Kuna nguvu za kiroho na giza zinafanya kazi kwa kisingizio cha mengineNaomba kuuliza maostadhi wanao kusomea dua kukunga'risha nyota ulichafuliwa na kukupa dawa ya kuoga kujisafisha na kuchoma naye ni mganga au uchaiwi au ni dua tu
Si wote wanajitokeza kwa form nyingi sanaKwanini wachawi wanapenda kujigeuza paka
Kazi kwelikweljMchawi anakudhuru mwanga anakuchezea tu
Sidhani lalasheLalashe atarudi huyu
Half timebora umerejea bro mshana,
.nashubiri unitag mkuuNaomba kuna topic takutag ina majibu ya kina
Kwa hiyo kama nyumba haina pembe/ kona hawezi kuingia?Kwa kutumia utaalam wake Maranyingi huingia kinyumenyume uchi kupitia pembe ya chumba
Nilijibu kwa kuedit post yakoMkuu katika post namba 93 nimeona tuu umeandika samahani nimejibu kwa kifupi.
Rejea story ya Bible pale Bwana Yesu alipowaamuru wale pepo wawaingie wale nguruweMafuta na mifupa ya nguruwe ni ulinzi dhidi ya wachawi?
Umejuaje!? Je kuna request rasmi imeombwa kuwaroga?kwanini wachaw hawawalogi wanao iba pesa za wananchi?
Mmh ya duara mpaka kwenye paa?Kwa hiyo kama nyumba haina pembe/ kona hawezi kuingia?
Nilijibu kwa kuedit post yako
Hivyo vitu havipatani na wachawiMfupa wa nguruwe chumvi nk wanasema km mtoto halali usiku tuviweke key sehemu au tuzungushie nyumba hii imekaaje? Kuna uhusiano gani kati ya kuweweseka kwa mtoto na chumvi na mifupa ya nguruwe? Au vituu swaumu
Kwa njia za kichawi akiwa uchiMchawi anaingije ndani kwangu usiku huku nikiwa nimejifungia milango na madirisha?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Dah! We jamaa!Hapana ila nilishawahi kufika mpaka eneo la kuondokea
[emoji23] [emoji23] [emoji12][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Dah! We jamaa!