The Radar Scandal: Investigation & Progress

Mje hapa wale mnaomtetea JK na CCM yake.JK ni mwizi wa kutupwa na ndo maana anazungukwa na majambazi.Huwezi kuwa kiongozi safi mwenye kila namna ya kupata taarifa za watu wako, lakini bado unachagua na kuwa na baraza la viongozi wezi.
Napenda kuwahakikishieni kuwa kuanikwa kwa ukweli juu ya IPTL,EPA,MEREMETA,BOT TOWERS ndo utakuwa mwisho wa kuwepo kwa CCM Tanzania.
Kama Chenge kaiba kiasi hiki,tujiulize hao waliokuwa juu yake ambao "madili" yao yeye anayajua watakuwa na kiasi gani?
Yaani Tanzania ni kinyaa tupu. Hatuna haja ya kusubiri 2010 tudai ukweli na hatua sasa. Kama tunawapa hawa majabazi na Chama chao(CCM)miaka miwili,tuna moral standard gani ya kumlaumu JK kwa kuwapa muda wezi na wala rushwa ambao anawajua??

Watanzania kama hatuwezi kuona matatizo na kuyachukulia hatua sasa, hata 2010 hatutaweza.Njaa inayokuja na kupanda kwa bei ya chakula, wataitumia kama fimbo ya kuwalainisha na kisha watawanunua cheap kama mafungu ya nyanya Kariakoo kwa pesa walizofisha huko USWISS.

SAA YA UKOMBOZI NI SASA
 
mtumie salamu, wote watakaoanguka pamoja naye walipaswa kuanguka pamoja naye! kwa hiyo kama kwa jiwe moja tutaangusha ndege wawili au watatu.. why not?

haha, hii movie tamu sanaa, maana wameanza kumalizana wenyewe, classic, maana ukiangalia timing ya malipo na ukiconnect who did what and who got paid -----> na uchaguzi wa muungwana...everything becomes very...lovely. This is like a beautiful game of connect the dots.
 
Mwananchi katumikishwa katika ukoloni wa mweusi dhidi ya mweusi.

Tumempeleka baba Kabwela UNO atupatie uhuru, only kum replace Governor General na Sultan Kikwete na wakwasi wake.
 
haha, hii movie tamu sanaa, maana wameanza kumalizana wenyewe, classic, maana ukiangalia timing ya malipo na ukiconnect who did what and who got paid -----> na uchaguzi wa muungwana...everything becomes very...lovely. This is like a beautiful game of connect the dots.

Tusilewe furaha ya kujulishwa ubaya wa mambo.

Kama unaona kuna cha kufurahia hapa, hujaelewa kina cha uozo huu.

Kama unaelewa kina cha uozo, kamwe huwezi kufurahia.
 
Wakuu,

Hivi hawa watu ni akina nani?

Kutoka kwenye akaunti ya binafsi ya Chenge, mamilioni ya shilingi yamelipwa kwa watu mbalimbali wakiwa ni pamoja na Janet Mashale, Mary Nchimbi, Mary Chitanda na Livingstone Ruhere.

Wengine ni Getrude Mtiga, Hawa Kiama, Leocardia Kalumuna, Athumani Sheha na David Sanga.

Hapa kuna ndoa za watu zitaota mchanga. Mtu unaweza kufikiri mama anajituma, anakuja na mlo safi, kumbe ni mafisadi yamekuingilia hata nyumbani kwako.

What!!!! Kuna mzazi wa mtu namjua humo.. I reserve my comments..

alafu huyo mtumishi wa BOT wa siku nyingi ambaye yuko kwenye shirila la umma sasa hivi ni nani(naweza kuhisi)....kuna sehemu inasema alipewa Bilion moja na Chenge.
 
Huu mtandao ni mkubwa sana maana naona sasa wanaanza kuingia na ambao hawakuwemo mara ya kwanza. Account za hawa waheshimiwa zikikaguliwa tutagundua na mafisadi wadogo ambao walikuwa ni secondary beneficiary, hapa patakuwa patamu maana wake za watu ndo watakuwa wengi zaidi.
 
Mje hapa wale mnaomtetea JK na CCM yake.JK ni mwizi wa kutupwa na ndo maana anazungukwa na majambazi.Huwezi kuwa kiongozi safi mwenye kila namna ya kupata taarifa za watu wako, lakini bado unachagua na kuwa na baraza la viongozi wezi.
Napenda kuwahakikishieni kuwa kuanikwa kwa ukweli juu ya IPTL,EPA,MEREMETA,BOT TOWERS ndo utakuwa mwisho wa kuwepo kwa CCM Tanzania.
Kama Chenge kaiba kiasi hiki,tujiulize hao waliokuwa juu yake ambao "madili" yao yeye anayajua watakuwa na kiasi gani?
Yaani Tanzania ni kinyaa tupu. Hatuna haja ya kusubiri 2010 tudai ukweli na hatua sasa. Kama tunawapa hawa majabazi na Chama chao(CCM)miaka miwili,tuna moral standard gani ya kumlaumu JK kwa kuwapa muda wezi na wala rushwa ambao anawajua??

Watanzania kama hatuwezi kuona matatizo na kuyachukulia hatua sasa, hata 2010 hatutaweza.Njaa inayokuja na kupanda kwa bei ya chakula, wataitumia kama fimbo ya kuwalainisha na kisha watawanunua cheap kama mafungu ya nyanya Kariakoo kwa pesa walizofisha huko USWISS.

SAA YA UKOMBOZI NI SASA
Ninachoweza kukwambia tu ni kwamba haya mambo yote yanayotokea nchini mwetu ni sisi tu wachache ndio tunaona athari zake na kuzikemea kila kukicha. Mimi sitoshangaa Jambazi Jakaya Kikwete na wenzake wote ndani ya Chama Cha Majambazi (CCM) wataposhinda tena kwenye chaguzi mbalimbali hapo 2010. I am sorry to say this lakini asilimia kubwa ya Watanzania ni WAPUMBAVU, WAJINGA NA MAGOIGOI WA KIFIKRA. Najua kuna watu mtakuja na kupinga hapa lakini huo ndio ukweli na deep down your heart utakuwa unakubaliana nami. Jamani hivi tutasubiri mpaka lini huku hawa viongozi wanawafanya wananchi wote mazoba na wajinga kiasi hiki. Ushenzi wote huu unafanyika huku asilimia kubwa ya Watanzania wametulia kama vile hakuna lolote baya linalofanywa na viongozi. Inaniumaga sana kuona baadhi ya watu kwenye picha za mikutano ya CCM, WENGI WAO SURA ZAO ZIKIWA ZINAONYESHA UFUKARA MKUBWA NA UMASIKINI ULIOKITHIRI lakini ndio hao hao wanaoongoza kuimba zidumu fikra za Mwenyekiti wa CCM na hawaishi kupiga vigelegele kuwashangilia hawa Majambazi. Kwa hiyo sitoshangaa asilimia kubwa ya watanzania kwa mara nyingine tena wakitulia kimya na kutopiga kelele zozote kuhusiana na hili jambo.

Jeuri ya Chenge na viongozi wengi ndani ya CCM inatokana na mozoea yao kuwa Watanzania ni watu wa kukubali kila kitu, Watanzania hawalalamiki hata wafanyiwe unyama kiasi, Watanzania wanabaki kuwa wapole hata wadhalilishwe kwa njia zozote zile. Hii ndio jeuri inayomfanya Jambazi Andrew Chenge aonyeshe dhihaka kwa watanzania wote. Leo asilimia kubwa ya watu vijijini na hata mijini hawana hata yale mahitaji muhimu ambayo taifa lolote linatakiwa kumsaidia mwananchi wake lakini Jambazi Andrew Chenge amezificha pesa zetu ambazo zinajenga uchumi wa nchi nyingine za Ulaya. Halafu unakuta hao hao wananchi wanakipigia tena kura Chama Cha Majambazi (CCM).
 
Taratibu mambo uenda yanaongezeka, sisi kama tunaojua matatizo ya CCM tuna majukumu yafuatayo:-
  • 1. kuwaelimisha watanzania wenzetu kile tunachokiamini kuwa ni sahihi na kukitetea hapa
    • kuwaelimisha watanzania wenzetu kile ambacho tunaamini ni sahihi na kukitetea hapa JF
    • Kuakikisha hatukati tamaa maana mambo yeyewe ni mengi sana na tutakutana na vikwazo vingi sana
    • Kwenye kufanya haya tunaweza kupitiwa na upepo mbaya wa aina zote i.e kukamatwa, kuteswa na mengineyo maana tunakuwa tunataka kukata bomba la mafisadi
    • Kupigia kelele NGO ziwe pamoja na sisi baada ya kujifanya hawaoni hili swala kama linaathiri wananchi
    • Kutotumia lugha za matusi ili wasipate nafasi ya kutushitaki, Hoaj ujibiwa kwa hoja

    Hii vita inabidi isiwe na mwisho na isiishie CCM tu hata kama kuna mafisadi sehemu zote mashirika ya umma, ngazi zote za serikali, hata kwenye NGO zenyewe.
 
Ninachoweza kukwambia tu ni kwamba haya mambo yote yanayotokea nchini mwetu ni sisi tu wachache ndio tunaona athari zake na kuzikemea kila kukicha. Mimi sitoshangaa Jambazi Jakaya Kikwete na wenzake wote ndani ya Chama Cha Majambazi (CCM) wataposhinda tena kwenye chaguzi mbalimbali hapo 2010. I am sorry to say this lakini asilimia kubwa ya Watanzania ni WAPUMBAVU, WAJINGA NA MAGOIGOI WA KIFIKRA. Najua kuna watu mtakuja na kupinga hapa lakini huo ndio ukweli na deep down your heart utakuwa unakubaliana nami. Jamani hivi tutasubiri mpaka lini huku hawa viongozi wanawafanya wananchi wote mazoba na wajinga kiasi hiki. Ushenzi wote huu unafanyika huku asilimia kubwa ya Watanzania wametulia kama vile hakuna lolote baya linalofanywa na viongozi. Inaniumaga sana kuona baadhi ya watu kwenye picha za mikutano ya CCM, WENGI WAO SURA ZAO ZIKIWA ZINAONYESHA UFUKARA MKUBWA NA UMASIKINI ULIOKITHIRI lakini ndio hao hao wanaoongoza kuimba zidumu fikra za Mwenyekiti wa CCM na hawaishi kupiga vigelegele kuwashangilia hawa Majambazi. Kwa hiyo sitoshangaa asilimia kubwa ya watanzania kwa mara nyingine tena wakitulia kimya na kutopiga kelele zozote kuhusiana na hili jambo.

Jeuri ya Chenge na viongozi wengi ndani ya CCM inatokana na mozoea yao kuwa Watanzania ni watu wa kukubali kila kitu, Watanzania hawalalamiki hata wafanyiwe unyama kiasi, Watanzania wanabaki kuwa wapole hata wadhalilishwe kwa njia zozote zile. Hii ndio jeuri inayomfanya Jambazi Andrew Chenge aonyeshe dhihaka kwa watanzania wote. Leo asilimia kubwa ya watu vijijini na hata mijini hawana hata yale mahitaji muhimu ambayo taifa lolote linatakiwa kumsaidia mwananchi wake lakini Jambazi Andrew Chenge amezificha pesa zetu ambazo zinajenga uchumi wa nchi nyingine za Ulaya. Halafu unakuta hao hao wananchi wanakipigia tena kura Chama Cha Majambazi (CCM).

Mazee, I feel you man. Yaani hapa nilipo nina hasira na ninajaribu kwa nguvu zangu zote kung'ata ulimi. I have some choice words for them but I'll keep them to myself...for now..
 
Chenge hawezi kujiuzuru anajua kuwa wakimwanga mboga yeye atamwaga ugali. Lakini JK angetumia karatasi alitumia kwa balali watu watamwona ana maana
 
Tusilewe furaha ya kujulishwa ubaya wa mambo.

Kama unaona kuna cha kufurahia hapa, hujaelewa kina cha uozo huu.

Kama unaelewa kina cha uozo, kamwe huwezi kufurahia.

Ni furaha kubwa Kuona katika historia yetu, UOZO WA WATU UNAWEKWA HADHARANI. It should be a day to rejoice because It is the first time people will get to understand how things went down, I feel a sense of Joy to see things like these happen. Everyone was affected, so to sit here and cry about it makes no sense, like I said, you and I know there is so much more that will come out of this. I cant hide my sense of joy, i just cant. Na mimi ni mmoja wa watu wanaofahamu sana kiini cha uozo huu (wengine tumetishiwa kuondolewa). Na nitaendelea kufurahia the fact kwamba finally watu tuliokuwa tunapiga makelele kuhusu hawa watu wanaanza kuona ni nini hasa kimeendelea.
 
I am terribly missing Kada Mpinzani, huko alikojichimbia njoo umteteee Chenge......!! anatahihiliwa hapa JF na 1.2 Bilion Tshs eti visenti...
 
Huyu Mary Nchimbi, si ni yule dadake waziri Nchimbi? Kama kumbukumbu zangu ziko sahihi, FMES alitueleza mengi sana kule Business Times juu ya huyu dada na chapati zake na kifo cha mtoto wa Trekta.

Sasa Fisadi Chenge hawa watoto wote walimfanyia kazi gani nzuri mpaka awalipe mamilioni?

Katika hii issue ya Chenge tutajua mengi sana. Mzee ES yuko wapi mbona kimya leo?
 
Issue zimemzidi mpaka kaamua kuishia, anyway atakuja siku moja atatukuta hapa tukimkoma nyani gradi
 
Cha kushangaza unaweza kusikia kuwa hajiuzulu mtu. Hapa bado maswali yanajitokeza, Chenge mwenyewe amesema tuhuma za vijisenti, kwa kapuku kama mimi hizo hela sio vijisenti ni hela kweli, kwa Chenge ni vijisenti na bado anaongea kwa nyodo, kuna Mengi anayojidai nayo.
Lakini ukweli ni kuwa kama hizo hela sio za Rada kama anavyosema yeye, inamaana kuna mahali zimetoka iwe ni EPA au kwingineko ambako hatuwezi kujua lakini itakuwa ni hiyohiyo milungula, na kama waingereza (SFO)wasingechunguza ina maana basi tungekuwa hatujui kama jamaa anakitika kikubwa namna hiyo.
Cha kusikitisha ni kuwa Tanzania tunalalama kuomba watu waje kuwekeza nyumbani, kumbe pesa zetu zinaenda kuiendeleza Uswisi, na cha ajabu ni kuwa hao hao walioko juu wanatuzuga kila siku, na kutuambia kidumu chama cha mapinduzi.....kumbe wanatuona wajinga!
 
Credibility ya Kikwete (kama bado ipo) iko kwenye line mbaya sana katika hii issue ya Chenge. Kikwete aamue kufanya kitu hapa angalau arudishe imani yake kidogo kwa wananchi.
 
Kikwete hana credibility hata kidogo kucheka cheka tu utadhani mwana si ridh...., akitaka rudisha imani kwa wananchi ajiuzulu uitishwe uchaguzi mpya, ataachisha kazi wangapi? Serikali yote imeoza, wakuu wa wilaya aligawa kishikaji, wakuu wa Mikoa hivyo hivyo, idara nyeti za serikali pia, mawaziri mchezo ule ule akimtoa Chenge wafuate akina Mkullo, Kapuya, Nchimbi, Matayo, Kamara, Msolla, nadhani wote ni mafisadi waende zao wamefilisi nchi yetu...
 
Back
Top Bottom