azpiculeta hizi mechi mbili kacheza hovyo sana, but cahil ni LIABILITY hilo hata haliitaji jicho la tatu,
mbona mourinho alikua anamuweka benchi na kumpanga zouma and no body complain?????
cahil mda wake umepita, walikuwepo akina ivanovich, carvalho, terry kwenye ubora wao ila walivo demise wakawapisha vijana wa kazi.
conte msimu huu atauona mgumu na kushindwa kufikia target kama ataendelea kuwakumbatia wachezaji ma floppy kama [cahili+fabregas].
Msimu gani ambao Mourinho alimuweka Cahill bench akawa anampanga Zouma?
Fabregas Flop? kwa takwimu zipi? au tuambie maana ya flop kwanza
 
hata hao legends wake anawajua basi? yeye kutwa anaifatilia Chelsea unafikiri ya kwak atayajua saa ngapi?

wamekutana na team zisizojiweza wanajiita the invicible, subiri november waanze kukutana na wanaume uone kama utamuona hapa.
 
Msimu gani ambao Mourinho alimuweka Cahill bench akawa anampanga Zouma?
Fabregas Flop? kwa takwimu zipi? au tuambie maana ya flop kwanza

msimu wake wa mwisho, hivi hamuoni cahili anavokuwa abused mostly from his/her supporters on twitter and social network???????
ulimsikia thierry henry anavomuelezea cahil kuwa ndo weak point ya chelsea??????
ulimsikia roy hodgson baada ya kutufunga aliongea kuwa aliwapanga akina zaha wam target cahil ndo weak point???????
cahili huyu awapishe vijana wa kazi.
conte namkubali sana, ila akiendelea kuwakumbatia watu kama akina cahili na fabregas aiseee hapo no way out.
 
My team the BLUES, j washabiki wa Chelsea tumeumia MNO, mechi ya pili mfululizo kufungwa, William, hazard na batswayi wamecheza chini ya kiwango MNO. Kwa mpira huu, tukikutana na man u, Liverpool, spurs, man city tutalula nyingi sana, ni lazima wachezaji wajitume sana
Mbona spurs mshawafunga?
 
msimu wake wa mwisho, hivi hamuoni cahili anavokuwa abused mostly from his/her supporters on twitter and social network???????
ulimsikia thierry henry anavomuelezea cahil kuwa ndo weak point ya chelsea??????
ulimsikia roy hodgson baada ya kutufunga aliongea kuwa aliwapanga akina zaha wam target cahil ndo weak point???????
cahili huyu awapishe vijana wa kazi.
conte namkubali sana, ila akiendelea kuwakumbatia watu kama akina cahili na fabregas aiseee hapo no way out.
Katika msimu wake wa mwisho Mourinho yaani 2015/2016 timu nzima ilivurugika kabisa kuna wakati Hazard alikaa bench kuna wakati Fabregas alikaa bench kuna wakati Ivanovic na Terry walikaa bench hata katika mechi dhid ya Southmpton darajani tunakufa 3-1 Matic aliingizwa kipindi cha pili na kishakutolewa katika kipindi hicho hicho cha pili kwahiyo katika msimu huo hakuna mchezaji aliyekuwa na uhakika wa namba katika kikosi cha kwanza isipokuwa kipa na Willian kwani Willian ndiyo alikuwa mchezaji bora wa Chelsea msimu ule.
katika msimu wa 2013/2014 (Ivanovic Cahill Terry Cole) na 2014/2015 (Ivanovic Cahill Terry Azpilicueta) chini ya Mourinho panga pangua Cahill alikuwa anaanza na katika msimu wa 2016/2017 (Azpilicueta Luiz Cahill) chini ya Conte panga pangua Cahill alikuwa anaanza sasa naomba uniletee huo wakati ambao Zouma alikuwa anamuweka bench Cahill akiwa fit.
Tuseme Cahill mbovu kwa sasa haya Conte anampendelea na timu ya taifa je mbona anaanza? au na kule kikosi anapanga Conte?
 
Magoli tuliyofungwa na Crystal Palace la kwanza la kujifunga na la pili limetokea upande wa Azpilicueta.
Magoli ya Roma la kwanza limetokea kwa Azpilicueta la pili ni kosa la Christensen kuchelewa kumkaba Dzeko baada ya kupigwa pasi ndefu la tatu kichwa sasa Cahill kosa lake lipi hapo? Naomba uwe unaongea kwa facts mkuu siyo kusema flani kasema hivi flani kasema vile hata wewe unaweza kuwa flani na ukasema pia ukipata nafasi ya kusema
 
6560e2875301669c8ac24a3d6cab5770.jpg
Nasikia hapo cahil alikuwa anapuliza huo mpira ili utoke kwenye himaya ya huo mguu Wa opponent wake!
 
Katika msimu wake wa mwisho Mourinho yaani 2015/2016 timu nzima ilivurugika kabisa kuna wakati Hazard alikaa bench kuna wakati Fabregas alikaa bench kuna wakati Ivanovic na Terry walikaa bench hata katika mechi dhid ya Southmpton darajani tunakufa 3-1 Matic aliingizwa kipindi cha pili na kishakutolewa katika kipindi hicho hicho cha pili kwahiyo katika msimu huo hakuna mchezaji aliyekuwa na uhakika wa namba katika kikosi cha kwanza isipokuwa kipa na Willian kwani Willian ndiyo alikuwa mchezaji bora wa Chelsea msimu ule.
katika msimu wa 2013/2014 (Ivanovic Cahill Terry Cole) na 2014/2015 (Ivanovic Cahill Terry Azpilicueta) chini ya Mourinho panga pangua Cahill alikuwa anaanza na katika msimu wa 2016/2017 (Azpilicueta Luiz Cahill) chini ya Conte panga pangua Cahill alikuwa anaanza sasa naomba uniletee huo wakati ambao Zouma alikuwa anamuweka bench Cahill akiwa fit.
Tuseme Cahill mbovu kwa sasa haya Conte anampendelea na timu ya taifa je mbona anaanza? au na kule kikosi anapanga Conte?

kigezo cha kuanza team ya taifa sio facts, mbona mikel obi hakucheza hata mechi moja chini ya conte na team ya taifa alikua anaanza na alikua captain??????
david luiz kacheza vizuri recent 2 seasons na team ya taifa haitwi unalizungumziaje hili???????
miraras everton hana namba ila national team anapangwa huyu nae utamzungumziaje??????
kante team ya taifa alikua anakaa benchi mbele ya pogba hukuona??????
cahili zama zake zimepita, sijajua unamkingua kifua kwa vigezo gani??????
 
Magoli tuliyofungwa na Crystal Palace la kwanza la kujifunga na la pili limetokea upande wa Azpilicueta.
Magoli ya Roma la kwanza limetokea kwa Azpilicueta la pili ni kosa la Christensen kuchelewa kumkaba Dzeko baada ya kupigwa pasi ndefu la tatu kichwa sasa Cahill kosa lake lipi hapo? Naomba uwe unaongea kwa facts mkuu siyo kusema flani kasema hivi flani kasema vile hata wewe unaweza kuwa flani na ukasema pia ukipata nafasi ya kusema

umemsikia vice captain jana alivosema baada ya ku draw na rom??????????
anakwambia morali ya team ipo chini, unajua 7b nini?????? cahil hawezi kuwafokea wenzake kama hawajitumi wakati wanajua fika wamemzidi kiwango, hivi unadhani cahil anaweza mwambia david luiz kuwa umekosea au hujitumi?????
cahili anaweza muambia hazard kuwa hujitumi??????
cahili anaweza muambia azpiculeta kuwa goal mbili zote uzembe wako??????
remember, kipindi cha captain terry.
 
kigezo cha kuanza team ya taifa sio facts, mbona mikel obi hakucheza hata mechi moja chini ya conte na team ya taifa alikua anaanza na alikua captain??????
david luiz kacheza vizuri recent 2 seasons na team ya taifa haitwi unalizungumziaje hili???????
miraras everton hana namba ila national team anapangwa huyu nae utamzungumziaje??????
kante team ya taifa alikua anakaa benchi mbele ya pogba hukuona??????
cahili zama zake zimepita, sijajua unamkingua kifua kwa vigezo gani??????
usipoitwa timu ya taifa ni either perfomance yako imeshuka au wapo walio perform zaidi yako
David Luiz kacheza vizuri sawa vipi kuhusu akina Marquinhos,Miranda na T.Silva? Je aliperform vizuri kuliko hao?
Usinidanganye mkuu Mirallas tangu aanze kukosa namba Everton haanzi Belgium labda iwe mechi ya kirafiki au wameshaqualify
Kante tangu aanze kuitwa timu ya taifa lini kakaa bench?
kwanza Kante na Pogba ni nafasi mbili tofauti watu wakumuweka Kante nje ni akina Matuidi na Labda Rabiot na je tangu Euro 2016 baada ya Kante kuperform Leicester lini ulimuona anawekwa bench?
 
umemsikia vice captain jana alivosema baada ya ku draw na rom??????????
anakwambia morali ya team ipo chini, unajua 7b nini?????? cahil hawezi kuwafokea wenzake kama hawajitumi wakati wanajua fika wamemzidi kiwango, hivi unadhani cahil anaweza mwambia david luiz kuwa umekosea au hujitumi?????
cahili anaweza muambia hazard kuwa hujitumi??????
cahili anaweza muambia azpiculeta kuwa goal mbili zote uzembe wako??????
remember, kipindi cha captain terry.
Mbona unahama point moja kwenda nyengine mkuu hapa tunaongelea jinsi unavyosema Cahill ndiyo chanzo cha Chelsea kufungwa hatuongelei maswala ya kuwafokea wachezaji kwasababu hilo hatuwezi kuwa na uhakika nalo maana mimi na wewe hatujui kinachoendelea katika vyumba vya kubadilishia nguo na mapumziko lakini kwa uwanjani Cahill anaiongoza vizuri sana Chelsea.
 
usipoitwa timu ya taifa ni either perfomance yako imeshuka au wapo walio perform zaidi yako
David Luiz kacheza vizuri sawa vipi kuhusu akina Marquinhos,Miranda na T.Silva? Je aliperform vizuri kuliko hao?
Usinidanganye mkuu Mirallas tangu aanze kukosa namba Everton haanzi Belgium labda iwe mechi ya kirafiki au wameshaqualify
Kante tangu aanze kuitwa timu ya taifa lini kaka bench?
kwanza Kante na Pogba ni nafasi mbili tofauti watu wakumuweka Kante nje ni akina Matuidi na Labda Rabiot na je tangu Euro 2016 baada ya Kante kuperform Leicester lini ulimuona anawekwa bench?

point yangu ni kuwa kuitwa team ya taifa kunategemea na taifa lenyewe,
assume fabregas+marcos alonso alonso wangekuwa uingereza wasingeitwa??????????
mbona hujaongelea mikel obi kuitwa na kucheza national team wakati conte kamuona kakata ringi na hawezi kashikashi za kukimbizana na vijana??????
cahili ni LIABILITY, kama hadi makocha kama roy hodgson wanakwambia walim target yeye then wewe khalifa unabisha,
hadi hapo nshapata jibu.
roy hodgson anakwambia game plane yake ilikua ni kumtarget cahili kwa kasi ya zaha na akaanikwa,
thierry henry kashaongea sana kuhusu cahili ndo weak point then unataka tukuamini wewe kwa kuangalia starts wakati wenyewe tuna macho.
 
Mbona unahama point moja kwenda nyengine mkuu hapa tunaongelea jinsi unavyosema Cahill ndiyo chanzo cha Chelsea kufungwa hatuongelei maswala ya kuwafokea wachezaji kwasababu hilo hatuwezi kuwa na uhakika nalo maana mimi na wewe hatujui kinachoendelea katika vyumba vya kubadilishia nguo na mapumziko lakini kwa uwanjani Cahill anaiongoza vizuri sana Chelsea.

cahili anaiongoza vizuri chelsea?????? haaaaa haaaaa ushaanza komedi sasa.
kama captain ana kiwango kibovu ndo mwanzo wa kuwashusha na wengine ndo maana azpiculeta anakwambia chelsea morali ipo chini.
conte atakuja kuvuna mabua akiendelea kucheka na akina cahili.
cahili asingekuwa muingereza ungeona nguvu ya media za uingereza, ona willian haja perform mechi za karbuni ila mashabiki wamemshikia bango sana, sasa kwanini cahili????? mtoto wa nyumbani.
ndo maana huwasikii akina lampard wakimuongelea ila utawasikia akina thierry henry & co.
 
WAKUU TATIZO CONTE MSIMU ULIO PITA ALICHUKUA UBINGWA KWA KIKOSI CHA JOSE
SAIZI ANASAJILI WATU WASIO ELEWEKA ONA TIMU YETU INAVYO FANYA DAAH
 
Back
Top Bottom