The liver between
Senior Member
- Mar 9, 2012
- 184
- 312
Wenzetu wanalinda na kuthamini sana uhai, na usalama wa raia wao, hapa kwetu mtu na familia yake wanauwa raia wao zaidi ya elfu 10 ili tu abakie kuitwa rais wa nchi na amiri jeshi mkuu, ona Trump anavyopingwa na raia wake lakini hautosikia mtu katekwa wala kauawa.