Thadei Kweka aachiwa huru

Thadei Kweka aachiwa huru

Taarifa ya hivi punde...

Mmarekani mwenye asili ya Tanzania ambaye alikamatwa huko Kilimanjaro kwa ‘maagizo toka juu’, ameachiwa huru jioni ya leo.

View attachment 3524678

KWA KINA:

Thadei Kweka ameachiwa huru leo January 3, 2026 baada ya kushikiliwa Polisi kwa siku 6 kwa tuhuma za kutoa taarifa za uongo kupitia group la "What sup".

Thadei ambaye ni raia wa Marekani mwenye asili ya Tanzania alikamatwa December 28, 2025 usiku na kushikiliwa kituo kikuu cha Polisi (Central) Moshi. December 31, 2025 alipandishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi na kupewa AMRI ya kutoa password ya simu yake ili polisi waweze kupekua hilo group la "What sup" alikokuwa akifanya uchochezi.

Hata hivyo Thadei alisema hatambui "What sup" ni kitu gani na hana application ya aina hiyo kwenye simu yake. Pia alisema kutokana na unyanyasaji aliofanyiwa na polisi, alipoteza kumbukumbu ya mambo yake mengi ikiwemo password ya simu yake.

Ubalozi wa Marekani ulituma fomu maalumu (Consular Notification and Access Form) ambayo Thadei alitakiwa kusaini ili Serikali ya Marekani iweze kuwa "involved" kwenye kesi yake. Ni kawaida Marekani kufuatilia kesi yoyote inayohusu raia wake. Lakini polisi walikataa asisaini.

Jana Mawakili wa Thadei wali-file "Habeas corpus" ili kuwalazimisha Polisi wamfikishe mahakamani. Pia Ubalozi wa Marekani ukataka kujua kwanini Thadei hajasaini "Consular Notification and Access Form" ili waweze kufuatilia kesi yake. Haraka sana Tahdei akapewa fomu ya ubalozi akasaini jana, na leo ameachiwa huru
Hao mazafakas wanamuachiaje kirahisi hivyo wakati yule ni mmoja wa wahaini?

Tunataka wamng’ang’anie tuone sasa kama Trump ana uwezo wa kupambana na Samia The Killer anayelindwa na mashehe ubwabwa waliobobea katika kusomea maadui albadri.😂
 
Unaishi nchi inalinda uhai wa watu wake kokote kwa namna yoyote hadi una feel proud. Sisi Watanzania tunahitaji kurudi kwenye misingi! Kwasasa uzalendo ni kuunga mkono serikali ya CCM bila kujali uovu wao! Hapana lazima tujiulize upya!
 
Back
Top Bottom