The reason to why I didn't marry you!

The reason to why I didn't marry you!

Hakuna kitu kinaniuma roho kama kuachwa nnapoachwa Mimi na hii Ni mara ya tatu.Mtu anakuacha kabisa yani anakwambia "hujanikosea kitu,wewe ni mwanaume mzuri Ila haikupangwa tu kuwa Mimi na wewe,I have to go" kamaliza hapo.tatizo sio kuachwa,hivi wanawake mnashindwa hata kutengeneza mazingira mtu akosee umuache?.Ndio maana huwa tunaamua tupite tu tuwaache.

 
Back
Top Bottom