Hili ndo tatizo jingine katika kukabiliana na wezi wetu. But see what, we (Tanzanians) are ready for it. Once our gov't doesn't do anything over these scandals we'll offer them something in few days to come.I am afraid that the wapelelezi wanaweza kuwa wanapoteza muda wao bure kwani serikali imeshasema kuwa inawaogopa mafisadi
Mr Clean and company kaeni mkao wa kula, twaja kwenu soon. Labda hizo mali mzitoe kwa yatima na wakfu kuvuruga ushahidi...mkiwapa wajukuu zenu haitasaidia kwani twawajua
kweli kabisa, watakuwa scrutinized mmoja baada ya mwingine. Hii itakuwa mfano kwa kizazi chetu kujali maslahi ya umma zaidi na kuzifukia kabisa tamaa za utajiri binafsi. What goes around comes around. We have to be responsible for our actions.But see what, we (Tanzanians) are ready for it. Once our gov't doesn't do anything over these scandals we'll offer them something in few days to come.
Never underestimate people. We're awake... Pinda will do nothing if not forced by we journalists and dedicated Tanzanians. Let's give him facts, let our 'dedicated' lawyers do the needful help on this.
Hii imetulia, hila huyu Kikwete anataka aambiwe na nani kuwa huyu Bwana Chenge amurudishe nyumbani kwao? Mtu kila mtu anajua hafai, kikwete anaona anafaa kuwa waziri.
Nina wasiwasi na Usafi wa JK?
Kikwete anataka kuwa raisi wa kwanza Tanzania kumuhukumu mtu kwa kutafuta ushahidi kamilifu. I think ni vizuri na inaonyesha tumepiga hatua kidogo....
Matunaini yangu ni kuwa huo ushahidi utakuwa kamilifu kumfikisha kizimbani na kumfilisi yeye na familia nzima.
Hopes zangu zipo chini mpaka pale mtuhumiwa atakaposimama kizimbani na kukutwa na hatia.

Sasa hili nalo lilihitaji kumrudisha Chenge kwenye cabinet? Hivi wewe una imani na dedication ya Kikwete at this point?
1.Seif Mohamed Khatib.
2.Stephen Wasira
3.Mustafa Mkulo
4 Andrew Chenge
5.Prof Juma Kapuya .
6.Mark Mwandosya
7.Peter Msola
Kikwete anataka kuwa raisi wa kwanza Tanzania kumuhukumu mtu kwa kutafuta ushahidi kamilifu. I think ni vizuri na inaonyesha tumepiga hatua kidogo....
Matunaini yangu ni kuwa huo ushahidi utakuwa kamilifu kumfikisha kizimbani na kumfilisi yeye na familia nzima.
Hopes zangu zipo chini mpaka pale mtuhumiwa atakaposimama kizimbani na kukutwa na hatia.
Yebo Yebo,
Kwenye siasa ushahidi sio lazima ili kukumwondoa mtu madarakani. Perception ya watu juu ya mhusika ni sababu tosha kumwondoa waziri madarakani. Kwa Chenge nafikiri ilikuwa makosa makubwa kumrudisha kwenye uwaziri wakati tayari kulikuwa na tuhuma nyingi za rushwa dhidi yake.
Kumshitaki mahakamani ndio unahitaji ushahidi au kama sio kazi ya siasa basi kumfukuza mtu kazi unahitaji ushahidi lakini sio kwenye siasa.
Tatizo letu Watanzania hasa tuliokaa nje tutanataka siku moja tuamke asubuhi na kukuta Tanzania yetu inaongozwa kwa Demokrasi sawa na Marekani au UK etc. Taratibu jamani ohh....
Chenge ilikuwa ni makosa kumrudisha kwenye uwaziri lakini tukumbuke kuwa walau sasa tumesikia anachungzwa. Huko tulikotoka hata hizo tuhuma zake tusingekuwa tunazijua leo!!