The US Presidential Elections-2012

The US Presidential Elections-2012

hahahah.romney kataja tofauti moja kati ake na bush lakini jaluo anamtaji tofauti zao kama 4 hivi!! leo kajipanga
 
kwi kwi kwi kwi kwiiii
 

Attachments

  • usingizi.jpg
    usingizi.jpg
    11.8 KB · Views: 95
swali kwa jaluo

whay have you done to earn my vote in 2012?

jaluo ananza kwa kutaja alichofanya tangu aingie madarakani ili kumshawishi jamaa ampigie kura muhula huu...kifo cha osama, ajira, mamabo ya health care..ni baadhi ya mambo anayotaja.
 
Update ni kwamba maswali yanayorejesha uovu na uhovyo wa George Bush yanazidi kumwandama Romney huku Obama akitumia mwanya huo kueleza alivyochukua nchi ikiwa inakaribia kudondoka kiuchumi kutokana na sera mbavo za Bush na Republicans. Sijaangalia kura ya maoni maana hawajatoa. Ila ukiangalia hata uso wa Romney unaona kushindwa dhahiri. Romney ameanza hata kulaumu watu bila kufikiri.
 
Watu wasio na makaratasi wamekunwa na Obama ingawa sasa Romney anajifanya kuwakumbatia kwa kusema eti anataka legal immigrants siyo akina yakhe ambao nchi yetu inatunyima pasi za kusafiria. Hapa najua Latino hawampi hata ushuzi.
 
Kuna sehemu moja hivi: mdada mmoja undecided alikuwa anastruggle kuuliza swali kwa Romney, Romney akawa anamuandgalia tu: Obama akampa moyo akamwambia: You are doing great! Hope kwa siasa za Marekani na hawa wazungu walivyo obama kachukuwa hiyo kula ya hiyo mrembo. Obama mjanja sana.
 
swali kwa romney

what do you plan on doing for immigrants working in this country?...

gavana anaanza kupondo sera za obama juu ya wahamiaji lakini jaluo anampa somo hapa....
 
swali juu ya benghazi kwa jaluo

who dienied enhanced security in benghazi for diplomats?
 
jaluo anasema wale wate aliofanaya mauaji huko bengha watkakamatwa na yeye huwa anasimamia anachosema kama alivyosema juu ya osama .... romney anaingia kujibu kwa kuanza na kauli yake kkuwa obama hakujali mauaji yalipotokea maana siku balozi anauawa yeye alikwenda kwenye fund raiser
 
Kweli Obozo alienda kula good time na ku fundraise huko Vegas siku hiyo
 
swali kwa jaluo..what has you admin done to control assult weapons?...jaluo anaanza kujibu kwa kueleza namna gani amepambana na hiyo kitu na kwa vipi anatarajia kupambana nalo kama atachaguliwa...
 
Back
Top Bottom