Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
- Thread starter
- #61
Hujui mwili naona huchoka na kuna kuchokana pia halafu kwani umeambiwa huo ni mlo Akiukosa utakufa?Mara 7 kwa wiki
Hakuna kuchokana, inategemea upenzinwenu kwenye hilo tendo, kama mnafikishana hako kamchezo kanafanyika hata kila baada ya masaa 8... Asubuhi jioni usiku....Too much hamtachokana kweli?
Labda wamaanisha kuchokana na kuanza kupeana migongoAny time is time. inamfanya mwenzio akuzimie.
Hapa unaongelea ndoa za Dar au Mkoa? Be specific
Hakuna kuchokana, inategemea upenzinwenu kwenye hilo tendo, kama mnafikishana hako kamchezo kanafanyika hata kila baada ya masaa 8... Asubuhi jioni usiku....
Hivi kuna ndoa za Dar na za mikoa sikujua hilihahahahahahahahahahaha
Tatizo ni mara chache hupanda pande zote kwa wakati mmoja Inahitaji compromiseKabisa ya nini kujibana bana bwana! Vikipanda anytime tunaingia uwanjani
Hata mmojawapo vikimpanda sio mbaya kumuambukiza mwenzieTatizo ni mara chache hupanda pande zote kwa wakati mmoja Inahitaji compromise
Tatiz lenu ni unafiki ili muone kama hamhitaj kumbe wakati ni gheresha tupu!Hapo chacha. Au wanadhani bado tuko karne ile ya kusubiri baba chanja aanze kuomba game
Mara nyingi hutoa kwa shingo upande na kutia mikwara ya hapa na paleHata mmojawapo vikimpanda sio mbaya kumuambukiza mwenzie
Umriiiiii ondoahivi vitu vinategemea
1. ntu na ntu
2. lishe
3. saikolojia
4. Umri
etc
Asa unafiki wetu ukwapi?Tatiz lenu ni unafiki ili muone kama hamhitaj kumbe wakati ni gheresha tupu!
Ukimlengesha vizuri atatoa ushirikiano wa kutosha lakiniMara nyingi hutoa kwa shingo upande na kutia mikwara ya hapa na pale
Hapa unaongelea ndoa za Dar au Mkoa? Be specific
Kuna tofauti hapo?Hapa unaongelea ndoa za Dar au Mkoa? Be specific
Ingelikuwa ni rahisi hivyo basi mikwaruzano ingelipungua mnoUkimlengesha vizuri atatoa ushirikiano wa kutosha lakini
Ushirikiano huo hupungua sana baada ya mama kuona kazi ya kuzaa kamalizaSiyo suala la mara ngapi suala ni hamu kwa mkeo/mumeo na muda kama unaruhusu. Kama hata mnafanya kazo karibu na nyumbani na hakuna bughudha unaweza kumpigia simu mwenzio na kumwambia mwende "mkashitue"! Kwanini mpange muda wskati kila mmoja ana uhuru na mwili wa mwenzie ndiyo chanzo cha kuenda kuiba nje kama muda haujafika!!!
Dalili za kubaka nazionaMwanaumr ukiendekeza utabaki kama moja, tumia kwa hamu basi inamaana ukipata hamu tosha..
Una uhakikaHiyo suala inategemea na unavyoishi na mkeo kiujumla halina kanuni kama hesabu ni suala la kijamii