The reason to why I didn't marry you!

The reason to why I didn't marry you!

Inategemea NTU na NTU na hili la dunia ya sasa Mkuu umeexaggerate mapenzi bado yapo yapo sana tu katika nchi nyingi duniani.
Mapenzi hayana fairness,unachotoa interms of time,feelings,money sio sawa na unachokipata...output is greater than input so it's a lose situation on one side
 
It depends on what’s your expectations from the other side Mkuu. Kama ingekuwa ni lose lose situation basi njemba ikigundua GF au mke ananyanduliwa ingenyanyuka kirahisi na kutokomea zake badala ya kuumia sana kwa kuwa ni lose lose situation.
Mapenzi hayana fairness,unachotoa interms of time,feelings,money sio sawa na unachokipata...output is greater than input so it's a lose situation on one side
 
Aiseee..... We search for happiness in the wrong places...Mimi MAJUTO yangu maishani Ni Mengi Sana.... MATATIZO MAKUBWA KATIKA MAISHA YANGU source Ni Mahusiano....Hadi leo nimerudi Sana kichumi Nyuma.....
....
People say love doesn't cost a thing...but it can cost you more than you could ever Imagine
 
It depends on what’s your expectations from the other side Mkuu. Kama ingekuwa ni lose lose situation basi njemba ikigundua GF au mke ananyanduliwa ingenyanyuka kirahisi na kutokomea zake badala ya kuumia sana kwa kuwa ni lose lose situation.
Inauma kwa kuwa umelipa mahali,unamnunulia chupi,unamlisha,unamvalisha au mtu mwingine hafanyi chochote anato**a bure
 
Shit always happen,ni jambo la kawaida wote tunapita tu hapa duniani
Mkuuu.... It's never too late to change.... Haya maisha mwisho wake unategemea na leo yetu.... We will die yes...but it's not matter of dying it's how we lived that matters.
 
Mkuuu.... It's never too late to change.... Haya maisha mwisho wake unategemea na leo yetu.... We will die yes...but it's not matter of dying it's how we lived that matters.
Cha msingi hujafanya maovu kama kutelekeza watoto,kuua au kuiba.Usijitahidi kufurahisha watu kuliko kujifurahisha wewe,kama mtu hakupi furaha au amani piga chini
 
Sema tu ndugu,Kama inakupa amani ya moyo inatosha...usikae na vitu moyoni

Sent from my Z9 using JamiiForums mobile app
Mkuuu....Kuna Mambo huwezi hata hadithia mtu....yanasikitisha Sana...Sijui kurogwa kupo.... Inawezekana NAMIMI.nilirogwa....kuna maamuzi unafanya baadae unajiuliza hivi kweli.mimi niwakufanya maamuzi kama Yale....

Inasikitisha Sana.....lakini sisi tunao Amini Allah...Tunasema Mitihani na Furaha zote hutoka.kwa Allah..... Na Tunasema Alhamdulilah....

Ila kwa mtihani nlopitia.. kwa maamuzi yangu yakipumbafu.... Najutia nalia nakusaga meno...

Nawaombea Vijana wafanye maamuzi ya busara....Maamuzi ya leo.Matokeo ya kesho.......
 
Cha msingi hujafanya maovu kama kutelekeza watoto,kuua au kuiba.Usijitahidi kufurahisha watu kuliko kujifurahisha wewe,kama mtu hakupi furaha au amani piga chini
True ..Kama mtu hakupi Amani ...unapiga chini... .maisha haya Kwanini uishi kwa vilio.eti kufurahisha walimwengu?
 
Hata mimi conclusion yangu ni hii kabla hata hajamaliza stori zake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli ni kwamba, unaweza kuwa na ndoto nzuri, mipango mizuri kwa ajili ya kuijenga kesho yako, ila ukikutana na mtu asiye na mlengo sawa na wako, (na kwa kuwa huwezi kuota) basi jua umekwisha!

Kwa mnavyonipiga mawe utasema nyie wote ni watakatifu...hebu semeni ukweli hapa, St. Anne na mwenzako, Nani amekuwa na mpenzi mmoja tu (yaani aliyekubikiri ndiye huyo aliyekuoa/kumuoa) na kama unajua ume-date zaidi ya mwanaume/m/mke mmoja basi hauna tofauti na mimi sema tu wewe haujazalisha,singiziwa/zalishwa baaaas...lakini mengine mengi tunakuwa kwenye ukurasa mmoja tu

Sent from my Z9 using JamiiForums mobile app
 
Aiseee..... We search for happiness in the wrong places...Mimi MAJUTO yangu maishani Ni Mengi Sana.... MATATIZO MAKUBWA KATIKA MAISHA YANGU source Ni Mahusiano....Hadi leo nimerudi Sana kichumi Nyuma.....
....
People say love doesn't cost a thing...but it can cost you more than you could ever Imagine
Nakuelewa sana ndo maana maisha yangu hayategemei mahusiano na mtu yeyote siko addicted na binadamu...niko addicted na chakula basi hivi vingine sio vya lazima bila vyenyewe naishi kwa amani na furaha
 
True ..Kama mtu hakupi Amani ...unapiga chini... .maisha haya Kwanini uishi kwa vilio.eti kufurahisha walimwengu?
Hahahah unamjua waziri mkuu wa Uingereza Borrison ameacha mke na watoto watatu wakubwa akaoa mtu mwingine,Bilionea Elon Musk kaacha mke na watoto watano kaoa tena mtu mwingine mimi mwanamke mwenye mtoto mmoja au wawili nashindwaje kupiga chini nikaendelea kuwa na amani yangu...mahusiano yasitumike kama kigezo cha kufilisika au kuteseka duniani
 
Back
Top Bottom