The Interview: mshana Jr.

Rejea kitabu cha Ayubu kwenye Bible na yale aliyopitia
 
kitu/vitu gani huwa vinakufurahisha sana katika maisha yako. Nini kinakupa sababu ya kuishi.? Na what was your best moment katika maisha yako.?
 
Mm nipo msata itabidi nikutafute Nina maswali mengi sana ya kukuuliza mshana
 
1. Ushawahi kufumaniwa.? Ulijinasuaje.?

2. Je unaamini kuwa mwanaume mmoja anaweza kuridhika na mwanamke mmoja.? Kwa nini.?

3. Ni jambo gani haswa unalichukia katika maisha yako .?
 
Rejea kitabu cha Ayubu kwenye Bible na yale aliyopitia
Lakini huyu Mzee Ayubu majaribu yake yalikubaliwa na Mungu! Yaani alimruhusu Shetani akamjaribu Ayubu.

Au wachawi wote huwa Mungu anakuwa amewaruhusu?
 
Kabla ya kufungua uzi naona picha ya mshana ila nimefungua siioni jamani
 
Uyu mshana anaweza kuwa mchawi aisee si buree
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…