Thadei Kweka aachiwa huru

Thadei Kweka aachiwa huru

Taarifa ya hivi punde...

Mmarekani mwenye asili ya Tanzania ambaye alikamatwa huko Kilimanjaro kwa ‘maagizo toka juu’, ameachiwa huru jioni ya leo.

View attachment 3524678

KWA KINA:

Thadei Kweka ameachiwa huru leo January 3, 2026 baada ya kushikiliwa Polisi kwa siku 6 kwa tuhuma za kutoa taarifa za uongo kupitia group la "What sup".

Thadei ambaye ni raia wa Marekani mwenye asili ya Tanzania alikamatwa December 28, 2025 usiku na kushikiliwa kituo kikuu cha Polisi (Central) Moshi. December 31, 2025 alipandishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi na kupewa AMRI ya kutoa password ya simu yake ili polisi waweze kupekua hilo group la "What sup" alikokuwa akifanya uchochezi.

Hata hivyo Thadei alisema hatambui "What sup" ni kitu gani na hana application ya aina hiyo kwenye simu yake. Pia alisema kutokana na unyanyasaji aliofanyiwa na polisi, alipoteza kumbukumbu ya mambo yake mengi ikiwemo password ya simu yake.

Ubalozi wa Marekani ulituma fomu maalumu (Consular Notification and Access Form) ambayo Thadei alitakiwa kusaini ili Serikali ya Marekani iweze kuwa "involved" kwenye kesi yake. Ni kawaida Marekani kufuatilia kesi yoyote inayohusu raia wake. Lakini polisi walikataa asisaini.

Jana Mawakili wa Thadei wali-file "Habeas corpus" ili kuwalazimisha Polisi wamfikishe mahakamani. Pia Ubalozi wa Marekani ukataka kujua kwanini Thadei hajasaini "Consular Notification and Access Form" ili waweze kufuatilia kesi yake. Haraka sana Tahdei akapewa fomu ya ubalozi akasaini jana, na leo ameachiwa huru
Kuna uzi niliuliza 'kwani huyu hana pp ya USA' tumshtue Trump? Hii nchi kuna wajinga watamponza mtu soon.
 
Kama kuna mahali US amekosea, ni kuacha nchi kujitawala sijui kuwa na uhuru wa kujiamulia mambo yake ya ndani, huu upuuzi umesababisha kuwa na viongozi makatili mno kwenye nchi nyingi hasa za kiafrika. US anatakiwa arudi kwenye nafasi yake. Nchi zirudi kwenye mstari wa demokrasia, ukienda kinyume inachukua hatua chap.
💯
 
TOKA MAKTABA :
Prof. Palamagamba Kabudi - Kwa wivu mkubwa wa soveriniti , kamwe hatutapiga magoti !

“NASEMA KAMWE HATUTAPIGA MAGOTI, TUMEONA VIHOJA VYAO”-WAZIRI KABUDI​


View: https://m.youtube.com/watch?v=kifc7RT840A

Watu wapuuzi kama huyu Kabuti, ukombozi wa Tanzania utakapokamilika inafaa siku moja wawekwe hadharani waTanzania wawazomee, na wanaotaka, hata kuwatemea mate wakitaka.
Watu wapumbavu wa aina ya huyu wamechangia sana kuwapa ujasiri wateuzi wao kuwanyanyasa waTanzania..

Kama hawa akina Kabuti; akina Bashite, akina madelu Nchemba na wengine wa aina yao hawataweza kushtakiwa moja kwa moja juu ya makosa yaliyosababishwa na utawala mbovu huu, adhabu yao itolewe na wananchi kwa kuzomewa na kutupiwa matakataka kwa kushiriki kwao kwenye maovu.
 
TOKA MAKTABA

Jeuri ya Prof. Palamagamba Kabudi akibagaza komenti za watu wa mitandao na matamko ya mabeberu

TAMKO ALILOLITOA WAZIRI KABUDI LEO "TANZANIA ITACHAGUA HESHIMA BADALA YA FEDHA AU MISAADA"​



View: https://m.youtube.com/watch?v=QaZ5VGvpemc

Hawa, kuna siku yao ikifika wasiachwe. Ni muhimu wakumbushwe nafasi zao walizochangia katika udhalilishaji wa waTanzania.

Kila mmoja wao atakumbushwa nafasi yake aliyochangia katika dhurma waliyofanyiwa waTanzania..

Orodha yao tutaanza kuiandaa na ushahidi wa michango yao katika kuwaumiza waTanzania.
 
hao venuzera wenyew wameshindwa kumtoa maduro mpk trump kaja kumtoa, Ishu sio unyonge tatizo wanatumia vyombo vya ulinzi kupambana na raia na raia hao hao hawana silaha yoyote
True
 
Hivi lile sinema lao la mwanajeshi feki wa Marekani mwenye suti kama wachungaji wa Mbeya iliishia wapi??

Bongo kweli nyosoooo 😹😹😹😹
vipi umeanza kufua boxa
 
Na hukumu au Maamuzi ya siku hiyo yalikuwaje ?
Sikumbuki vizuri, maana hakuna kesi hapo bali ni kumkomoa huyo jamaa. Katika mazingira hayo usitegemee utaratibu halisi kufuatwa.
 
Kiukweli kuwa raia wa nchi zinazojitambua, it's a very big deal,
US passport imemuokoa, bila hivyo, saa hizi...zamaani!.
Bwana asifiwe

Nakubaliana na wewe.... Kwasasa viongozi wetu wamukuwa Dracula. Kupoteza uhai wa mtu hawaoni shida..... Wanasahau kuwa wote tutakufa.....
 
Delta force, they don't play games, they mean business. alafu anakuja mtu anashika kiuno na kusema who are you? Nchi ambayo bado inaomba pesa za miradi ya kuchimba visima vya maji, nchi ambayo haiwezi kutengeneza hata engine oil? nchi ambayo wakuu wa vyombo vya usalama wanapewa maelekezo na Abdul Amer, utaweza kweli kupambana na mifumo ya mabeberu? Majitu yenye technology ya hali ya juu ,uchumi mkubwa na wenye weredi wa kiwango cha juu,
 
Back
Top Bottom