ThaGreatman
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 708
- 1,466
- Thread starter
- #101
This is the truth, na yupo humu anasoma hii post bila shaka...
Sent from my Z9 using JamiiForums mobile app
This is the truth, na yupo humu anasoma hii post bila shaka...
Ila mkuu Ni Kama nmepata kigagaziko yaan mpk unakua ndo hao tu Kisha unajiona umeumizwa. Kuna watu tukianza tu kuandika idadi Bila story inafika urefu wa story yako. Sio kwa kujisifu Bali changamoto tu mpk wengine unawasevu kiduku wa Sinza, JF1,JF2, Muuza viatu, mdada wa kigoma, nesi wa moroco, mdada wa kidoti na kadhalika. Tatzo kila mahusiano ulikua unaweka ndoa mengine tizi tu.









Wakati mwinhine kuji involve nwa watu tofauti kimahusiano ni hatari, kuna siku unakutana na jini walahiKabisa
Ila Kuna dada hapo katumia uchawi kumkamata huyo ndio anamfanya ashindwe ku focus na mahusiano mengine
Tatizo we learn the hard way.... Baada ya maamuzi mabovu ndo unaona kweli...imekukocost...ndo wengine wanahit n run... wengine wakawa makahaba...wengine wanaamua kuachana na mapenzi kabisa... Wengine wanaamini true love is somewhere waiting for them so...they search for it.Nakuelewa sana ndo maana maisha yangu hayategemei mahusiano na mtu yeyote siko addicted na binadamu...niko addicted na chakula basi hivi vingine sio vya lazima bila vyenyewe naishi kwa amani na furaha
Dah! hawa viumbe washanishinda tabia siku nyingi sana mkuuThis is the truth, na yupo humu anasoma hii post bila shaka...
Sent from my Z9 using JamiiForums mobile app
😂😂😂😂 BAK coment zako tu,eti aachane na uchawi aweke storii tu....unaweza kuta unatajwa kimasihara hapa
Pole sana rafiki, tuliza akili na umuombe Mungu, utapata mke boraMy friend,nimesema hapo juu, nilichokuwa nafikiria na nilichokuwa natenda ilikuwa vitu viwili tofauti,akili yangu iliamua kabisa kutomrudia tena, lakini from nowhere nilikuwa najiendea kama kondoo anayekwenda kuchinjwa, yaani sielewi nilikuwa napatwa na kitu gani
Sent from my Z9 using JamiiForums mobile app
True... Ukiona.mambo yameshindikana...tuachane kwa Amani....Hahahah unamjua waziri mkuu wa Uingereza Borrison ameacha mke na watoto watatu wakubwa akaoa mtu mwingine,Bilionea Elon Musk kaacha mke na watoto watano kaoa tena mtu mwingine mimi mwanamke mwenye mtoto mmoja au wawili nashindwaje kupiga chini nikaendelea kuwa na amani yangu...mahusiano yasitumike kama kigezo cha kufilisika au kuteseka duniani
Mkuu...hili Swali la.umedate wanaume wangapi...naomba tusiulizane..halisaidii zaidi linaboa tuExactly...sema wengi hatusemi ukweli wa tunayokutana nayo, lakini kila mtu angesema ukweli tungekimbiana...
Imagine asilimia kubwa ya wadada ukiwauliza ume-date wanaume wangapi mpaka sasa,jibu utakalopata ni 2 ikizidi saaana ata-mention wa 3, hata kama ana msululu wa mabasi...
Sent from my Z9 using JamiiForums mobile app
Alinitesa sana kihisia, alijifungua mtoto wa kike, nikawa najitoa kidogo kidogo nilisafiri kwa muda mrefu sana nje ya mkoa, nilimsimulia anko hiyo issue akanisaidia baada ya hapo sikutaka tena ushirikiano wowote na yeye zaidi ya matumizi ya mtoto, baadaye akaanza kukataa kuchukua pesa ya matumizi akinitaka niende (alikuwa ananiambia mtoto hataki pesa zako anakutaka wewe baba yake) sikuwa kuitikia huo witoPole sana, sasa mary iliishiaje, did i miss something here? Hongera pia kwa kujifunza kutumia protection, for the time being una watoto wangapi +wale wa kubambikiwa?
Kwa mwendo huu wa Confession kila siku hata mimi nasubiri jina langu![]()



tukae kwa utulivu tuwe wasomaji huko tunapo elekea mambo ni mengiiiExactly...sema wengi hatusemi ukweli wa tunayokutana nayo, lakini kila mtu angesema ukweli tungekimbiana...
Imagine asilimia kubwa ya wadada ukiwauliza ume-date wanaume wangapi mpaka sasa,jibu utakalopata ni 2 ikizidi saaana ata-mention wa 3, hata kama ana msululu wa mabasi...
Sent from my Z9 using JamiiForums mobile app
DuuhAlinitesa sana kihisia, alijifungua mtoto wa kike, nikawa najitoa kidogo kidogo nilisafiri kwa muda mrefu sana nje ya mkoa, nilimsimulia anko hiyo issue akanisaidia baada ya hapo sikutaka tena ushirikiano wowote na yeye zaidi ya matumizi ya mtoto, baadaye akaanza kukataa kuchukua pesa ya matumizi akinitaka niende (alikuwa ananiambia mtoto hataki pesa zako anakutaka wewe baba yake) sikuwa kuitikia huo wito
Sent from my Z9 using JamiiForums mobile app
Mkuuu...hili.jambo.limetokea 2016... Lakini consequences za haya maamuzi nadeal nazo.hadi leoPole sana
You can always start afresh it’s never too late![]()
Wakati mwinhine kuji involve nwa watu tofauti kimahusiano ni hatari, kuna siku unakutana na jini walahi
What happened aisee, na uliamuaje ili uwe comfortable?Mkuuu...hili.jambo.limetokea 2016... Lakini consequences za haya maamuzi nadeal nazo.hadi leo
... Aiseee lazima ujiangalie wewe Kwanza kabla ya kufanya maamuzi...make sure maamuzi.ufanyayo benefits outweigh the cost....
Mylife has never been the same.....
Mkuuu....unaweza fanya dhambi ukaona hata aibu kusema na Mungu...lakini Mungu wetu Ni msamehevu Sana....haangalii makosa yetu... Aanataka tujitahidi kumtii... Fanya tu.kujilazimisha kufanya Ibada. Inaweza ikawa ndo pona yakoINAENDELEA...
Tumeishia kwenye mahusiano na JF member mwenzetu, (no.7) ila sijamtaja jina ili kulinda heshma yake...
8. JF MEMBER 02.
Huyu pia naomba nisimtaje jina,katika kujadilijadili mambo ya JF moyo wangu ukiwa mfu kabisa kwenye mambo ya mahusiano,tulikuwa tukijadili a b c,za maisha na member mmoja (tukiwa mikoa tofauti) baadaye akaniambia ana safari ya Dar nikamkaribisha, nikamuuliza kama ana mahali pa kufikia akasema nimuandalie tu,nikatafuta hotel, tukakubaliana kwenda kucheck tulipocheck wote tukiwa salama tukajiachia kwa usiku kucha, akanisimulia mengi aliyopitia nikamhurumia sana lakini nikamwambia mimi sina mpango wa ndoa kwa wakati huo akasema pia si kitu anachokiwazia hata chembe, basi tukawa tunakutana tunamaliza haja za miili yetu kila mmoja anaendelea na maisha yake, baada ya miezi kadhaa nikashangaa sana, kumbe mdada alikuwa mke wa mtu na mumewe alikuwa anafanya kazi CRDB-BANK moja ya mikoa ya nchi yetu, nikashangaa zaidi imekuwaje????
Huyu sikumtafuta tena baada ya kujua ni mke wa mtu, (iliniumiza sana kihisia hii) kwa sababu sikuwahi kufikiria ku-date mke wa mtu maisha yangu yote! Japo aliniandikia sana kutaka tuendelee kwa madai kwamba yeye na mumewe walikuwa wamesha achana but I never looked back tukaishia hapo (najua lazima atasoma huu Uzi, ajue tu aliniachia maumivu makali mno)
Baada ya hapo sijapata tena kuanzisha mahusiano yenye malengo, najikuta nipo tu, hisia za kujenga mahusiano serious sina tena, I'm dating nimejifunza kutumia condoms japo sizipendi sana!
Japo kuna wakati nafikiria nifanye maamuzi serious nioe tu lakini ule moyo wa kuamua umekuwa mgumu...
Na ukweli hao 7 nilikuwa na malengo ya kuoa kabisaaa, ila baada ya hayo na kukata tamaa nadhani kuna wengine kama 13 ambao nime-date nao bila kuwa na malengo yoyote, we date thereafter kila mtu anaendelea na maisha yake, hii Hali siipendi sana pia as nakosa ujasiri wa kuingia ibadani kumuabudu Mungu nikijitazama kwenye hiyo angle, niombeeni sana nitoke kwenye huu mfumo wa maisha ndugu zangu...
Sent from my Z9 using JamiiForums mobile app
You are right, bila kuwasahau waume zetu maana hao ndio target hasqa, mtu akishajua huyu ni mume wa mtu basi ndio analala kabisa kwa mgangaWanaume siku hizi wamekuwa wasumbufu wanakuwa kwenye mahusiano kwa machale
Basi wanawake nao wameamua kuwaroga maskini
Pata picha mwanaume mmoja anarogwa na wanawake watatu
Huyu kichwa chake kitakuwa sawa kweli?
Yaani kuna kazi ya kuombea watoto wetu wa kiume,kaka zetu na wadogo zetu
Uliachana nao how?Dah! hawa viumbe washanishinda tabia siku nyingi sana mkuu
Ni story ndefu ila nikipata muda nitaishusha hapa