The reason to why I didn't marry you!

The reason to why I didn't marry you!

Aiseee..... We search for happiness in the wrong places...Mimi MAJUTO yangu maishani Ni Mengi Sana.... MATATIZO MAKUBWA KATIKA MAISHA YANGU source Ni Mahusiano....Hadi leo nimerudi Sana kichumi Nyuma.....
....
People say love doesn't cost a thing...but it can cost you more than you could ever Imagine
Exactly...sema wengi hatusemi ukweli wa tunayokutana nayo, lakini kila mtu angesema ukweli tungekimbiana...

Imagine asilimia kubwa ya wadada ukiwauliza ume-date wanaume wangapi mpaka sasa,jibu utakalopata ni 2 ikizidi saaana ata-mention wa 3, hata kama ana msululu wa mabasi...

Sent from my Z9 using JamiiForums mobile app
 
INAENDELEA....

Nilipotoka kulipa mahari nilijikuta moyoni kama najutia hivi, nikaenda kwa Mary nikajikuta nipo very happy, wakati huo huo akili inaniambia "this is real idiotic"

Yule mdada niliyemlipia mahari tukaingia kwenye mgogoro mzito, as mawasiliano yetu yalipungua sana,kuanzia January mpaka April kilikuwa kipindi cha magumu mengi mno Kati yangu na member mwenzetu niliyekuwa nimemlipia mahari,(hapo ndoa tulipanga kuifunga August, akili yangu ikiwa tayari kabisa ila moyo ukikataa) from nowhere akiwa mjamzito akakutana na lijamaa akaanzisha mahusiano, (hapa kwa strategies binafsi, nikapata uhakika wa yeye ku-date mtu mwingine akiwa mjamzito) hilo likaniongezea hasira mno, japo sikumwambia mapema, lakini baadaye tulikutana mahali kwa mazungumzo juu ya hilo, kwa bahati nzuri ali-admit ku-date na jamaa, sio mara moja wala mara mbili!

Niliondoka nikiwa na huzuni mno na kujutia kwanini nilikimbilia kulipa mahari

Nikajiona nisiyefaa tena na kuanza kupoteza mwelekeo kimahusiano, nikiwa kwenye hiyo contradiction huyu member mwenzetu akaniambia "samahani, nafsi yangu inanisuta, mtoto sio wa kwako, in mhusika wake" nikajiona nimepoteza sanaaaa

Nikaamua kukaa kimya sana, sikumtafuta tena, wala kuongea naye chochote baada ya hapo,mwaka mmoja baada ya kimya kirefu nikasikia member ana mahusiano mapya, (kumbuka alijifungua mwezi wa sita 2018, na baada ya August 2019 akawa kwenye mahusiano mapya, na 2020 akapata mtoto mwingine)..safari ya Mimi na yeye ikafia hapo, pamoja na kwamba mahari nililipa...

ITAENDELEA....

Duh aisee mambo ni mengi
 
Cha msingi vijana wasifanye haraka kuoa,kama anakupenda atakuvumilia mpaka utakapokuwa tayari kuoa...sema mimba wanawake wanategesha sana,vijana tuendelee kutumia kondom wadada sasa hivi usipokuwa makini wanakupa watoto haraka haraka bila wewe kujipanga kama yeye ni mtu sahihi au la
 
Aiseee..... We search for happiness in the wrong places...Mimi MAJUTO yangu maishani Ni Mengi Sana.... MATATIZO MAKUBWA KATIKA MAISHA YANGU source Ni Mahusiano....Hadi leo nimerudi Sana kichumi Nyuma.....
....
People say love doesn't cost a thing...but it can cost you more than you could ever Imagine

Pole sana
You can always start afresh it’s never too late
 
INAENDELEA....

Nilipotoka kulipa mahari nilijikuta moyoni kama najutia hivi, nikaenda kwa Mary nikajikuta nipo very happy, wakati huo huo akili inaniambia "this is real idiotic"

Yule mdada niliyemlipia mahari tukaingia kwenye mgogoro mzito, as mawasiliano yetu yalipungua sana,kuanzia January mpaka April kilikuwa kipindi cha magumu mengi mno Kati yangu na member mwenzetu niliyekuwa nimemlipia mahari,(hapo ndoa tulipanga kuifunga August, akili yangu ikiwa tayari kabisa ila moyo ukikataa) from nowhere akiwa mjamzito akakutana na lijamaa akaanzisha mahusiano, (hapa kwa strategies binafsi, nikapata uhakika wa yeye ku-date mtu mwingine akiwa mjamzito) hilo likaniongezea hasira mno, japo sikumwambia mapema, lakini baadaye tulikutana mahali kwa mazungumzo juu ya hilo, kwa bahati nzuri ali-admit ku-date na jamaa, sio mara moja wala mara mbili!

Niliondoka nikiwa na huzuni mno na kujutia kwanini nilikimbilia kulipa mahari

Nikajiona nisiyefaa tena na kuanza kupoteza mwelekeo kimahusiano, nikiwa kwenye hiyo contradiction huyu member mwenzetu akaniambia "samahani, nafsi yangu inanisuta, mtoto sio wa kwako, in mhusika wake" nikajiona nimepoteza sanaaaa

Nikaamua kukaa kimya sana, sikumtafuta tena, wala kuongea naye chochote baada ya hapo,mwaka mmoja baada ya kimya kirefu nikasikia member ana mahusiano mapya, (kumbuka alijifungua mwezi wa sita 2018, na baada ya August 2019 akawa kwenye mahusiano mapya, na 2020 akapata mtoto mwingine)..safari ya Mimi na yeye ikafia hapo, pamoja na kwamba mahari nililipa...

ITAENDELEA....

Sent from my Z9 using JamiiForums mobile app
INAENDELEA...
Tumeishia kwenye mahusiano na JF member mwenzetu, (no.7) ila sijamtaja jina ili kulinda heshma yake...

8. JF MEMBER 02.
Huyu pia naomba nisimtaje jina,katika kujadilijadili mambo ya JF moyo wangu ukiwa mfu kabisa kwenye mambo ya mahusiano,tulikuwa tukijadili a b c,za maisha na member mmoja (tukiwa mikoa tofauti) baadaye akaniambia ana safari ya Dar nikamkaribisha, nikamuuliza kama ana mahali pa kufikia akasema nimuandalie tu,nikatafuta hotel, tukakubaliana kwenda kucheck tulipocheck wote tukiwa salama tukajiachia kwa usiku kucha, akanisimulia mengi aliyopitia nikamhurumia sana lakini nikamwambia mimi sina mpango wa ndoa kwa wakati huo akasema pia si kitu anachokiwazia hata chembe, basi tukawa tunakutana tunamaliza haja za miili yetu kila mmoja anaendelea na maisha yake, baada ya miezi kadhaa nikashangaa sana, kumbe mdada alikuwa mke wa mtu na mumewe alikuwa anafanya kazi CRDB-BANK moja ya mikoa ya nchi yetu, nikashangaa zaidi imekuwaje????

Huyu sikumtafuta tena baada ya kujua ni mke wa mtu, (iliniumiza sana kihisia hii) kwa sababu sikuwahi kufikiria ku-date mke wa mtu maisha yangu yote! Japo aliniandikia sana kutaka tuendelee kwa madai kwamba yeye na mumewe walikuwa wamesha achana but I never looked back tukaishia hapo (najua lazima atasoma huu Uzi, ajue tu aliniachia maumivu makali mno)

Baada ya hapo sijapata tena kuanzisha mahusiano yenye malengo, najikuta nipo tu, hisia za kujenga mahusiano serious sina tena, I'm dating nimejifunza kutumia condoms japo sizipendi sana!

Japo kuna wakati nafikiria nifanye maamuzi serious nioe tu lakini ule moyo wa kuamua umekuwa mgumu...

Na ukweli hao 7 nilikuwa na malengo ya kuoa kabisaaa, ila baada ya hayo na kukata tamaa nadhani kuna wengine kama 13 ambao nime-date nao bila kuwa na malengo yoyote, we date thereafter kila mtu anaendelea na maisha yake, hii Hali siipendi sana pia as nakosa ujasiri wa kuingia ibadani kumuabudu Mungu nikijitazama kwenye hiyo angle, niombeeni sana nitoke kwenye huu mfumo wa maisha ndugu zangu...

Ni kweli kabisa nilimpenda Mary, lakini mwisho wa siku kukutana na ushirikina haikuwa jambo rahisi kulivumilia, na sijui alikuwa amenifanya nini...

Sent from my Z9 using JamiiForums mobile app
Bila aibu pia bado ukarudi kwake pamoja na ushirikina, baada ya kuona ushirikina wake ulitakiwa kujipa muda wa kutafakari kabla hujaingia kwenye mahusiano mengine, wakati mwingine kuingia kwenye mahusiano wakati una stress za mahusiano yaliyovunjika ni sawa na kutafuta temporary solution, at the end umejikuta katika historia ambayo naamini hata wewe huipendi
 
My friend,nimesema hapo juu, nilichokuwa nafikiria na nilichokuwa natenda ilikuwa vitu viwili tofauti,akili yangu iliamua kabisa kutomrudia tena, lakini from nowhere nilikuwa najiendea kama kondoo anayekwenda kuchinjwa, yaani sielewi nilikuwa napatwa na kitu gani

Sent from my Z9 using JamiiForums mobile app
 
INAENDELEA...
Tumeishia kwenye mahusiano na JF member mwenzetu, (no.7) ila sijamtaja jina ili kulinda heshma yake...

8. JF MEMBER 02.
Huyu pia naomba nisimtaje jina,katika kujadilijadili mambo ya JF moyo wangu ukiwa mfu kabisa kwenye mambo ya mahusiano,tulikuwa tukijadili a b c,za maisha na member mmoja (tukiwa mikoa tofauti) baadaye akaniambia ana safari ya Dar nikamkaribisha, nikamuuliza kama ana mahali pa kufikia akasema nimuandalie tu,nikatafuta hotel, tukakubaliana kwenda kucheck tulipocheck wote tukiwa salama tukajiachia kwa usiku kucha, akanisimulia mengi aliyopitia nikamhurumia sana lakini nikamwambia mimi sina mpango wa ndoa kwa wakati huo akasema pia si kitu anachokiwazia hata chembe, basi tukawa tunakutana tunamaliza haja za miili yetu kila mmoja anaendelea na maisha yake, baada ya miezi kadhaa nikashangaa sana, kumbe mdada alikuwa mke wa mtu na mumewe alikuwa anafanya kazi CRDB-BANK moja ya mikoa ya nchi yetu, nikashangaa zaidi imekuwaje????

Huyu sikumtafuta tena baada ya kujua ni mke wa mtu, (iliniumiza sana kihisia hii) kwa sababu sikuwahi kufikiria ku-date mke wa mtu maisha yangu yote! Japo aliniandikia sana kutaka tuendelee kwa madai kwamba yeye na mumewe walikuwa wamesha achana but I never looked back tukaishia hapo (najua lazima atasoma huu Uzi, ajue tu aliniachia maumivu makali mno)

Baada ya hapo sijapata tena kuanzisha mahusiano yenye malengo, najikuta nipo tu, hisia za kujenga mahusiano serious sina tena, I'm dating nimejifunza kutumia condoms japo sizipendi sana!

Japo kuna wakati nafikiria nifanye maamuzi serious nioe tu lakini ule moyo wa kuamua umekuwa mgumu...

Na ukweli hao 7 nilikuwa na malengo ya kuoa kabisaaa, ila baada ya hayo na kukata tamaa nadhani kuna wengine kama 13 ambao nime-date nao bila kuwa na malengo yoyote, we date thereafter kila mtu anaendelea na maisha yake, hii Hali siipendi sana pia as nakosa ujasiri wa kuingia ibadani kumuabudu Mungu nikijitazama kwenye hiyo angle, niombeeni sana nitoke kwenye huu mfumo wa maisha ndugu zangu...

Sent from my Z9 using JamiiForums mobile app
Pole sana, sasa mary iliishiaje, did i miss something here? Hongera pia kwa kujifunza kutumia protection, for the time being una watoto wangapi +wale wa kubambikiwa?
 
Huyu sikumtafuta tena baada ya kujua ni mke wa mtu, (iliniumiza sana kihisia hii) kwa sababu sikuwahi kufikiria ku-date mke wa mtu maisha yangu yote! J

🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺
 
INAENDELEA...
Tumeishia kwenye mahusiano na JF member mwenzetu, (no.7) ila sijamtaja jina ili kulinda heshma yake...

8. JF MEMBER 02.
Huyu pia naomba nisimtaje jina,katika kujadilijadili mambo ya JF moyo wangu ukiwa mfu kabisa kwenye mambo ya mahusiano,tulikuwa tukijadili a b c,za maisha na member mmoja (tukiwa mikoa tofauti) baadaye akaniambia ana safari ya Dar nikamkaribisha, nikamuuliza kama ana mahali pa kufikia akasema nimuandalie tu,nikatafuta hotel, tukakubaliana kwenda kucheck tulipocheck wote tukiwa salama tukajiachia kwa usiku kucha, akanisimulia mengi aliyopitia nikamhurumia sana lakini nikamwambia mimi sina mpango wa ndoa kwa wakati huo akasema pia si kitu anachokiwazia hata chembe, basi tukawa tunakutana tunamaliza haja za miili yetu kila mmoja anaendelea na maisha yake, baada ya miezi kadhaa nikashangaa sana, kumbe mdada alikuwa mke wa mtu na mumewe alikuwa anafanya kazi CRDB-BANK moja ya mikoa ya nchi yetu, nikashangaa zaidi imekuwaje????

Huyu sikumtafuta tena baada ya kujua ni mke wa mtu, (iliniumiza sana kihisia hii) kwa sababu sikuwahi kufikiria ku-date mke wa mtu maisha yangu yote! Japo aliniandikia sana kutaka tuendelee kwa madai kwamba yeye na mumewe walikuwa wamesha achana but I never looked back tukaishia hapo (najua lazima atasoma huu Uzi, ajue tu aliniachia maumivu makali mno)

Baada ya hapo sijapata tena kuanzisha mahusiano yenye malengo, najikuta nipo tu, hisia za kujenga mahusiano serious sina tena, I'm dating nimejifunza kutumia condoms japo sizipendi sana!

Japo kuna wakati nafikiria nifanye maamuzi serious nioe tu lakini ule moyo wa kuamua umekuwa mgumu...

Na ukweli hao 7 nilikuwa na malengo ya kuoa kabisaaa, ila baada ya hayo na kukata tamaa nadhani kuna wengine kama 13 ambao nime-date nao bila kuwa na malengo yoyote, we date thereafter kila mtu anaendelea na maisha yake, hii Hali siipendi sana pia as nakosa ujasiri wa kuingia ibadani kumuabudu Mungu nikijitazama kwenye hiyo angle, niombeeni sana nitoke kwenye huu mfumo wa maisha ndugu zangu...

Sent from my Z9 using JamiiForums mobile app
Ila mkuu Ni Kama nmepata kigagaziko yaan mpk unakua ndo hao tu Kisha unajiona umeumizwa. Kuna watu tukianza tu kuandika idadi Bila story inafika urefu wa story yako. Sio kwa kujisifu Bali changamoto tu mpk wengine unawasevu kiduku wa Sinza, JF1,JF2, Muuza viatu, mdada wa kigoma, nesi wa moroco, mdada wa kidoti na kadhalika. Tatzo kila mahusiano ulikua unaweka ndoa mengine tizi tu.
 
Back
Top Bottom