Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,101
- 136,758
leo alikuwa down sana..maana kila alichosema leo jaluo alikuwa makini kumkumbusha maneno yake aliyosema siku za nyuma amabayo hayaendani na anachosema leo...hicho ndicho kimemfanya awe down sana..kuumbuliwa na kusutwa noma!!
kusutwa tena? Sikujua Obozo ni mwimbaji wa rusha roho. Na Romney did just fine for he didnt have to do much compared to Obozo who was an umitigated disaster in the first go round