Either JK is absolutely idiot or he is part of all this!! Being the head of the country, and with all the support network around him, I can certainly say he is both (idiot and part of it)...HUYU NDIO MCHAWI MWENYEWE, hapa jf Chenge has been discussed way back... Inamaana hakusikia?? Kama raisi amechukua uamuzi gani mpaka saa hivi?
I mean what is the wrong with our president? Au mimi ndiyo ninayeshangaza kwa kumshangaza JK?
Kulitetea hili li chama na serikali yake ni kujichafua na kuonekana huna akili.Walioko jikoni wanakuambia mambo sio mazuri we barazani unapinga.Kama sio utapiamlo wa akili ni nini!!
hiyo ni transaction moja ndio wanayoiongelea, hawa wenzetu sio kama ile ya hosea wa ile nini sijui takukuru maana jina lenyewe ni kichefuchefu kitupu.watawapata mmoja baada ya mwingine mpaka bosi wao jk na nkapa.
I support your idea, could you please draft one right now and we'll spice it as we go along....Sasa tuache kulalamika, email yake hii hapa achenge@parliament.go.tz
Tuandike email ya pamoja kama kikundi na kumtaka aeleze alivyopata hiyo mihela ama sivyo ajiuzulu.
Enough with kulalamika, tumuandikie na tumueleze.Ikiwezekana tutume na fax pia.Na tuendelee na utamaduni huu.Pengine hata hajui kuwa kuna watu wa "pressure group" JF wanajua hizi habari.
Mnaonaje?
I support your idea, could you please draft one right now and we'll spice it as we go along....
you damn right he is