post election events

After the 2020 United States presidential election, the campaign for incumbent President Donald Trump and others filed 62 lawsuits contesting election processes, vote counting, and the vote certification process in 9 states (including Arizona, Georgia, Michigan, Nevada, Pennsylvania, and Wisconsin) and the District of Columbia.
Nearly all the suits were dismissed or dropped for lack of evidence or lack of standing, including 30 lawsuits that were dismissed by the judge after a hearing on the merits. Among the judges who dismissed the lawsuits were some appointed by Trump himself. Judges, lawyers, and other observers described the suits as "frivolous" and "without merit". In one instance, the Trump campaign and other groups seeking his reelection collectively lost multiple cases in six states on a single day. Only one ruling was initially in Trump's favor: the timing within which first-time Pennsylvania voters must provide proper identification if they wanted to "cure" their ballots. This ruling affected very few votes, and it was later overturned by the Pennsylvania Supreme Court.
Trump, his attorneys, and his supporters falsely asserted widespread election fraud in public statements, but few such assertions were made in court. Every state except Wisconsin met the December 8 statutory "safe harbor" deadline to resolve disputes and certify voting results. The Trump legal team had said it would not consider this election certification deadline as the expiration date for its litigation of the election results. Three days after it was filed by Texas attorney general Ken Paxton, the U.S. Supreme Court on December 11 declined to hear a case supported by Trump and his Republican allies asking for electoral votes in four states to be rejected.
One suit, Michigan Welfare Rights Org. et al. v. Donald J. Trump et al., was brought by black voter groups in Michigan against Trump and his 2020 presidential campaign. Dominion Voting Systems brought defamation lawsuits against former Trump campaign lawyers Sidney Powell and Rudy Giuliani, each for $1.3 billion. Smartmatic brought a defamation lawsuit against Fox Corporation and its anchors Lou Dobbs, Maria Bartiromo, and Jeanine Pirro as well as Giuliani and Powell for $2.7 billion. In the aftermath of the January 6, 2021, attack on the Capitol, several civil suits were filed against Trump, sometimes in combination with other defendants. The plaintiffs include members of Congress, United States Capitol Police officers, and District of Columbia Metropolitan Police officers.
Two criminal cases have also been filed, The State of Georgia v. Donald J. Trump, et al., a racketeering case against Trump and 18 other defendants, and United States v. Donald J. Trump, an election obstruction case in the District of Columbia.

View More On Wikipedia.org
  1. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Maandamano hayapaswi kutokea, mauaji ya Oktoba 29 hayapaswi kujirudia tena, tuna hali mbaya kiuchumi! Suluhusho? Kutumia vitisho!

    Maandamano yakitokea ina maana rasilimali nyingi zitatumika kuwaamnisha hasa WHO ARE YOU kuwa mambo yapo shwari, wananchi wanampenda Rais wao mpaka wanabujijikwa machozi ya maziwa na asali. Kwa upande mwingine hali yetu kiuchumi ni mbaya, hivyo hilo halipaswi kutokea! Mauji ya Oktoba 29...
  2. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Polisi Mbeya yawakamata wanachama wa CHASO kwa tuhuma za kuhamasisha vurugu

    Watu wanne ambao ni wanachama wa Taasisi ya Wanafunzi wa CHADEMA(CHASO) wamekamatwa na wanaendelea kushikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kwa tuhuma za kukutwa wakipanga na kuhamasisha watu kufanya vurugu. Taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sheikh Mwaipopo: Waliopanga kuandamana, tutakayemkamata tutamtahiri bila ganzi

    Sheikh Said Mwaipopo ametangaza kiama kwa Wanaharakati na wote ambayo wanajinasibu kuandamana Julai 07 na kwamba watachoma shule, hospitali na miundombinu muhimu, watashughulikiwa na kikosi kazi maalum ambacho amekitambulisha mbele ya jopo la waandishi wa habari leo Juni 20, 2026 Dar es salaam...
  4. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mambo mengine manne Tanzania inatakiwa kufanya ili kuepuka kitanzi cha Marekani ukitoa Maridhiano

    Wakuu; Ukitoa lile la Maraidhiano ambalo Serikali na CCM wameamua kulibeba na kutumia chawa na kupe wao kusambaza, haya ni mambo mengine manne ambayo wakiyafanya na baada ya Marekani kuthibitisha kuwa kweli yamefanyika ndio wataondoa vikwazo vyao na kuendelea kushirikiana na Tanzania... (1)...
  5. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Media zimeendelea kutumika kama toilet paper suala la mahusiano kati ya Marekani na Tanzania!

    Wakuu, Script ni ile ile yaani, serikali ikivurunda badala ya kutafuta njia ya kutatua tatizo yenyewe ndio kwanza inamwagia Petroli kwenye moto! Bado Tanzania wana machungu juu ya kilichotokea, upande wa Magharibi wanaendelea kutupiga nyundo kila siku, serikali na CCM wako bize kulipa online...
  6. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Haki za Binadamu: Umoja wa Ulaya waendelea kuibana Tanzania kuwajibika kwenye matukio ya Uchaguzi wa 2025

    Wakuu, Yaani akisimama nchale akikaa nchale, hakuna kupumbua, ni mwendo wa kula mabanzi back to back mpaka kieleweke! Ila haya yote ameyataka mwenyewe, kila kitu ameshauriwa lakini wapiii, sikio la kufa! Hapo bado hujaangalia upinzani wa ndani. Badala yake anajaza watu wa nyumbani kwenye...
  7. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Wahalifu Hujificha Kwenye Vurugu: Tahadhari!

    ✍️Mara nyingi tunapozungumzia taharuki au vurugu wengi hufikiria ni suala la kisiasa pekee . Lakini ukweli ni kwamba nyuma ya matukio hayo huwa kuna kundi la wahalifu wanaosubiri mazingira ya sintofahamu ili kutekeleza uhalifu wao. Hawa hawana ajenda ya kujenga Taifa wala kutetea maslahi ya...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kombo aenda ubalozi wa EU Tanzania kuzungumzia vikwazo

    Mliwafukuza wabunge wao kimefika wapi, kubalini yaishe. =============== Leo Mabalozi wa Nchi Wanachama wa Umoja wa Ulaya wamekutana na Mhe. Amb. M.T. Kombo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, kwa mazungumzo ya hali ya juu ya kisiasa. Majadiliano yalilenga: 1. Wasiwasi wa EU kuhusu hali ya...
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Ted Cruz anayetaka Marekani ituwekee vikwazo, sio Rio Ferdinand wa kumhonga tiketi ya ndege na hoteli

    Kombo amewaalika Seneta Ted Cruz kuja Tanzania, kwamba serikali itagharamia kila kitu ikiwamo tiketi ya ndege na hoteli, kwa waMarekani imeonekana kama rushwa. Huu hapa ni utambulisho mfupi tu wa Ted Cruz. Ted Cruz ni mwanasiasa na wakili wa Marekani ni Seneta kutoka Texas (Republican) tangu...
  10. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Mjema: Tanzania inasaka Maridhiano lakini muonekano na vitendo vinaleta picha tofauti!

    Daniel Mjema, Mwandishi wa Habari na mwanafunzi wa Shahada ya Uzamili (PhD) katika Mawasiliano ya Umma Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, amefanya uchambuzi huu na The Citizen.... nini maoni yako? Sio siri tena. Watanzania wanajua, na ulimwengu unajua pia: nchi yetu bado imenaswa katika mgogoro wa...
  11. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Balile kuzindua Makala ya Oktoba 29 Ghana, anasema vipi kama ulichokisikia kuhusu siku hiyo ilikuwa uongo mkubwa wa KUPIKWA?

    Wakuu, Tulijua Balile umeshanunuliwa ila hii ni moto wa kuotea mbali, mbali na kutusaliti sisi umejisaliti hadi wewe mwenyewe, yaani unasaliti hata kile ulichoamua kukisimamia na kukipigania, unasaliti hata kile kinachokufanya uonekane mtu mbele ya watu, ukiondoa the fact kwamba wewe ni...
  12. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 CHADEMA kuanza na oparesheni Katiba Mpya, FreeTundu Lissu

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, amesema chama hicho kitaanza rasmi operesheni ya mikutano ya hadhara nchi nzima mwezi huu, ikiwa ni sehemu ya mikakati yake ya kisiasa na kijamii inayolenga kuhamasisha mabadiliko ya Katiba pamoja na kudai uhuru wa...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Ukimuona kwa mbali utafikiri hana akili, ukimsogelea ndio utajua kuwa ni mweupe amejaa funza, hakuna utafanya cha kumsaidia!

    Wallah tena nawaambia, ukiwa kwa mbali unaweza kudhani macho na masikio vinakudanganya maana muonekano wake unakufanya udhani ni mtu mwenye busara na maarifa, kichwani kuna nondo za kutosha, na moyoni amejaza utu na upendo! Msogelee sasa, ndio utajua kumbe fala falasi, mbinguni hayupo, akhera...
  14. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hii ni stage ya ngapi ya kuwaangushia CHADEMA lawama za Oktoba 29? Mmesahau kama mliwapiga ban? Safari hii hamchomoki!

    Wakuu, Haki nacheka kama mazuri:BearLaugh::BearLaugh::KEKWlaugh:, mara hii mmeshasahau yote yaliyotokea? Aaah bana mbona mnataka kutupa mpira mapema hivi? Sasa hivi mtakuwa mnalia na kusaga meno huko mliko, yaani wote ambao mngewaangushia lawama mliwapiga ban, sasa hakuna mtu wa kumtupia...
  15. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Wanatapatapa mpaka wanaiombea Tume ya Chande Dua! Watanganyika hatutakubali hiyo ripoti ya mchongo!

    Wakuu, Baada ya kiki kubuma na watu mbalimbali ikiwemo viongozi kuanza kusifia matokeo ya tume ya Chande kabla haijatoka sasa wamekuja na kuiombea dua tume hiyo!😂😂 Aloo, watu wanatapatapa kama wamekatwa vichwa, yaani kwa udhalimu na mauji waliyofanya wanadhani Watanganyika tutakubali kitu...
  16. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa Rais Samia ana njia moja tu ya kuepuka kitanzi cha ICC na hasira ya wananchi...

    Wakuu, Njia iliyobaki kwa Rais Samia kuepuka kitanzi cha ICC na hasira ya wananchi kutokana na mauaji ya Oktoba 29, ni kuangusha lawama zote kwa vyombo vya ulinzi, kisha apishe kiti kuruhusu uchaguzi mwingine kufanyika. Aseme vyombo vya ulinzi vilitenda mauaji yale kwa order zao, either kwa...
  17. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Vyama 16 "Kuomba mkutano na Rais Samia", njia ya mkato kuelekea Maridhiano?

    Wakuu, Ikulu wawekea post kuwa Rais Samia ameitikia wito wa wagombea nafasi ya Urais kwa vyama 16. Kwa maneno mengine ni kwamba hawa wagombea ndio wameomba mkutano na Rais Samia ili wajadili pamoja kuhusu hali ya kisiasa na masuala ya maendeleo ya Taifa kwa ujumla. Watu sio wajinga...
  18. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Polisi wenye mitutu wameongezeka jijini Dar, ni maandalizi ya kukabiliana na raia kutokana na matokeo ya Kesi ya Lissu?

    Wakuu, Polisi wameongezeka jijini (Dar es Salaam) kuliko kawaida, maeneo karibu na Mahakama Kuu na sehemu walikokinukisha idadi ya polisi wenye silaha imeongezeka kwa wingi, mpaka wananchi mnabaki kujiuliza kuna nini. Polisi kuwa wengi mtaani huwa haitokei tuu, mara nyingi ni inakuwa ni sababu...
  19. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwa mara nyingine Polisi wakanusha matukio ya TFF, wasema hawajafanya uhalifu

    Wakuu, Naona Jeshi la Polisi linatumia nguvu sana kukanusha uwepo wa kundi hili la Tanzania Freedom Fighters badala ya kutuoneyesha wamefanya nini kuwakamata/kuwadhibiti na kurejesha 'amani' nchini. Ni kama vile wanajaribu kuficha kuliko kudili na tatizo! Baada ya ile clip ya kwanza kusema...
  20. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume ya kuchunguza matukio ya Oktoba 29, 2025 yaongezewa muda mpaka Aprili 3, 2026

    Wakuu, Mambo magumu huko😂🤣🤣, hesabu naona kama zile ya Yanga, hata na kalkuleta bado ngoma mbichiiiii! Hivi kesi ya Lissu inaenda mpaka tarehe ngapi tena?🌚 Jamaa bado anagoma kuingia kwenye Maridhiano ya mchongo? Maana za ndaaaaaaaaani zinasema Lissu ameshafuatwa gerezani zaidi ya mara moja...
Back
Top Bottom