The road towards 2010 Elections

The road towards 2010 Elections

Kati ya hawa nani atafaa kutuongoza 2010-2015?

  • Edward Lowassa

    Votes: 0 0.0%
  • Dr. Slaa

    Votes: 7 38.9%
  • Prof. Lipumba

    Votes: 0 0.0%
  • Mizengo Pinda

    Votes: 5 27.8%
  • Samwel Sitta

    Votes: 0 0.0%
  • Jakaya Kikwete

    Votes: 2 11.1%
  • Mark Mwandosya

    Votes: 2 11.1%
  • Harisson Mwakyembe

    Votes: 2 11.1%
  • None of The above

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    18
  • Poll closed .
CCM has two camps, Mapinduzi na Mafisadi. Mafisadi have had an upper hand for the last 20 years. If CCM will lose the power to use 2/3 power of votes to pass Mswaada, you will see CCM Mapinduzi crossing the lines and join opposition to put the government in a check.

If opposition will work united and secure 40% of parliament seats, then the political dynamics will change and Mafisadi will have to use udikteta au whatever to continue to rule!

With 40% secured to opposition, there could be constitutional changes that will strip the president the absolute powers, Special seats will be eliminated, government expenditure will be tight and most of ills that are due to incompetence or malice will b e addressed.

In CCM, at least 35% of its Wabunge are anti-establishment, however they live in fear of Kikao cha Kamati Kuu na Kutengwa because there are no alternative options for them.

If opposition will build a a solid structure that it's focus is on good governance and delivery of hope (not preaching), then the 35% of Wabunge wa CCM who have morals and passion for their country will cross the line and vote with opposition or even join opposition.

This will only happen if Mbowe, Lipumba, Mrema, Cheyo and Mtikilla, will agree to step aside from running to Ikulu and focus on Halmashauri, Kata, Vijiji, Wilaya and Ubunge!

They need to have an agreement to field one candidate in Zanzibar (not Sefu Hamad anymore) and one candidate for Union presidency. Focus for 2010 should be to secure 40% of elected seats in the parliament!
 
Hii ndio shida ingine. Sasa hao wengine utajuaje kama uwezo wanao au hawana kama hujawapa nafasi? Wape nafasi, wakishindwa unawatimua baada ya miaka yao 5 kwisha unaweka mwingine. Ndivyo wanavyofanya nchi zingine, why not us? Woga wa mabadiliko ndio chimbuko la aibu na kushindwa katika maisha, sio tu katika siasa, katika kila nyanja ya maisha. Sisi watanzania woga umetugharimu watanzania kuliko kitu kingine chochote. Tubadilike, na tuanza kwa kuacha woga wa kuwafukuza CCM madarakani. Hata mke au mume akikukera na kukushinda unaachana naye wala hutoi visingizio vya ooh sijapata mwingine, unless hajakuchosha.

Hata juzi ANC wamemchagua Jacob Zuma sio kwamba wanaamini anaweza sana kuongoza, bali walifanya vile kwa kumkataa Thabo. Tunapaswa kuifukuza CCM madarakani kama tunaamini imeshindwa kazi na kutuchosha, tusilete vizingizio, la sivyo tutamke tu kuwa CCM bado haijatuchosha!

Hapa kama ulikuwa kichwani mwangu vile!!
 
Mwanzo mzuri Rev, Kishoka..

Iam sure wengi wa wabunge wa CCM wapo physically but mentally hawapo, so, upinzani ukisimama imara ushindi unawezekana hasa wa kunyakua majimbo na halmashauri nyingi tu!

Kitu cha msingi ni kwamba sasa upinzani unapaswa ujiimarishe zaidi vijijini walipo wapiga kura wengi zaidi na wenye uelewa mdogo! kwani kwa hali ya sasa mijini wanaelewa ndoa iliyopo kati ya MAISHA DUNI NA UFISADI WA CCM!
 
CCM has two camps, Mapinduzi na Mafisadi. Mafisadi have had an upper hand for the last 20 years. If CCM will lose the power to use 2/3 power of votes to pass Mswaada, you will see CCM Mapinduzi crossing the lines and join opposition to put the government in a check.

If opposition will work united and secure 40% of parliament seats, then the political dynamics will change and Mafisadi will have to use udikteta au whatever to continue to rule!

With 40% secured to opposition, there could be constitutional changes that will strip the president the absolute powers, Special seats will be eliminated, government expenditure will be tight and most of ills that are due to incompetence or malice will b e addressed.

In CCM, at least 35% of its Wabunge are anti-establishment, however they live in fear of Kikao cha Kamati Kuu na Kutengwa because there are no alternative options for them.

If opposition will build a a solid structure that it's focus is on good governance and delivery of hope (not preaching), then the 35% of Wabunge wa CCM who have morals and passion for their country will cross the line and vote with opposition or even join opposition.

This will only happen if Mbowe, Lipumba, Mrema, Cheyo and Mtikilla, will agree to step aside from running to Ikulu and focus on Halmashauri, Kata, Vijiji, Wilaya and Ubunge!

They need to have an agreement to field one candidate in Zanzibar (not Sefu Hamad anymore) and one candidate for Union presidency. Focus for 2010 should be to secure 40% of elected seats in the parliament!
Hii ni sawa kabisa tumeona upinzani ulivyoanza humu barani Afrika-Kungangania kupata Uraisi! Kama ndio solution peke yake ya kuleta mageuzi.

And yes with the recent changes on parliament functions I quote..."under the new rules the Parliamentary Standing Committees now have been given powers to review, repeal and enact laws by drafting bills and deliberating on them before passing them into laws," he said (Speaker:Sitta).

with ...
With 40% secured to opposition, there could be constitutional changes that will strip the president the absolute powers, Special seats will be eliminated, government expenditure will be tight and most of ills that are due to incompetence or malice will b e addressed.

With keenness to TABIA I concur the dynamics will change!
 
Miye nimechoka kusubiri ajizi na danganya toto za kila siku. JK katamka, sifukuzi mtu, hakuna mwizi au fisadi. Mambo ni murua, sisi ni masikini hatuna mtaji, waacheni wawekezaji wavune dhahabu ingalawa twapata hata hiyo 3% ni win win situation.

Sasa twajua yeye shabiki wa Chelsea ingawa alipewa jezi ya New Castle! Kadai Dodoma ni lazima tuhamie katika miaka miwili.

Sasa najiuliza, wakati tunamshupalia koo Balali atoe siri kabla ya kwufwa, kwa nini tusiache yaliyopita aykijipika tartibu, tukaganga kwa yanayokuja 2010?

Ni mipango gani tuliyonayo kama Taifa kuhakikisha kuwa Uchaguzi wa 2010 utaleta mageuzi ya kweli kwa Taifa na si win win situation?

Mfano, Kwa nini Upinzani usimsimamishe Zimbwe kama mgombea Uraisi wao?

Kwa nini Upinzani unazubaa kujijenga kutwa japo 40% ya Bunge ili kulazimisha zile Kura za Theluthi Mbili za CCM kuwa batili kwa kushindwa?

Je katia CCM, ni nani wako tayari kuachana na Chama Cha Mafisadi na kuwa Watekelezaji wa Chama cha Mapinduzi?

We have 3 years to be constructive, otherwise February 2011, we will be talking about Ushindi wa Elnino na kusubiri Wafadhili watusaidie kuung'oa unyang'au wa CCM (Mafisadi) ambao umeboresha Umasikini, Ujinga, Njaa na Maradhi!

Kheri ya Krismas, Hannuka na Eid Mubarak!

na ukivaa jezi za NEW CASTLE basi utakumbwa na hili:

fail.jpg
 
Hii ndio focus ya 2010? Braza Braza upo umuhimu wa kuwa na focaus ya 2010 huu ni mjadala wa maendeleo.

hebu kabla hujamishambulia haya mamabo ya JEZI sikulayeta mie bali aliyaleta huyo Kishoka

soma hapa:

Miye nimechoka kusubiri ajizi na danganya toto za kila siku. JK katamka, sifukuzi mtu, hakuna mwizi au fisadi. Mambo ni murua, sisi ni masikini hatuna mtaji, waacheni wawekezaji wavune dhahabu ingalawa twapata hata hiyo 3% ni win win situation.

Sasa twajua yeye shabiki wa Chelsea ingawa alipewa jezi ya New Castle! Kadai Dodoma ni lazima tuhamie katika miaka miwili.

Sasa najiuliza, wakati tunamshupalia koo Balali atoe siri kabla ya kwufwa, kwa nini tusiache yaliyopita aykijipika tartibu, tukaganga kwa yanayokuja 2010?

Ni mipango gani tuliyonayo kama Taifa kuhakikisha kuwa Uchaguzi wa 2010 utaleta mageuzi ya kweli kwa Taifa na si win win situation?

Mfano, Kwa nini Upinzani usimsimamishe Zimbwe kama mgombea Uraisi wao?

Kwa nini Upinzani unazubaa kujijenga kutwa japo 40% ya Bunge ili kulazimisha zile Kura za Theluthi Mbili za CCM kuwa batili kwa kushindwa?

Je katia CCM, ni nani wako tayari kuachana na Chama Cha Mafisadi na kuwa Watekelezaji wa Chama cha Mapinduzi?

We have 3 years to be constructive, otherwise February 2011, we will be talking about Ushindi wa Elnino na kusubiri Wafadhili watusaidie kuung'oa unyang'au wa CCM (Mafisadi) ambao umeboresha Umasikini, Ujinga, Njaa na Maradhi!

Kheri ya Krismas, Hannuka na Eid Mubarak!

Hii ndio focus ya 2010? Braza Braza upo umuhimu wa kuwa na focaus ya 2010 huu ni mjadala wa maendeleo.

Mjomba hakuna kipya humu

watu wanalalmika kuwa Rais hakai ikulu na kila siku yuko Ulaya lakini ukiwauliza rais kaenda tripu ngapi huko nje hakuna anyetoa jibu kwa sababu hawana data

halatfu wanataka wachukuliwe serious

hebu mie
 
My bad-It was an apparent oversight-The fact remains...basi tuendeleze mjadala with reference to Rev. Kishoka's perspective. I am preety sure he wants a discussion and not poignant comments. Na kama hakuna jipya basi tutengeneze mapya tayari kwa 2010. Thanks.
 
Kishoka,
Nimeona unasema wamweke ZIMBWE, Zimbwe gani huyo???? ningependa kujua.

Sura ya kwanza,
Uncle haupendezi ukiwa "siriasi," kibanda cha udongo hicho, na ndio kishaloa tepetepe..........sasa wewe subiri muujiza wa yesu kubadili maji kuwa mvinyo. Mambo ya profesa singira hayo!!!!!.
 
I am lost!
 
For the opposition to acquire 40% of the seats in the parliament we need a miracle.We are talking of an electorate of which 80% is not aware of what is going on in the country.The rest which is 20% is divided.

What can be possibly be done to change the situation which has been deliberately been put in place by the first phase government?The people are ignorant and poor.They can be easily be manipulated by the rich because they are ignorant and poor.

Kabwe and company and the likes have no power of money and CCM has alot of it.The poor ignorant voter has no agenda,he is ready to be bought at a very awkward price.

Even the once powerful opposition leaders like Amani Kabourou,Tambwe Hiza and Ngawaiya realized that it is impossible to win an election in the present situation and decided to join CCM.

In a few years time I will not be surprised if Zitto himself joins CCM.You fight where you see the possibility of winning.Tanzania is not like Kenya,Zambia or Malawi.

The opposition in our country is lacking what a party like ODM has in Kenya i.e the financial muscle.

The people lack civic education and comprehension of national issues.The peole are scared in their hearts...a Nyerere ghost is haunting them.

What can be done to arouse their minds? A miracle from heaven.
 
You are lost!?? soma alnadaby hapo juu.....keyword "muujiza."
 
Kitila Mkumbo
Naungana na wewe, si haki kumhukumu mtu kabla hujampa haki ya kijitetea. Tanzania kuna vyama vingi, kati ya hivyo vyama vingi vilivyo vingi ukiangalia make up ya members wake utaweza kuona wengi ni rejects kutoka CCM.

Sasa i always ask myself watu waliotupwa kutoka CCM watatusaidia nini, kama CCM yenyewe ni reject in a way, what will we get out of the rejects of reject?

Kuna vyama vingine vinaionyooshea kidole CCM, lakini ukiangalia vyenyewe vina migogoro kibao, kila kukicha migogoro, na unaweza hata kuona members wake wanahongekea au hata kutongozeka kirahisi sana na CCM. Sasa can u imagine, kama mtu anaweza kurubuniwa na CCM, je akiwa kiongozi wa nchi si ndio anaweza kurubuniwa zaidi na nchi kubwa au na makampuni kama Barrick, etc etc na kutuuza watanzania? Hiyo ndiyo hofu, issue ni kwamba they have to prove first that they are ready for it.

wengi ni hodari wa kucriticize lakini ni wavivu kutupatia real alternative. Ukiangalia trends sasa hivi utaona watanzania wako ready. Lazima tujiulize pamoja na uchafu woote inaoufanya CCM kwanini mpaka sasa bado iko madarakani.

Chama chenu ni makini, kimeonesha kitu fulani mpaka sasa tunaona hata serikali imeanza walau kuwa na hofu fulani, it is promising, lakini more is needed, isijekuwa nguvu ya soda.
 
For the opposition to acquire 40% of the seats in the parliament we need a miracle.We are talking of an electorate of which 80% is not aware of what is going on in the country.The rest which is 20% is divided.
What can be possibly be done to change the situation which has been deliberately been put in place by the first phase government?The people are ignorant and poor.They can be easily be manipulated by the rich because they are ignorant and poor.
Kabwe and company and the likes have no power of money and CCM has alot of it.The poor ignorant voter has no agenda,he is ready to be bought at a very awkward price.
Even the once powerful opposition leaders like Amani Kabourou,Tambwe Hiza and Ngawaiya realized that it is impossible to win an election in the present situation and decided to join CCM.
In a few years time I will not be surprised if Zitto himself joins CCM.You fight where you see the possibility of winning.Tanzania is not like Kenya,Zambia or Malawi.

The opposition in our country is lacking what a party like ODM has in Kenya i.e the financial muscle.

The people lack civic education and comprehension of national issues.The peole are scared in their hearts...a Nyerere ghost is haunting them.

What can be done to arouse their minds? A miracle from heaven.

Sounds like umekata tamaa kabisa! Hope, courage, determination and commitment can overcome this spirit of being scared by Nyerere and CCM ghost.

We have to start by defeating fear itself and the rest will follow. I dont think it is true that 80% of TZs dont know what is happening.
 
Koba mimi bado nina wasiwasi, nakubaliana sana na wewe kuwa CCM ni mzizi wa matatizo yetu, lakini swali linakuja solution iko wapi? Aondolewe CCM aingie nani? Huyo atakayeingia atakuwaje, amejiandaa kiasi gani kushika dola? These are troubling questions to me.
Tulisema sana kuwa tunataka serikali isiwe ya wazee kama kina Kingunge, tulisema wengi tunakata vijana, na ndiyo maana Kikwete kwa kutumia vazi la ujana(ingawa yeye si Kijana) alipata hizo asilimia 80 ya kura zilizopigwa, ona sasa anavyotupiga bao, sasa hivi tunaona nchi inaelekea kuwa kama ya Mwinyi, uozo tu.
Labda na sisi tungeonja utawala wa kifalme.

Bongolander my sentiments exactly.Nakumbuka Wazambia walivyomtoa Kaunda kwa matumaini makubwa, the Chiluba inauguration speech was one of the best by an African president, the country was in euphoria, only to be dissapointed by a drug dealing president and the vagaries of Castro Chiluba to name the least.

Kwa hiyo moja ya matatizo ni kuwa upinzani haujajijenga vya kutosha, where is the network of MPs, where is the massive campaign to familiarize Tanzanians with the oppositions policies and manifesto? Where is the exemplary leadership?

I believe once wapinzani establish themselves to the people the people will be ready for a change.Kwa maisha ya sasa hivi it should not be very hard to educate even the rural population on how they are being swindled and shortchanged by the CCM leadership
 
Kitila Mkumbo
Naungana na wewe, si haki kumhukumu mtu kabla hujampa haki ya kijitetea. Tanzania kuna vyama vingi, kati ya hivyo vyama vingi vilivyo vingi ukiangalia make up ya members wake utaweza kuona wengi ni rejects kutoka CCM. Sasa i always ask myself watu waliotupwa kutoka CCM watatusaidia nini, kama CCM yenyewe ni reject in a way, what will we get out of the rejects of reject?

Kuna vyama vingine vinaionyooshea kidole CCM, lakini ukiangalia vyenyewe vina migogoro kibao, kila kukicha migogoro, na unaweza hata kuona members wake wanahongekea au hata kutongozeka kirahisi sana na CCM. Sasa can u imagine, kama mtu anaweza kurubuniwa na CCM, je akiwa kiongozi wa nchi si ndio anaweza kurubuniwa zaidi na nchi kubwa au na makampuni kama Barrick, etc etc na kutuuza watanzania? Hiyo ndiyo hofu, issue ni kwamba they have to prove first that they are ready for it.

wengi ni hodari wa kucriticize lakini ni wavivu kutupatia real alternative. Ukiangalia trends sasa hivi utaona watanzania wako ready. Lazima tujiulize pamoja na uchafu woote inaoufanya CCM kwanini mpaka sasa bado iko madarakani.

Chama chenu ni makini, kimeonesha kitu fulani mpaka sasa tunaona hata serikali imeanza walau kuwa na hofu fulani, it is promising, lakini more is needed, isijekuwa nguvu ya soda.

Nakubaliana nawe katika hilo swala la mwisho la kutokutoa alternative. Wapinzani tumekuwa hodari wa kuibua matatizo katika jamii yanayosababishwa na CCM, lakini tumekuwa wavivu sana wa kutoa solutions za hayo matatizo. Inasikitisha sana.

Kwa mfano, mikutano ya wenzetu ya vyama vya siasa hutumika kwa kiasi kikubwa kwa kiongozi wa chama ku-expound big policies za vyama vyao.

Lakini kwetu vyama vinakaa mikutano siku mbili hata tatu kulalamika tu na kukosoa wengine, hii sio sawa. Ni kweli kabisa sidhani kama watanzania watatuchagua kuongoza nchi kwa kigezo cha kuibua matatizo tu, watatuchagua pale tutakapoanza kutoa utatuzi wa matatizo tunayoyaibua.

Hata hivyo sikubaliani nawe kabisa unaposema eti wanachama wa upinzani ni reject wa CCM. Hili halina mantinki hata kidogo. Lazima ukumbuke kwamba kabla ya 1992 mtu yeyote aliyetaka kufanya active politics ilikuwa lazima awe CCM.

Mtu yeyote ambaye hakuwa active member wa CCM before 1992 hakuwa active politician, this is a fact. Kwa hiyo hakuna ajabu kwamba baada ya mfumo wa vyama vingi kuanza ilibidi watu wengine waliokuwa hawakubaliani na CCM watoke CCM na kujiunga na vyama vingine, sasa sidhani kwamba ni sahihi hawa kuwaita ni reject wa CCM.

Mimi naona hawa ni watu walioikana na kuisuta CCM.
 
Kitika nakubaliana na wewe kuwa nimekwenda mbali kusema kuwa wengi walioko upinzani ni rejects wa CCM, i should not have said that.

Hata hivyo sikutumia hilo neno kwa watu kama kina mzee Mtei walijitoa kwena kuanzisha chama, nazungumzia wale waliotimuliwa na kuingia upinzani kwa siasa za chuki, ambao ndiio hao mpaka leo wanayumbayumba, na wengine naweza kusema wamekufa kisiasa.

Kilichofanyika hivi karibuni mlipotangaza list of shame kisiishie hapo na kisiwe kwenye jambo moja tu, mnatakiwa kwenda mbele zaidi. Sera ya ajira ya CCM haipo kabisa ni kama imekufa lakini hakuna anayeonesha workable alternative, kilimo ambacho kimeajiri watanzania wengi zaidi ni kama kinakufa na serikali haifanyi lolote la maana.

Ni vizuri mkatuambia zaidi nyie ni kina nani mnataka kutufanyia nini, alternative gani mnatuletea. Mtafanya kipi ambacho CCM hawafanyi, wewe mwenyewe unaona kabisa Ripoti ya redet inaonesha kuwa watanzania wako ready, wanahitaji dereva tu, mtu wa kuwaongoza for change.

Lakini mpaka sasa tunaona kuwa na nyie mnaingia kwenye mtego wa siasa za CCM, kuwalewesha na siasa za mjini lakini kwenye base ya CCM hamuweki mizizi, mko mijini sana kwa middle class ya Tanzania, ambayo impact yake kwenye uchaguzi ni ndogo sana, ukilinganisha na ile ya vijijini.

Last week nilikuwa kijijini(sio kwa mwanakijiji) kuna mzee aliniuliza mbona Mrema siku hizi hawasaidii wanyonge? Hili swali wewe unaweza kujua linaonesha nini! Bado hamjafika kwa wanyonge!
 
Bongolander: very true indeed, all you say is a painful fact that need to be swallowed if we are to make the opposition win an election and form an alternative government.

Hilo swali la mzee ni zitto-you can write several pages ukitaka kumjibu seriously!
 
For the opposition to acquire 40% of the seats in the parliament we need a miracle.We are talking of an electorate of which 80% is not aware of what is going on in the country.The rest which is 20% is divided.
What can be possibly be done to change the situation which has been deliberately been put in place by the first phase government?The people are ignorant and poor.They can be easily be manipulated by the rich because they are ignorant and poor.
Kabwe and company and the likes have no power of money and CCM has alot of it.The poor ignorant voter has no agenda,he is ready to be bought at a very awkward price.
Even the once powerful opposition leaders like Amani Kabourou,Tambwe Hiza and Ngawaiya realized that it is impossible to win an election in the present situation and decided to join CCM.
In a few years time I will not be surprised if Zitto himself joins CCM.You fight where you see the possibility of winning.Tanzania is not like Kenya,Zambia or Malawi.

The opposition in our country is lacking what a party like ODM has in Kenya i.e the financial muscle.

The people lack civic education and comprehension of national issues.The peole are scared in their hearts...a Nyerere ghost is haunting them.

What can be done to arouse their minds? A miracle from heaven.

Hii ni sauti ya kukata tamaa na siyo sauti ya mapinduzi!si kubaliani nayo hata kidogo.Jamani tunaweza kabisa kufanya mabadiliko 2010.It is possible!.Kumbuka wewe unaangalia tu list ya wapinzani kwa sasa ila napenda kukuambia kuwa kuna watu wazuri tu wapo hata ndani ya CCM ambao wanaweza kujoin upinzani na kuleta mapinduzi makubwa sana mwaka 2010.Tatizo ninaloliona hapa ni jinsi watu wanavyoangalia tu list ya wapinzani wa sasa kama akina Maalimu,Tambwe,Mrema na wengineo na kukata tamaa nao.Napenda kukuhakikishia kuwa we can still get good people within CCM na kwingineko.Na hapo ndipo utakapoona kama 1995 kwa Mrema.

Sasa nini cha kufanya sasa hivi:
1) Ni lazima tuanze mara moja kuwaelimisha wananchi kwa sasa.
Na elimu yenyewe ilenge kwenye mapinduzi ya kuwakomboa wananchi.Ni lazima tuwafikie wapiga kura sasa hivi bila ya kusubiri eti mwaka au miezi kadhaa ndiyo tuanze.Halafu tuwaeleze kuwa Tanzania yenye neema inawezekana kabisa bila ya kusubiri ahadi za za uongo za CCM.Tutumie kila liwezekanalo kufikisha ujumbe huu.Kwa kupitia magazeti,radio binafsi,internet blogs,midahalo,fulana zenye kubeba ujumbe wa mapinduzi,kuongeza mikutano ya hadhara hasa vijijini na kadhalika!

2) Kufunua uozo ndani ya CCM.Wananchi siyo wajinga kama baadhi yetu wanavyofikiri.Zipo sehemu nyingi tu za Tanzania ambazo wananchi wake wameshaamka na huwezi kuenda na kuwapa ahadi za kusubiri ati 2010 mambo yatakuwa safi kama JK alivyosema huku wao wakifa sasa hivi.
Kwa hivyo tufanye kila namna kufichua uozo wote na vilevile kutoa solutions ya nini kingefanyika kama mbadala na siyo kulalamika tu kama alivyosema mchangiaji mmoja hapo juu.

3) Ni lazima wapinzani waweke mazingira mazuri ya kukaribisha damu mpya na fresh kwenye vyama vyao na kwamba wafanye kazi kama timu.
Mimi naamini kabisa kuwa kuna viongozi wazuri tu wapo CCM na kwamba wamechoshwa na mwenendo mzima wa chama chao hivyo wanaweza kabisa kujoin kambi ya upinzani na kuleta vuguvugu kubwa la mageuzi.

4) Kuanzisha vitu kama fundrise ya kusaidia vyama vyao financially bila kusubiri ruzuku.Kwa nini hata siku moja sijasikia chama kama Chadema au muunganiko wa vyama vinafanya fundrise yao pale hotel ya kilimanjaro(Kempinski) ili kufadhili shughuli zao ndani ya vyama?..hivyo ndiyo vyama vya nje vinavyopata fedha za kuendesha shughuli zao....

-wembe
 
Back
Top Bottom