Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,081
- 72,481
Nathan mmeona source ya singe madha inapotokea[emoji23]
[emoji23][emoji23]umeona ee
Nathan mmeona source ya singe madha inapotokea[emoji23]
Hapa ndo ulikosea, hata kama mama ake mlikosana ila lazima uonekane mbele ya macho ya mtoto kama unaamini ni mtoto au hata kama si mtoto wako maana you lose nothing.Alinitesa sana kihisia, alijifungua mtoto wa kike, nikawa najitoa kidogo kidogo nilisafiri kwa muda mrefu sana nje ya mkoa, nilimsimulia anko hiyo issue akanisaidia baada ya hapo sikutaka tena ushirikiano wowote na yeye zaidi ya matumizi ya mtoto, baadaye akaanza kukataa kuchukua pesa ya matumizi akinitaka niende (alikuwa ananiambia mtoto hataki pesa zako anakutaka wewe baba yake) sikuwa kuitikia huo wito
Sent from my Z9 using JamiiForums mobile app
..mkuuu.its so sad... Siwezi hata hadithia.. Kama kurogwa.kupo.... Aisee aliniroga aliniweza sanaaaa...Nampa kong'ole
Naam ukitaka uishi kwa amani ktk hi dunia ya Sasa mfumo sahihi Ni huoMimi nimelijua hili yaani natimiza majukumu yangu kama baba interms of security ya pesa na uwepo wangu,mengine yatajijua.Ruge mbona aliweza vizuri tu na watoto wake wanamkubali sana
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mimi nilichagua kuwa mchangia mada tu (commentator ) so kwa mantiki hiyo siwezi kuja kuleta Uzi hapa jfIkifika yako nijulishe niwe kiti cha mbele[emoji28][emoji28]
Wanaume siku hizi wamekuwa wasumbufu wanakuwa kwenye mahusiano kwa machale
Basi wanawake nao wameamua kuwaroga maskini
Pata picha mwanaume mmoja anarogwa na wanawake watatu
Huyu kichwa chake kitakuwa sawa kweli?
Yaani kuna kazi ya kuombea watoto wetu wa kiume,kaka zetu na wadogo zetu
Usikimbirie kutangadha ndoaThis is the truth, na yupo humu anasoma hii post bila shaka...
Sent from my Z9 using JamiiForums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kwa mwendo huu wa Confession kila siku hata mimi nasubiri jina langu[emoji23][emoji23]
Hasad hata Wewe unaweza ukawa Nayo TU.... ukatamani neema ya mwingine imuondekeee inaweza kuwa hata shape Yake nzuri... Ukamchukia tu na kutamani anenenepe tumbo[emoji23][emoji23][emoji23]You are right, bila kuwasahau waume zetu maana hao ndio target hasqa, mtu akishajua huyu ni mume wa mtu basi ndio analala kabisa kwa mganga
Kuna Mambo lukuki nilikuwa napanga kuyafanya kwenye maisha yangu ila ndiyo hivyo tena, kila nikiwaona akina Malisa na familia zao natamani sanaaaa, lakini ndiyo vile tena nilisha haribu [emoji24][emoji24]Naam ukitaka uishi kwa amani ktk hi dunia ya Sasa mfumo sahihi Ni huo
Aisee ningetaja majina ingekuwa si busara ila lengo la kupunguza dukuduku limetimia kabisaaaTunashukuru hujataja majina [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787] ubarikiwe sanaa
Nathan mmeona source ya singe madha inapotokea[emoji23]
Sijakuelewa kabisaaa, nadhani nawe pia hukunielewa pia, au you just got it wrong, do not overthink utaumia kichwaHasad hata Wewe unaweza ukawa Nayo TU.... ukatamani neema ya mwingine imuondekeee inaweza kuwa hata shape Yake nzuri... Ukamchukia tu na kutamani anenenepe tumbo[emoji23][emoji23][emoji23]
Lakini Dunia imejaaa kila.aina ya Vita na vitimbwi.na.ulinzi we tu Ni ibada na Dua....
Pia usijione kuwa Wewe umepata Sana.... wengine wote wamekosea mahala kutofika Mafanikio Kama yako....
Maisha haya yanabadilika anytime anywhere
Kwa sasa nimejifunza meeengi mno kwenye mahusiano, kiasi kwamba hata ile hamu ya kuoa ilinitoka...nikalazimika kuachana na hayo mamboUsikimbirie kutangadha ndoa
Aiseee kujua intention ya mtu Ni Jambo gumu Sana......unaongea hili but unajua kabisa lengo.lako.....yaaaani Mungu atunusuru na Watu wenye Nia Ovu kwetuKabisa Mkuu lakini ME pia wanahusika baadhi. Utasikia mie nataka kukuoa lakini sitangazi ndoa hadi upate mimba. KE anajiachia mimba hiyo jamaa linasepa! Lakini hakuna DNA ya mimba inaweza kabisa isiwe ya huyo anayetaka kuoa.
Weka mkeka wako ili uwe free, mind, body and soul!Nikija na historia yangu ..ntaoga matusi hadi nishangae..
Hicho ndicho kimenigharimu na hata kufikia hatua hii, nikikumbuka matarajio yangu kwenye mahusiano 2 ya mwanzo na nilichokutana nacho vilichangia sana kunipoteza...Aiseee kujua intention ya mtu Ni Jambo gumu Sana......unaongea hili but unajua kabisa lengo.lako.....yaaaani Mungu atunusuru na Watu wenye Nia Ovu kwetu
Kurogewa mumeo...inawezekana...hata kurogwa Wewe uchukiwe na mumeo inawezekana.... Wengine hata hawarogi kwa waganga ..wanamidomo mibaya Sana wakisema TU...ishakuwa...Sijakuelewa kabisaaa, nadhani nawe pia hukunielewa pia, au you just got it wrong, do not overthink utaumia kichwa