Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,674
Kongosho asante kwa kutufungulia njia,ts high time i open up too and end this suffering
daughter usinambie kuwa ulikuwa unasubiri mtu wakukusafishia umande?? Lol!!
Kongosho asante kwa kutufungulia njia,ts high time i open up too and end this suffering
daughter usinambie kuwa ulikuwa unasubiri mtu wakukusafishia umande?? Lol!!
Promo muhimu "Mbwa wako asipobweka bweka mwenyewe. Niacheni nibweke...
jf is never boring....
ngoja achelewe chelewe ...mijitu kibao uina njaa hapaumepigwa tongozo, anza kung'ata majani kwa aibu, na kusugua miguu kuonyesha umekubali ku dropisha kufuli
umepigwa tongozo, anza kung'ata majani kwa aibu, na kusugua miguu kuonyesha umekubali ku dropisha kufuli
Na wewe pia anzisha thread ya kuwadondokea akina the finest. mwezako hapo ndio kafikaumedondokea nini sasa? Mtu mwenyewe kanuuuuuuuna bora umdondokee The Finest na upara wake, atleast analipa!
umedondokea nini sasa? Mtu mwenyewe kanuuuuuuuna bora umdondokee The Finest na upara wake, atleast analipa!
Huyu hajakutana na " a prince of darkness", they don't have pretty faces, but I tell you they have powers to envoke the demons of forbidden passion. Ndo sura ya huyu mkaka.nani kanuna?
'usifukuze ndege wa watu aisee' lol
Huyu hajakutana na " a prince of darkness", they don't have pretty faces, but I tell you they have powers to envoke the demons of forbidden passion. Ndo sura ya huyu mkaka.
Hanifukuzi, nshajipakaza ulimbo mwili mzima labda aamue kuninyonyoa manyoya.
Naona TB anajivunga
Dena
Apendwaye akajua haachi kujizuzuwa ...
hujambo wewe?
ulitaka niruke ruke???lol
kuku keshakuwa wangu.manati ya nini tena?????