The Radar Scandal: Investigation & Progress


To Wote and particularly Mods,

Hapa kwenye nukuu naona BAK (kama nakosea naomba kurekebishwa) katoa content ya PM kutoka kwa FMES.

Nadhani hii si kitu kizuri na ni aina fulani ya utoto..Hii si tu ni ku-violate mutual consent na privacy kwa ujumla, bali BAK anadhihirisha yaliyoko moyoni mwake na yeye ni mtu wa namna gani (zero credibility).

Nafikiri pia hii ni angalisho kwa members wote kuwa macho na baadhi ya watu tunaokutana hapa jamvini na kuanza kutumiana PM. Kuna kila dalili kuwa kuna watu hawana 'vifua' na sijui ndo ujinga, upumbavu au vyote kwa pamoja.


Napendekeza kitendo hiki cha BAK kiainishwe na kukemewa mpaka tujiridhishe kwamba adhabu muafaka inakuwa issued kwa vitendo kama hivi visijirudie.

Namwaga upupu..
 
Mtindiowaubongo. Bubu Aliyeamua Kusema ametoa baada ya yeye kushutumiwa kupeleka PM ya kujipendekeza. Ametoa kukanusha madai dhaidi yake ya huyo aliyemtumia PM. Haujamtendea haki hapa.

Hayo ya kuwatuhumu wenzako kuwa wajinga na wapumbavu ndicho kinachobidi kukemewa na si Bubu Aliye amua Kusema.

Amandla.........
 
Mtindiowaubongo. Bubu Aliyeamua Kusema ametoa baada ya yeye kushutumiwa kupeleka PM ya kujipendekeza. Ametoa kukanusha madai dhaidi yake ya huyo aliyemtumia PM. Haujamtendea haki hapa.


Hakuna sababu za msingi zinazojustify kitendo alichofanya..nazidi kupendekeza kuwa apewe adhabu kali kwa utovu wake wa nidhamu..
 


Hayo ya kuwatuhumu wenzako kuwa wajinga na wapumbavu ndicho kinachobidi kukemewa na si Bubu Aliye amua Kusema.

Amandla.........

Mara nyingi huwa sipendi ku-discuss non-issues, lakini hii ni special case.

Tazama kwa makini njilichoandika hapa chini..

Kuna kila dalili kuwa kuna watu hawana 'vifua' na sijui ndo ujinga, upumbavu au vyote kwa pamoja.

Baada ya hapa, I demand an apology..
 
Mtindiowaubongo.

Bado haumtendei haki Bubu Aliyeamua Kusema. Ungekuwa kweli unasimamia haki basi hii sense yako ya outrage tungeiona mapema wakati mashambulizi yameelekezwa kwake! Hapa unachotaka kufanya ni kumwaga upup tu!

Neno sijui halibadilishi muelekeo wa hoja yako kuwa uliowalenga ni wajinga na wapumbavu. Unawa-underestimate wanaosoma na wanachama wa jamvii hili.

Hata hivyo, I apologise kama ulivyo-demand.

Amandlaa........
 

- Mkuu hoja yako ya msingi kuhusu dataz umekwama, dataz za Mramba kushikwa nilizitoa kwenye huu mjadala a year ago,- Ya personal umeshindwa kwa sababu wewe mwenyewe kwa maneno yako unakubali kuwa unaheshimu kazi yangu hapa.

- Ya media na mimi hayo wala sina sababu ya kuficha na wala sijawahi kuficha what I do besides kuandika hapa bure, I have said that before na ninarudia tena kwamba ni JF peke yake ninapopaheshimu ndio ninatoa dataz bure,

- Ya kuwepo na kutokuwepo hapa hayakuhusu na wewe kuwepo hapa pia hayanihusu, uliniuliza maswali nikakujibu, mimi kukupigia wewe hapana si kwa hiyo mkuu sioni hoja hapo umekwama, matatizo yenu ya kutaka kunichafua mnahangaika bure dataz ziko hapo wazi tena ziko clear.

Ahsante Mkuu, lakini siwezi kukusaidia maana dataz zangu ziko wazi naomba nziirudie tena kukuwekea hapa chini.
 
Mkuu Bubu na wenzako, kilio chenu ni kwamba ninatoa dataz za uongo, dataz hizi hapa nilizozitoa one year ago, ninarudia hivi kama mnazo dataz za kuonyesha uongo wangu hapa kwenye hizi dataz mimi niko tayari kukubali uongo wangu, mkuu wangu Mtindio usiwe na wasi wasi bro, ukweli tu ndio unaosimama hapa sio uongo, na ukweli wa dataz zangu huu chini :-

[/QUOTE]
 
Hawa ndio watanzania!miaka 47 ya uhuru kwi kwi!kazi kweli kweli
 

Ndg FM, I don't underestimate kwamba unasukumwa na ubishi ktk hili..

This will be the last time I attend to your non-issues.. Hoja ya msingi ilikuwa BAK ametoka nje ya sheria tulizokubaliana, tena inayohusu privacy, hii ni serious issue..

Inashangaza unamtetea kwa hili. Habari ya kukemea sijui thread nzima ..kumbuka nina haqq ya kuchagua ninachotaka kuchangia na wala sijaajiriwa kama hakimu au critic hapa JF. Naomba kuwa mwelewa ktk hili.
 
Mbona aliyepost PM kabla ya BAK husuggest adhabu kwake'? au ni BAK pekee asiye na haki ya kupost PM na kustahili adhabu kali? just curious...
 
Haya ni maneno mengine niliyasema last two mothns kulingana na kinachojiri hapa:-

 
Mbona aliyepost PM kabla ya BAK husuggest adhabu kwake'? au ni BAK pekee asiye na haki ya kupost PM na kustahili adhabu kali? just curious...

Inashangaza unamtetea kwa hili. Habari ya kukemea sijui thread nzima ..kumbuka nina haqq ya kuchagua ninachotaka kuchangia na wala sijaajiriwa kama hakimu au critic hapa JF. Naomba kuwa mwelewa ktk hili.
 
Mkuu Mtindio,

Hayo maneno ni mimi niliyemundikia kumjibu baada ya kuntumia PM, kwa hiyo cha muhimu ni kama anaweza kuthibitisha uongo wangu on it, na pia uongo wa dataz zangu kama alivyodai kwenye hoja yake ya msingi. Otherwise mkuu let it go haina sababu cha msingi ni ukweli na ukweli, Bwa! ha! ah! ah!.

Usijeukawafanya wakafikiri wana hoja, maana hawana ukweli uko wazi hapo waweke uongo ulipo. Yote ni ya ukweli 100% kwa hiyo mkuu rest assured kwua haikuna kilichoharikibika kama wanavyotaka kusema, qoutes zangu nimezitoa kwenye topics kule kwenye complaints kwa hiyo wasikusumbue ukweli hauwezi kubadilishwa ukawa uongo, yote niliyasema kwenye PM na dataz ni mimi FMES, mwenye ukweli zaidi wa kuonyesha uongo wa maneno yangu ninamkaribisha, I stand behind my words kwa 100%.

FMES
 
Justifications za nini sasa?ok ok DATAZ zote ni za ukweli hakuna hata chembe ya uongo!Maana ni kweli Hayawi Hayawi yamekuwa CHENGE YU MOTONI!
 
Inashangaza unamtetea kwa hili. Habari ya kukemea sijui thread nzima ..kumbuka nina haqq ya kuchagua ninachotaka kuchangia na wala sijaajiriwa kama hakimu au critic hapa JF. Naomba kuwa mwelewa ktk hili.

Sijamtetea, na sitapenda hata siku moja PM yangu iwekwe hapa jamvini. Na sitathubutu kuweka hapa PM niliyotumiwa.

Lakini kwa BAK kuweka PM kama ilivyofanywa na aliyetangulia, hakuna cha ajabu, sisi ni binadamu hatuna moyo wa chuma kuistahamili tuhuma zisohusu. the latter anakubali kuanza.

Ninachouliza whats so special with BAK kustahili adhabu kali pekee, je hii ndio mara ya kwanza kwa PM kuwekwa hapa jamvini? useme anapewa onyo na kuwa itakuwa fundisho kwa wengine.

Labda niiweke hivi, je unaogopa kussugest adhabu kwa other part? Geeee, mod mimi nisijeambiwa nataka fungia watu pheeeeeeeeeeeeeeew
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…