Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,005
- 142,599
leo alikuwa down sana..maana kila alichosema leo jaluo alikuwa makini kumkumbusha maneno yake aliyosema siku za nyuma amabayo hayaendani na anachosema leo...hicho ndicho kimemfanya awe down sana..kuumbuliwa na kusutwa noma!!
kusutwa tena? Sikujua Obozo ni mwimbaji wa rusha roho. Na Romney did just fine for he didnt have to do much compared to Obozo who was an umitigated disaster in the first go round
safari hii rep mmechagu mgombae mwongo sana....lile swali aliloulizwa juu ya tofauti yake na bush umeona alivyojibu??? obama alipokuja kujibu amempa tofauti ngapi?...kwa kifupi jamaa kapotezwa leo
thats just a figment of your imagination!
Nyani,
I am having a peaceful sleep tonight. Obama just washed clean Romney's lies today.
Nyani,
I am having a peaceful sleep tonight. Obama just washed clean Romney's lies today.
wewe hata debate ya kwanza uliona O kashinda lol