Quetzal
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 6,345
- 10,822
Nope...my life hurdles isn't for your entertainmentWeka mkeka wako ili uwe free, mind, body and soul!
Nope...my life hurdles isn't for your entertainmentWeka mkeka wako ili uwe free, mind, body and soul!
Pole ..mkuuu Uzinzi haujawai kumuacha mja salama....aziniye Ni mjinga Sana kwani madhara Yake....yapo kwenye mwili wake...mwenyewe...kwenye maamuzi ambayo atafanya au kufanyiwa na huyo mwenzio...mwisho wa Uzinifu Ni Majuto tu....Hicho ndicho kimenigharimu na hata kufikia hatua hii, nikikumbuka matarajio yangu kwenye mahusiano 2 ya mwanzo na nilichokutana nacho vilichangia sana kunipoteza...
Sent from my Z9 using JamiiForums mobile app
Sanaa, ile kitu sijui hata ilikuwaje...Na sisi wenye mikasa km hii tunaunga hapa hapa au tunaanzisha nyuzi mpya?
Nway pole sana bro...hio ni process ya Maisha unapitia...watu wanakulaumu kurudi kwa yule kigalula, wanazani kua ndodocha ni kazi rahisi, unajua kabisa umerogwa ila bado unaenda( dawa inakua bado ipo ktk ubora wake)...hapo mpaka dawa iishe makali au ujiwahi chachi ukafunguliwe..
Ni kweli kabisa, haya ni matokeo ya dhambi...lakini vipi wewe mkuu haujawahi kutenda dhambi? Kama umewahi, vipi ulihukumiwa on the spot?Pole ..mkuuu Uzinzi haujawai kumuacha mja salama....aziniye Ni mjinga Sana kwani madhara Yake....yapo kwenye mwili wake...mwenyewe...kwenye maamuzi ambayo atafanya au kufanyiwa na huyo mwenzio...mwisho wa Uzinifu Ni Majuto tu....
Kweli hakuna alokataza Muumba likawa na manufaaaa...








🚬🚬🚬Ilikuaje vp bro na ulikua ushawekwa mtu kati...hahahahaha
Ila mkuu Ni Kama nmepata kigagaziko yaan mpk unakua ndo hao tu Kisha unajiona umeumizwa. Kuna watu tukianza tu kuandika idadi Bila story inafika urefu wa story yako. Sio kwa kujisifu Bali changamoto tu mpk wengine unawasevu kiduku wa Sinza, JF1,JF2, Muuza viatu, mdada wa kigoma, nesi wa moroco, mdada wa kidoti na kadhalika. Tatzo kila mahusiano ulikua unaweka ndoa mengine tizi tu.



mkuu naomba ulete hizo incidenceWewe leta mkasa wakoNa sisi wenye mikasa km hii tunaunga hapa hapa au tunaanzisha nyuzi mpya?
Nway pole sana bro...hio ni process ya Maisha unapitia...watu wanakulaumu kurudi kwa yule kigalula, wanazani kua ndodocha ni kazi rahisi, unajua kabisa umerogwa ila bado unaenda( dawa inakua bado ipo ktk ubora wake)...hapo mpaka dawa iishe makali au ujiwahi chachi ukafunguliwe..
Aisee natamani sana nikae kwenye taasisi ya ndoa nikiwa baba fulani hivi, mwenye stories na familia yangu,very strict ila sasa yooote naona yamefifia...Ilikuaje vp bro na ulikua ushawekwa mtu kati...hahahahaha
kifupi haya yote yachukulie km a learning experience...siku ukiingia kwenye ndoa unakua umeiva maana by that time utakua ushawafahamu wanawake vzuri, how to treat them right, how to control your emotions( emotional intelligence), jinsi ya kua mvumilivu na zaidi utakua mzuri ktk ku solve conflicts za kimahusiano...
Unadhani kwann managerial positions hua wanataka experienced people?ww ndoa yako itaanzia ktk position hio sio immature tena.

Alikuwa anajibu nn mkuu ,tupe hata kidogoBinafsi nilitaka kuanzisha mahusiano na member mmoja wa humu. Lakini kabla hata sijafika mbali kutokana na majibu yake nilipokuwa kila nikimuuliza nikahisi kama namuudhi nikaishia hapo. Kuna muda kutokana na mikasa uliyopitia kwenye maisha unaweza kujikuta unakaa chini na kutoka machozi na kujutia sana. Siwashangai wale wote ambao walikuwa na mipango ya kutaka kufunga ndoa lakini mwishowe wakaishia kisitisha mipango yao. Maisha yana mambo mengi sana. Lakini pia siwashangai wanaoishia Kula tunda kimasihara
Life is full of many things
Surprises
Shocks
Stress
Happiness
Feeling Blessed
Feeling at the end of your wits
Hopeless
At the Top of the World
Challenges
Accomplishments
Failures
Mistakes
Setbacks
Heartbreaks
Opportunities & Missing them
Regrets
Pride
Misery
Hate
Anger
Love
Embarrassments
Downfall
Relationship
These are just few of things![]()
Mkuuu...Kama dhambi zangu zikihesabiwa sawa hivi ...ikashuka kiama...kuingia peponi Ni rehema za Mungu tu..... Kwakweli Mungu tunaambiwa Ni msamehevu anisamehe TU kwani....asiponisamehe ntakuwa miongoni waliopata HASARA KUUBWA SANA..Ni kweli kabisa, haya ni matokeo ya dhambi...lakini vipi wewe mkuu haujawahi kutenda dhambi? Kama umewahi, vipi ulihukumiwa on the spot?
Sent from my Z9 using JamiiForums mobile app
Hapana mkuu, kwa sasa sijawaza hata kidogo kuwa na mahusiano stable...Jiandae tu muda si mrefu utapata wa JF wa tatu....
hizi mada zenu zinatufanya wengine tuzidi kuyaogopa Mapenzi faken




khaaaahWhy dea?Nikija na historia yangu ..ntaoga matusi hadi nishangae..