Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,076
- 6,774
Kupanga ni kuchagua
mtu asiniwekee ratiba nikiitaka najiwekea
Kupanga ni kuchagua
Umekuja kimtindo Mkuu hahahhh. Hiyo haina ratiba maalumu ni wakati wowote as long as mpo faraghaKujamiana ni tendo lililobarikiwa ndani ya ndoa lakini upo utata mkubwa wa mjamiaane mara ngapi kwa wiki au mwezi.
Wako wanaoona hakuna formula ila mjisikiiapo lakini pia Tupo tuonapo siyo suala la kujisikia tu bali ni kujinyima pia
Mara nyingi hupunguza ubora na thamani ya tendo lenyewe na mara chache mno huwaweka mbali kihisia wanandoa.
Je uonavyo yafaa iwe mara ngapi na kwa nini?
Karibu
Big point lakini watu wanaitumia hiyo kitu kuwadhibiti wapenzi waoHamna haja ya kuwa na ratiba, ila ni bora na muhimu sana kuhakikisha mnaifanya walau mara moja kwa wiki. Kwa wana ndoa ambao bado wachanga, inafaa kila siku walau mara moja kwa miaka miwili ya kwanza. Mnapiga breki pale mke anakua kwenye siku zake.
Lakini kadiri miaka inavyokwenda ndivyo mnapunguza hadi mnaishia kwenye moja au mbili tu kwa wiki, hiyo ni wakati mpo kwenye zaidi ya miaka kumi ndani ya ndoa.
Cha msingi, mwanaume usije kumnyima mkeo wakati anajiskia, akitaja tu hapo usisubiri chochote, muonyeshe upo tayari. Jaribu kula vitu vinavyokupa nguvu, haswa mbegu za mlonge na maboga, pia tikiti maji, binafsi vimenisaidia sana miaka mingi kwa mke wangu.
Umekuja kimtindo Mkuu hahahhh. Hiyo haina ratiba maalumu ni wakati wowote as long as mpo faragha
Teh! Teh! Teh!mtu asiniwekee ratiba nikiitaka najiwekea
Kiboko weweIkisimama panda, ikilowa chomeka no time table. Period
Noted with thanks. Mkiisha anza kupeana migongo na kuchokana basi utajua umuhinu wa mipangilio kupunguza hoja za kuwe pana.haitakiwi kuwe na formular,siku yoyote,saa yoyote na mahali popote ili mrdi kuwe na faragha....!
Kila siku, hamkuoana kulala bana
Tuko pamoja lazima kila kitu kwa kipimoSi ndio hapo, waafrika kila siku wanawaza ngono.
Lile tendo ukipiga kila siku lazima magoti yafe na kunenepiana kwa wingi.
Kisayansi Ni Mara tatu kwa wiki.
Mtu upo nae kila siku rafu za nini.
Wengi walio comment huku hawajaoa
hivi vitu vinategemea
1. ntu na ntu
2. lishe
3. saikolojia
4. Umri
etc
Hivi huwa unasahau ela ukawaza hiyo makitu!Zikipanda tu hapo hapo hakuna formular
Ndiyo nikipata hela nawaza hiyoHivi huwa unasahau ela ukawaza hiyo makitu!