Mwigulu alikuwa anajitekenya na kucheka mwenyewe hakukuwa na kitu kama hicho.😚Hivi na yule waliyesungizia ni Mwajeshi wa marekani kakamatwa na mabomu vipi#
Dah serikali zetu za kiafrika Zina movie za kishamba sana ,USA soldier kwanza akifanya makosa Kwa Sheria zao anashitakiwa marekani tu si vinginevyo
Wewe ongeza pilipili.Lakini hii taarifa yako umeongeza chumvi sio kila kitu asingiziwe Rais bwa a
Dhama ya kipolisi, hakuwahi kupelekwa Mahakama ili awekwe ndaniMahakama zinafanya kazi Jumamosi?
Tanzania haipaswi kuwa hivi ..Kiukweli kuwa raia wa nchi zinazojitambua, it's a very big deal,
US passport imemuokoa, bila hivyo, saa hizi...zamaani!.
Bwana asifiwe
P
Hii Nchi ya kikumasana kumamakezao polisi...Pia Ubalozi wa Marekani ukataka kujua kwanini Thadei hajasaini "Consular Notification and Access Form" ili waweze kufuatilia kesi yake. Haraka sana Tahdei akapewa fomu ya ubalozi akasaini jana, na leo ameachiwa huru
Enzi za awamu ya 5 ulikuwa Pro- government, naona kwa sasa umeamua kuasi mfumo kama ndugu zako kina Idugunde Mzee MwanakijijiUnaishi nchi inalinda uhai wa watu wake kokote kwa namna yoyote hadi una feel proud. Sisi Watanzania tunahitaji kurudi kwenye misingi! Kwasasa uzalendo ni kuunga mkono serikali ya CCM bila kujali uovu wao! Hapana lazima tujiulize upya!
hao venuzera wenyew wameshindwa kumtoa maduro mpk trump kaja kumtoa, Ishu sio unyonge tatizo wanatumia vyombo vya ulinzi kupambana na raia na raia hao hao hawana silaha yoyoteKuna jambo haliko sawa hapa.
Nimesoma michango yote hapa zaidi ya ishirini, yote ikisifu na kushangilia Marekani kuwa na nguvu za kuwatia jambajamba hawa waovu.
Sikuona hata mchango mmoja tu ukisema nguvu waliyonayo waTanzania ya kuwatia adabu mashetani hawa!
Inamaana waTanzania kwa ujumla wetu wote ni wanyonge sana!
Hivi kweli tutasubiri wamarekani na wa aina hiyo ndio waje hapa kutuondoa kwenye utumwa huu?
Tuwape nini hao wamarekani waweze kuona kuwa tuna umuhimu wa wao kuja kutuokoa?
Au tuseme hivi: kwa nini tusitumie fursa hii ya kumwokoa Kweka kwa sisi wenyewe kuwaonyesha hao wakubwa kwamba tunahitaji kuungwa mkono tu katika juhudi zetu wenyewe za kujiokoa?
Ni fikra tu zinavuruga kichwa.
Ukiishii marekani lazima afya iwe juu...Taarifa ya hivi punde...
Mmarekani mwenye asili ya Tanzania ambaye alikamatwa huko Kilimanjaro kwa ‘maagizo toka juu’, ameachiwa huru jioni ya leo.
View attachment 3524678
KWA KINA:
Thadei Kweka ameachiwa huru leo January 3, 2026 baada ya kushikiliwa Polisi kwa siku 6 kwa tuhuma za kutoa taarifa za uongo kupitia group la "What sup".
Thadei ambaye ni raia wa Marekani mwenye asili ya Tanzania alikamatwa December 28, 2025 usiku na kushikiliwa kituo kikuu cha Polisi (Central) Moshi. December 31, 2025 alipandishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi na kupewa AMRI ya kutoa password ya simu yake ili polisi waweze kupekua hilo group la "What sup" alikokuwa akifanya uchochezi.
Hata hivyo Thadei alisema hatambui "What sup" ni kitu gani na hana application ya aina hiyo kwenye simu yake. Pia alisema kutokana na unyanyasaji aliofanyiwa na polisi, alipoteza kumbukumbu ya mambo yake mengi ikiwemo password ya simu yake.
Ubalozi wa Marekani ulituma fomu maalumu (Consular Notification and Access Form) ambayo Thadei alitakiwa kusaini ili Serikali ya Marekani iweze kuwa "involved" kwenye kesi yake. Ni kawaida Marekani kufuatilia kesi yoyote inayohusu raia wake. Lakini polisi walikataa asisaini.
Jana Mawakili wa Thadei wali-file "Habeas corpus" ili kuwalazimisha Polisi wamfikishe mahakamani. Pia Ubalozi wa Marekani ukataka kujua kwanini Thadei hajasaini "Consular Notification and Access Form" ili waweze kufuatilia kesi yake. Haraka sana Tahdei akapewa fomu ya ubalozi akasaini jana, na leo ameachiwa huru
aliyetoa maagizo akamatwe YEYE ili twende sawa!Taarifa ya hivi punde...

Aaah mange watajitahidi hata wampige shoti za kwenye chuchu kabla hawajamuachiaAise! Inaonekana hata Mage Kimambi akisema akanyage Tanzania hawatamgusa!
Marekani hanaga show mbovu. Show zake zinazungumzwaga na Dunia kwa karne.Baada ya kusikia kilichomkuta maduro 🤣🤣🤣🤣
Wazungu hasa Mawarekani ni watu na nusu. Mungu awabariki sanaMungu wabariki Wazungu
Nakuelewa vyema, na mfano wa Venezuela uliotoa wewe ni freshi kabisa akilini mwa watu; lakini hujaeleza chochote kama mabadiliko kila sehemu yamewategemea wababe toka nje kuokoa/komboa nchi zao.hao venuzera wenyew wameshindwa kumtoa maduro mpk trump kaja kumtoa, Ishu sio unyonge tatizo wanatumia vyombo vya ulinzi kupambana na raia na raia hao hao hawana silaha yoyote
Sasa sirikali imlipe fidia ya nauli yake ya ndege na Kwa adha aliyopata ya kusherekea Mwaka Mpya akiwa mbali na watu alipokuja kusherekea nao na shughuli zingine za kifamiliaTaarifa ya hivi punde...