Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
Utajua tu,mwili sometimes hauna hamu,mke yuko kwenye siku zake nkSawa lakini utajuaje hamjavuka kipimo kama hamna ishara za kuwongoza?
Mi naona ratiba italeta resentment hivi,bora mfatishe miili inatakaje,km unataka mwenzio hataki unamsaidia apande and viceversaTatizo la kujisikia mara nyingi mnatofautiana. Unapotaka yeye hajisikii na hivyo hivyo kwako.
Ratiba inapunguza manunguniko yasiyo ya lazima.
Ushaanza mambo yako, yani nimecheka ulivyoshangaa hahahaKhaaa hivi ninyi mnaosema anytime mkishikwa na hamu mnapangaje uzazi?
Hujambo mjukuuUshaanza mambo yako, yani nimecheka ulivyoshangaa hahaha
Sijambo, shikamoo bibi (mfyuuu kupenda ukubwa)Hujambo mjukuu
Ndo ushanipa shikamoo tena ushike adabu yakoSijambo, shikamoo bibi (mfyuuu kupenda ukubwa)
Mara moja tu? Nitakuwa mlemavu wa mahaba.Utastuliwa mara moja kwa wiki utaenjoy zaidi!
Inabidi atii ratiba siyo saikoloji
Nadhani mara3 kwa wiki ili kuleta ile kumisiana kuongeza utamu lol
Ila sio kwamba ndio sheria,ninapojiskia anytime au mwenzangu anapojiskia muda wowote hatuna budi kufanyana.
Aww mie zaidi baba mpole... Mambo niajeI miss you Valentina🙂
Aww mie zaidi baba mpole... Mambo niaje
Okey ngoja nikazane this time ukute nyama zimeongezeka kidogoAhsante. Nitakuja Atown later this month. Nitakutafuta.

Teh!Kila siku, hamkuoana kulala bana
Hii hutokea kwa mwanaume wakati amestukiwa ametoka kwa mchepuko. Hakawii kusema leo sijisikii vizuri.Swali la kizushi kwa waliooa na kuolewa tu:-
Mwanaume akisema nataka mwanamke anaweza kusema leo sijisikii vizuri, kwa hiyo game inaahirishwa au inalazimishwa hivyo hivyo mtu amenuna.
Je ni mazingira gani mwanamke akisema nataka mwanaume anaweza kusema sijisikii vizuri? Au hii inaapply upande mmoja tu!
mimi mchaga wangu ananitaka niweke appointment kwanza na wakati mwingine inabidi nitengeneze mazingira ya kutoa hongo! ndio mechi ya kirafiki ifanyike kinyume na hapo mechi itahairishwa au mechi ya kibabe ifanyike.
