Haina haja kulilia maziwa yaliyokwisha mwagika.

Kwa Costa kweli tulikosea nadhani hiyo treatment ya Costa ndiyo ilipelekea hata Kocha kuondoka.

Ila Costa sio striker pekee aliyebaki. Tunaweza invest kwa striker mwingine au alternative bora ni kutafuta striker wa kawaida na kuinvest zaidi kwenye attacking midfielders/wingers na defensive midfielders.
Sasa strike mwenyewe mmeinvest
N groud?????

Mara 10 mngenunua hata Auba
 
My friend, huyo Giroud ambaye hajafunga WC nzima kacheza mechi zote. Sometimes, contribution yako katika timu inafunika ukame wa magoli.
Haa haa haa aiseee ningeshangaa
Sana ungenambia huyo ndo strike mnaemtegemea
 
Kwa sasa kuna nani mpya...Giroud na Morata. Na kwa hao wawili, ni heri kumtaja Giroud kama main striker.

Huyu Morata tukifanikiwa kumuuza itakuwa poa tu. Tutafute striker mwingine.

Hapo hapo unasikia tunamtaka Higuain. Unafhani kutakuwa na nafuu yoyote?
Groud na morata hao n kama
Wanalala tu kitanda kimoja
Maana yan mambo yao n kama yanafanana
Tu

Bora hata mumpate tu huyo higuain
Atawasaidia kias
 
  • Chelsea officials have travelled to Italy to meet their Juventus counterparts and try to seal a deal for £40m-rated defender Daniele Rugani.



daniele-rugani-041117.jpg
 
Back
Top Bottom