The boss, nimekudondokea!

Status
Not open for further replies.
umepigwa tongozo, anza kung'ata majani kwa aibu, na kusugua miguu kuonyesha umekubali ku dropisha kufuli

Wakati anaendelea kuuma majani, namuandalia na verse za ki utu uzima.

"Ewe kaka mwenye shingo ya twiga, kifua kipana kama gazeti la Mzalendo, umeucharangacharanga moyo wangu vipande milioni moja..."
Mengine ntaendelea badae
 
umedondokea nini sasa? Mtu mwenyewe kanuuuuuuuna bora umdondokee The Finest na upara wake, atleast analipa!
 
nani kanuna?
'usifukuze ndege wa watu aisee' lol
Huyu hajakutana na " a prince of darkness", they don't have pretty faces, but I tell you they have powers to envoke the demons of forbidden passion. Ndo sura ya huyu mkaka.
Hanifukuzi, nshajipakaza ulimbo mwili mzima labda aamue kuninyonyoa manyoya.
 
WeWe Kongosho, mbona una jina la kiume.., au ndio utekelezaji wa sera za donald cameron umeanza.
 
Huyu hajakutana na " a prince of darkness", they don't have pretty faces, but I tell you they have powers to envoke the demons of forbidden passion. Ndo sura ya huyu mkaka.
Hanifukuzi, nshajipakaza ulimbo mwili mzima labda aamue kuninyonyoa manyoya.

ondoa wasi wasi manyoya utanyolewa kitaalam....kabisaaa lol
 
Kwa wadada, kama kuna niliyemkwaza pole, mlikuwa naye humu humu siku zote, mie nimeshindwa kabisa kujizuia. Kama kuna aliyekuwa anampimia teh teh teh, ajifunze kusema mapema.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom