The Tricky Question: Mara ngapi na mkeo?

The Tricky Question: Mara ngapi na mkeo?

Swali la kizushi kwa waliooa na kuolewa tu:-

Mwanaume akisema nataka mwanamke anaweza kusema leo sijisikii vizuri, kwa hiyo game inaahirishwa au inalazimishwa hivyo hivyo mtu amenuna.

Je ni mazingira gani mwanamke akisema nataka mwanaume anaweza kusema sijisikii vizuri? Au hii inaapply upande mmoja tu!
Wanawake ni wabinafsi sana
 
Swali jepesi sana. Kwa mwanaumme wakati wowote ni wakati wa chali kwa hiyo hakuna visingizio hapo just toa huduma inayohitajika.
 
mimi mchaga wangu ananitaka niweke appointment kwanza na wakati mwingine inabidi nitengeneze mazingira ya kutoa hongo! ndio mechi ya kirafiki ifanyike kinyume na hapo mechi itahairishwa au mechi ya kibabe ifanyike.

TehTeh! Teh! Hongo tena ya namna gani?

Ubabe Ndo kubakaaaa
 
Faida ya ratiba ni kumpunguzia kazi ya mwanaume kumuandaa mkewe, maana mwanamke apaswa kujiandaa mwenyewe.

Vinginevyo Dizi la kuvundika halifikii utamu wa dizi la kuivia mgombani kisha ulifume hukohuko shambani!!!!

Ratiba inawaandaa kisaikolojia na Kupunguza munkari wa kuandaana
 
Hakuna ratiba aisee mkijifanya mnapanga ratiba ikaangukia siku zako zile inakuaje

Ikiangukia siku zako ni bora zaidi maana lengo la ratiba ni kupumzisha hivyo viungo kwani hivyo huchoka
 
Mi naona hili tendo lazima liwe na kiasi, furaha ya tendo hili ni kuwa na ratiba maalum, mkikubaliana ninyi wawili

Kwa maoni yangu ratiba mzuri ni kutika siku moja au mbili mtafaidi zaidi baada ya kapu ziko mafupi
 
Hiyo haina formula hata kidogo. Kuna wakati inakuwa mfulilizo na wakati mwingine mnapumzika.

Wazungu yamewashinda ya kuweka ratiba. Ni kama watoto wadogo, wapate chakula wakijisikia!

Tatizo la kujisikia mara nyingi mnatofautiana. Unapotaka yeye hajisikii na hivyo hivyo kwako.

Ratiba inapunguza manunguniko yasiyo ya lazima.
 
Back
Top Bottom