GAZETI
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 5,292
- 6,773
Duuh, haya bana!From day one hiyo Avatar yako ilinikonga plus tofauti za wavulana na wanaume ikamalizia kabisa.
Jiandae nimeamua kuleta posa, sitaki michango ntagharimia kila kitu.
Ya nini nife na kijiba cha roho wakati Beijing wameturuhusu kusema hisia zetu.