Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
- Thread starter
- #81
Utaambiwa naumwa au nimechoka au sijisikiiTendo la ndoa halina ratiba hata saa tisa usiku kama umezidiwa muombe mwenzio kwa ustaarabu mpige mechi.
Msinyimane
Utaambiwa naumwa au nimechoka au sijisikiiTendo la ndoa halina ratiba hata saa tisa usiku kama umezidiwa muombe mwenzio kwa ustaarabu mpige mechi.
Msinyimane
Hongera zako kama yuko hivyo. Wengi ni kinyume chakeYaaani baada ya kuoa au kuweka mwanamke ndani hilo tendo kila muda nnapojiskia wife lazima atoe,hata akiwa anapika mi nikiamsha tu hisia zangu hapo hapo lete mchezo.Haya sio mambo ya kum bembeleza tena ni anytime is teatime twende kazi,Kwa ufupi ni kila siku na kila muda awe tayari haiwezekani nilale nae usiku wote nna hisia za mapenzi jogoo amesimama niumie tu ye yupo pembeni anakoroma?Haamna ni mkwaju tu daily.
I like this mikwaju yenye ukokotoajiMmmmmmhhhhhh yangu macho ila mm itakuwa Mara nne kwa wk kwa mwez Mara 16
Inabidi atii ratiba siyo saikolojiUbaya wa ratiba, ni iangukie siku/wakati mmoja
wenu hayupo kwenye zone psychologically. Ndio mwanzo wa drama.
Unapita wapi toa oniLoya mie ninepita tu....
Haswaa...Siyo suala la mara ngapi suala ni hamu kwa mkeo/mumeo na muda kama unaruhusu. Kama hata mnafanya kazo karibu na nyumbani na hakuna bughudha unaweza kumpigia simu mwenzio na kumwambia mwende "mkashitue"! Kwanini mpange muda wskati kila mmoja ana uhuru na mwili wa mwenzie ndiyo chanzo cha kuenda kuiba nje kama muda haujafika!!!
Ninaafiki hili.Nadhani mara3 kwa wiki ili kuleta ile kumisiana kuongeza utamu lol
Ila sio kwamba ndio sheria,ninapojiskia anytime au mwenzangu anapojiskia muda wowote hatuna budi kufanyana.
Mmmhhhhh wengi hawapelekeshwi hivyoHaswaa...
Teh! Teh! Teh! Ni wetu sote kwani Mume na mke wakiungana si damu mojaUmeona eeh,mnaeza jifanya watu wa ratiba then vikiwapanda mnafanyaje? Mtaangaliana msubiri siku ya ratiba!
Afu ujue tumevamia Uzi ulikua unawalenga wanaume![]()
Wow you can shout this again and never walk alone!Wasitubague mwee .. Utafikir siyo hatunaga genye
KumbeeeeeeUtamu wa dushe uwe kama unaiba hivi au kama hutaki ndiyo unoga
Umri unamata sana mkuu, newlyweds huwezi kuwalinganisha na waliopo ndani kwa miaka 20.Umriiiiii ondoa
Mkuu wacha nifie kwny kinenaHujui mwili naona huchoka na kuna kuchokana pia halafu kwani umeambiwa huo ni mlo Akiukosa utakufa?
Mmmh, Khantwe sio kila mkinjunjana lazima kijibu...lol. Zipo njia nyingi, ila wengine tunatumia "withdrawal" na hatujawahi kukosea. Condom kwa wanandoa naona sio option, anyway kwangu sio option kabisa.Khaaa hivi ninyi mnaosema anytime mkishikwa na hamu mnapangaje uzazi?
Mmmh, Khantwe sio kila mkinjunjana lazima kijibu...lol. Zipo njia nyingi, ila wengine tunatumia "withdrawal" na hatujawahi kukosea. Condom kwa wanandoa naona sio option, anyway kwangu sio option kabisa.
hiyo unaweza kweli? Manake nasikiaga mnasema eti ngumu sana. Wewe kama unaweza basi hongeraWewe huwezi?![]()
![]()
![]()
hiyo unaweza kweli? Manake nasikiaga mnasema eti ngumu sana. Wewe kama unaweza basi hongera
