Naishi katika toba na maombi kuna kuanguka hapa na pale lakini imani yangu ni thabiti
Mpango uliopo ni kufungua kituo cha utafiti na maarifa juu ya imani na ulimwengu wa roho
Hutaweza asilani. . makafara ya biashara za kubet na kamari ni makubwa mno, unaweza kujaribu kufanya hivyo ukajikuta unaondoka wewe ama unapoteza zaidi
Mkuu ,kuna watu wanalalamika kuwa kuna nguvu zinawakaba usiku yaani mtu anajikuta amegandamizwa hata kugeuka hawezi na sauti haitoki ,je hizi nguvu zitokea wapi na ni zipi njia za kuziepuka?
Gamboshi ipo ni kijiji cha kawaida machoni pa wengi ila kwenye dunia ya giza ni habari nyingine
Vyeo vya wachawi vipo kutegemeana na makafara lakini kuna ranks zinazotambulishwa na bangili ya shaba mkononi
Mkuu,hapo ndo unapo waaancha wengi njia pandaa,maana kwa jinsi uelewa wako wa haya mambo wengi wanashangaaa unaposema una mwamini mungu mmoja katika nafsi tatu.pamoja sana mkuu.