) Hilary alionekana emotional na akatoa machozi (ajabu ni kwamba watu walimuonea huruma na the next state akashinda).. kwahio kumbuka kwenye first debate Obama alikuwa na ammunition (mfano ile clip Mitt aliyoonekana anaongelea 47% watampigia kura Obama sababu wanapenda dezo) angeweza kutumia hio lakini kwanini hakutumia ? (utaona kwamba ni kuogopa kuonekana bully au kuonekana ni mtu wa gutter politics) ninakubali kwamba maybe ilikuwa ni miss-calculation lakini sometimes you can not predict reaction ya watu

Sasa unavyosema ni master teleprompter reader (ni kwamba debate ya kwanza iliharibika na leo ndio imetengenezwa au ?)

mfano wa master orators ni MLK, Winston Churchill lakini si Obozo msoma prompter asiyejua hata kutamka navy corps man
 
mfano wa master orators ni MLK, Winston Churchill lakini si Obozo msoma prompter asiyejua hata kutamka navy corps man
Its a matter of mtizamo wa mtu.., naona hapo umetaja wote ambao wamekufa, and the debate if Obama was better than them is a different ball game alltogether lakini kwa mtizamo wangu Baraka Obama, pamoja na kina Abraham Lincoln, Martin Luther n.k. wote have one talent in common and that is using words...

Lakini tukirudi kwenye mada husika na sentensi yangu ya kwanza kabisa kwamba when it comes to oratory, speeches and debates Mitt comes a far second in comparison with Obama.. (I guess hapo tutakubaliana)

and Obama might have a lot of weaknesses but oratory ain't one of them.. infact it might be one of his biggest assets...
 
mnaohangaika ni nyinyi mnaojiaminisha kuwa Obozo kashinda wakati wametoka ngoma droo.
Ila naelewa. Mnaona kashinda kwa sababu threshold ni ile catastrophic perfomance ya debate ya kwanza ambayo ndiyo ina matter zaidi

You can't even sleep, usiku kucha upo JF. Go and find a life MittFlip.
 
kama unadai obama kamfunika sana gavana kwenye hii debate je kwenye debate ya kwanza gavana alimfanya nini obama?

We are moving forward and not going backward. Grow up son of Pastor Wizzard MittFlip Robme.
 
attachment.php
 
Ask this Pastor Wizzard MittFlip Robme how many women employee he had or has in his Corporation and what is their SALARY/wages. Then you will see how "ROBME" VIEW women and access their ability in performing . He for sure "a WOMAN HATER", I am not sure HOW he treats his own WIFE "a WOMAN".
 
Bill Clinton and George H.W. Bush answer a question on the recession during the second presidential debate of 1992.

This video shows how to lose and win an election inside four minutes.

 
Last edited by a moderator:
Romney is right to be talking about job creation and families considering the unemployment rate, but his record in the private sector are one of job destruction. Romney’s company, Bain Capital, was in the business of buying up distressed companies, running up debt, slashing them to bits, and then selling them off, resulting in lots of job losses:
Some facts while Mitt was at Bain Captial

– In 1992, the firm acquired American Pad & Paper. By 1999, two American plants were closed, 385 jobs had been cut and the company was $392 million in debt. The next year, Ampad was forced into bankruptcy.
Some facts while Mitt was at Bain Captial
– Bain Capital and Goldman Sachs bought Dade International for about $450 million in 1994. The firm quickly fired or relocated at least 900 workers. Over the next several years, it sunk increasingly into debt and laid off 1,000 workers. In 2002 — it filed for Chapter 11 bankruptcy protection.
Some facts while Mitt was at Bain Captial
– A 1997 buyout of LIVE Entertainment for $150 million resulted in 40 layoffs, roughly one in four of the company’s 166 workers. The job cuts affected all aspects of the company, from production and acquisition to legal and public relations.
Some facts while Mitt was at Bain Captial
– In 1997, Bain bought a stake in DDI Corp., a maker of electronic circuit boards. Three years later, Bain took the company public and collected a $36 million payout. But by August 2003, the company filed for bankruptcy protection, laying off more than 2,100 workers.
Some facts while Mitt was Governor of Massachusetts
– While Mitt was the Governor of Massachusetts, Massachusetts was rated 47 out of the 50 states as far as job creation and he relocated jobs overseas to India.
 
Chezea angalia gall up poll.mbakuwa in denial for what .Big bird will come to rescue Obama .he is the worse president USA ever see .he can't run his own record,
He is too liberal .How can a socialist run capitalist country.Romney looked like a capitalist and we loved it .obama is moving back to Chicago .Liberal idea have failed always .

Wabeba box man kelele sana
 
Romney amejitokeza hadharani na kuitetea Israel, amesema wazi hapendezwi na hatua ya Obama kutokua bold yanapokuja mambo ya Israel, Kauli ya Obama kwamba Israel ni moja kati ya marafiki wakubwa wa marekani ni kushusha hadhi uhusiano wa Marekani na Israel, Romney anasema Israel sio moja kati ya marafiki wakuu ila Israel ni rafiki mkuu wa Marekani.

Kwa mwendo huu ninaona kwamba Romney amegundua Siri, Pamoja na mengi aliyofanya Obama, Kitendo cha yeye kujiweka mbali na yanayowasibu Israel, wapendwa wa Marekani kutamnyang'anya Urais.

second debate is game changer?

The Ed Show
 
second debate is game changer?

The Ed Show

It might be, third debate next monday, will be 90 minutes of foreign policy, i bet the iran will be the dominating topic, israel will have their ears all open, obama must come out sharp and clear about red lines otherwise this issue is going to hunt him
 
Back
Top Bottom