Wana jf kauli hii ya msajili anadhani tunavyokaa kimya na wakifanya mambo yao ya kijinga tumenyamaza anadhani akifuta chama hili patakalika hapa nchini? kama alivyozoea kutumwa na magamba sasa hivi hatukubali. Yeye haoni hapo nani mkosefu? jaribu tuone uone sura za watanzania zilivyo.