The boss, nimekudondokea!

Status
Not open for further replies.
Ipi hiyo Boss? Niliyoiona imemaliza na nikihitaji matofali mekundu niku PM

btw huyo Koshongo hahitaji kufundishwa mistari yeye kaachiwa urithi wa unyakanga wa ukoo, uchoke wewe tu

Haloooo

kaitazame tena basi..lol
 
hee hee we mtoto
lugha ya 'manchester tandale' 'arosto' na wewe waijua?
kumbe 'manchester' haikasahaulisha sana?
uliiona pre nup ya beyonce?some pre nup zinawaumiza men...

Hahaha Boss "Tandale oyeeee" au umesahau?!

Inamuumiza nini wakati kuwa na Bee "with her fake baby bump" tayari ujiko kwa Jay Zee!
 
Hahaha Boss "Tandale oyeeee" au umesahau?!

Inamuumiza nini wakati kuwa na Bee "with her fake baby bump" tayari ujiko kwa Jay Zee!

kwa kweli Tandale yetu inakufanya uwe 'more alive and down to earth' lol

kwenye pre nup jay z atamlipa bee dollar milioni tano kwa kila mtoto atakaezaliwa...
 
kwa kweli Tandale yetu inakufanya uwe 'more alive and down to earth' lol

kwenye pre nup jay z atamlipa bee dollar milioni tano kwa kila mtoto atakaezaliwa...

Sasa shida gani?

Mnajua gharama ya mtoto kwa Bee?

Aache kusaka faranga muda mrefu, achakarike gym zaidi kurudisha mwili uwe na mvuto wake wa kila siku.

Milioni tano mbona kidogo?
 
wewe ulitaka kiasi gani?
wewe na kloro mkimshika 'kichwa' kongosho
nitakiona lol

Boss ngoja kwanza, nimeiona ile thread ....hahaha

Hunipatii picha ee. Hapo hujafika hata kwenye suala zima la kupika na kuni.

Unaambiwa uvuke mto ukiuliza daraja unaonyeshwa gogo! Huuuuh
 
Boss ngoja kwanza, nimeiona ile thread ....hahaha

Hunipatii picha ee. Hapo hujafika hata kwenye suala zima la kupika na kuni.

Unaambiwa uvuke mto ukiuliza daraja unaonyeshwa gogo! Huuuuh

hahaa umeona eeh????
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom