The Radar Scandal: Investigation & Progress

Hapa dawa ni nguvu ya kura, ninamatumaini kwamba wananchi wanaanza kutenganisha nani fisadi nani siyo. Tuache wamalizane maana ni wakina Rostam walio-leak hii ku-divert attention, wameanza kukanyagana, tusubiri hii splinter group ya mafisadi itatoa info gani... hapa inaanza kuwa Chenge-Mkapa vs Rostam-Lowassa wataanza kurushiana mawe,


Chenge hajiuzulu hivi hivi, also he wont be arrested.
 
Lets wait maana mkuu wa kaya anafika ijumaa, perhaps jumamosi tutakuwa na kitu cha maana kwenye hili
 
Jamani Chenge kachukua Vijisenti tu. anawashangaa eti Watanzania mnaona hizo ni Hela!!!! Nani kawaambia Bilioni ni hela bwana... Ni vijisenti tu. Kwa Fisadi huyu Labda pengine Trilions ndio pesa. Aaah ndugu yangu Majura wa BBC kimekushangaza nini! watanzania wote mtaona hizo ni hela lakini sie mafisadi hizo kwetu NI VIJISENTI TU
 
Hapa dawa ni nguvu ya kura, ninamatumaini kwamba wananchi wanaanza kutenganisha nani fisadi nani siyo. Tuache wamalizane maana ni wakina Rostam walio-leak hii ku-divert attention, wameanza kukanyagana, tusubiri hii splinter group ya mafisadi itatoa info gani... hapa inaanza kuwa Chenge-Mkapa vs Rostam-Lowassa wataanza kurushiana mawe,


Chenge hajiuzulu hivi hivi, also he wont be arrested.

ni kweli kwamba kijiwe hiki cha jamboforum kinatumika na watu kurushiana mawe na madongo. hivi sasa akina rostamu na lowassa wanatumia nafasi hii kujaribu kuwatupia mchanga wa macho wananchi. naomba mjiulize data za akaunti ya chenge zilitolewa na nani? gazeti litapataje data nyeti hivi mpaka akaunt namba? lakini mambo yakianza kuwekwa hadharani na maakaunti ya nje ya akina rostamu na wenzake tanzania hapatatosha.
chenge alitumika kuchukua pesa na baadaye kuzisambaza kwa wahusika, ndomaana alisema mnyonge mnyogeeni haki yake mpeni. kumbukeni pia kuwa vikundi hivi vinavyolumbana vimekaa pamoja katika baraza la mawaziri kwa miongo mingi kwa hiyo wana data nyingi muhimu kuhusu wenzao. badala ya kushangilia hapa, mngeanza kujiuliza nani ametoa data kwa malengo gani.
hivyo vijisenti anavyozungumzia chenge ni kwamba kuna pesa nyingi sana zimechotwa na hao wanaojaribu kummwangusha. ujumbe huu haukuwa kwa watanzania bali kwa wabaya wake.
 
Kuna mtu kanidokezea huyo chenge alipika deal moja ya shs mln 500 akamomba mfanyabiashara mmoja rafiki yake amuhifadhie kwenye ac yake!zikapita mwaka Chenge akasahau kama ana shs mln 500 alizewekeza kwa mtu !yule mfanya biashara ikabidi amuulize mzee zile pesa vipi mbona kimya!Akamwambia nashukuru kwa kunikumubusha nilisha zisahau!Huyu ndiye Andrer Chenge!ni kweli hizo pesa kwake ni vijesenti!!
 
Kikwete hana credibility hata kidogo kucheka cheka tu utadhani mwana si ridh...., akitaka rudisha imani kwa wananchi ajiuzulu uitishwe uchaguzi mpya, ataachisha kazi wangapi? Serikali yote imeoza, wakuu wa wilaya aligawa kishikaji, wakuu wa Mikoa hivyo hivyo, idara nyeti za serikali pia, mawaziri mchezo ule ule akimtoa Chenge wafuate akina Mkullo, Kapuya, Nchimbi, Matayo, Kamara, Msolla, nadhani wote ni mafisadi waende zao wamefilisi nchi yetu...
ACHA KUCHANGANYA HABARI HAPA FALASI WEWE.EBU TAJA UFISADI WA KAMALA,TAJA UFISADI WA MATHAYO AU TAJA UFISADI WA NCHIMBI.JIFUNZENI KUJENGA HOJA ILI WANANCHI WAWAELEWE.
 
ni kweli kwamba kijiwe hiki cha jamboforum kinatumika na watu kurushiana mawe na madongo

...naomba mjiulize data za akaunti ya chenge zilitolewa na nani? gazeti litapataje data nyeti hivi mpaka akaunt namba? lakini mambo yakianza kuwekwa hadharani na maakaunti ya nje ya akina rostamu na wenzake tanzania hapatatosha...

badala ya kushangilia hapa, mngeanza kujiuliza nani ametoa data kwa malengo gani.

Data zimetolewa na Serious Fraud Office, sio gazeti wala sio 'madongo' ya JF. Uwezo iliyokuwa nao SFO kuingia kwenye akaunti za watu wakati wa uchunguzi ni sheria zao wenyewe, na haihusiani na Rostam.
 
tanzania ufisadi hauwezi kwisha yalianza zamani sana lakini hii ya AC inatia aibu kwani inaonyesha ni namna gani watanzania wakikabidhiwa madaraka wanavyotumia vibaya, AC inatakikana kama kweli huu ufisadi kaufanya na afilisiwe
 
Data zimetolewa na Serious Fraud Office, sio gazeti wala sio 'madongo' ya JF. Uwezo iliyokuwa nao SFO kuingia kwenye akaunti za watu wakati wa uchunguzi ni sheria zao wenyewe, na haihusiani na Rostam.

Hata kama data zisingekuwa zimetolewa na SFO, bado jamaa hana sababu ya kuzidi kututukana na VIJISENTI vyetu. Kama wapo hao wenye MAJISENTI na anawajua basi afanye lile lililojema kwa kuwaweka hadharani, ili ya kwamba tuamini kuwa hivyo vyake ni vijisenti na MAPESA yametulia pembeni.
 
Wakuu,

Hivi hawa watu ni akina nani?

Kutoka kwenye akaunti ya binafsi ya Chenge, mamilioni ya shilingi yamelipwa kwa watu mbalimbali wakiwa ni pamoja na Janet Mashale, Mary Nchimbi, Mary Chitanda na Livingstone Ruhere.

Wengine ni Getrude Mtiga, Hawa Kiama, Leocardia Kalumuna, Athumani Sheha na David Sanga.


Hapa kuna ndoa za watu zitaota mchanga. Mtu unaweza kufikiri mama anajituma, anakuja na mlo safi, kumbe ni mafisadi yamekuingilia hata nyumbani kwako.

HAWA NI VIONGOZI WA CCM AMBAO WALIPEWA HELA WAKATI WA UCHAGUZI KWA AJILI YA KUGAWIA WAJUMBE POSHO.HAZIKUWA ZAO.MARY CHATANDA NI KATIBU WA CHAMA WA MKOA NA WAKATI WA UCHAGUZI NDIO ALIKUWA AKIZUNGUKA NA MAMA JK MIKOANI,NI MTU MWADILIFU SANA...KALUMUNA NI KATIBU WA VIJANA WA WILAYA MBEYA.SHEHA NI KATIBU WA VIJANA MKOA WA MOROGORO.
 
Nilisema ajieleze kwa misingi gani? Hawezi kuongea mpaka uchunguzi wa SFO uishe. Baada ya hapo hawezi kuongea mpaka uchunguzi wa PCCB uishe. PCCB wakimaliza aidha ana kesi ya kujibu - kwa hiyo hawezi kuongea kwa sababu ana kesi -, au hana kesi ya kujibu - kwa hiyo hana la kuongea, ni msafi, na mambo yalienda safi kama walivyosema dili la EPA. Angalia mchezo utakavyo enda.

Nina uhakika hakutaja hayo mamilioni wakati alipoambia ataje mali zake!!!! hapo ndipo tutakapomshika!!!
 
ok, kuna chenge, then who next?
Tunataka sasa mwingine mpyaaaaa!! hebu pekueni huko kwenye kumbukumbu zenu najua mafisadi wako wengi, tuwafichue wote halafu tuanze upya na mafisadi wachanga. (samahani just joking)
 
Ninachoweza kukwambia tu ni kwamba haya mambo yote yanayotokea nchini mwetu ni sisi tu wachache ndio tunaona athari zake na kuzikemea kila kukicha. Mimi sitoshangaa Jambazi Jakaya Kikwete na wenzake wote ndani ya Chama Cha Majambazi (CCM) wataposhinda tena kwenye chaguzi mbalimbali hapo 2010. I am sorry to say this lakini asilimia kubwa ya Watanzania ni WAPUMBAVU, WAJINGA NA MAGOIGOI WA KIFIKRA. ... Jamani hivi tutasubiri mpaka lini huku hawa viongozi wanawafanya wananchi wote mazoba na wajinga kiasi hiki... Inaniumaga sana kuona baadhi ya watu kwenye picha za mikutano ya CCM, WENGI WAO SURA ZAO ZIKIWA ZINAONYESHA UFUKARA MKUBWA NA UMASIKINI ULIOKITHIRI lakini ndio hao hao wanaoongoza kuimba zidumu fikra za Mwenyekiti wa CCM na hawaishi kupiga vigelegele kuwashangilia hawa Majambazi.

... Leo asilimia kubwa ya watu vijijini na hata mijini hawana hata yale mahitaji muhimu ambayo taifa lolote linatakiwa kumsaidia mwananchi wake lakini Jambazi Andrew Chenge amezificha pesa zetu ambazo zinajenga uchumi wa nchi nyingine za Ulaya. Halafu unakuta hao hao wananchi wanakipigia tena kura Chama Cha Majambazi (CCM).

Si wajinga, si mazoba, si wapumbavu, si goigoi.

'Informed citizenry is the only true repository of the public will.' Thomas Jefferson

Hawajui kinacho endelea. Hawawezi kujua wanachokitaka. Laiti wangelijua zimwi la CCM lililo nguoni mwao.

Na mwisho wa siku, ni ufanisi wa CCM, ufidhuli wa kuiba kura, ukauzu wa takrima, hekaya ya Jakaya inayo sema ni CCM peke yake inayo weza kulinda amani, na historia ya hadhi ya kilichokuwa chama cha Uhuru na Mapinduzi, ndio kunafanya wanuka rushwa waendelee kupigiwa kura na walala hoi wachovu , wasio na umeme wasio oga, wanao uawa na majambazi na maajali, wakaendelea kuimba kidumu Chama Cha Mapinduzi.

KIKWETE-SHEIN 2010!
 
Bilioni moja zinaitwa vijisenti....
Nina wasiwasi na akili na huyu AC...is he mentally ok? I am in a big doubt.
 
Kwa vile anachunguzwa ingekuwa vizuri zaidi ajiuzulu ili apishe uchunguzi huru. Kwani kuna ulazima gani wa yeye kuendelea na uwaziri!!!??? mwambieni asing'ang'nie madaraka, watu hawamtaki na hawampendi. Nasikia eti kijiwe chake ni kwenye bar moja maarufu ndani ya Movenpick.

Neno kujiuzulu ni msamiati mkubwa sana kwa waafrika wa Afrika .Yeye anaweza kuwaza haya je mkubwa wake ambaye ndiye anayembeba ataweza kukubali ? Kujiondoa namna hii itakuwa kusaidia CCM lakini wao wanadhani atakuwa anakimaliza Chama ambacho ni namba moja kwa JK na kundi lake .
 
ACHA KUCHANGANYA HABARI HAPA FALASI WEWE.EBU TAJA UFISADI WA KAMALA,TAJA UFISADI WA MATHAYO AU TAJA UFISADI WA NCHIMBI.JIFUNZENI KUJENGA HOJA ILI WANANCHI WAWAELEWE.

Wee Mbuzi hujui ufisadi wa Kamala, Mathayo na Nchimbi? Pole sana sana njoo kwa gear nyingine..
 
Back
Top Bottom