Tendo la ndoa sio kwa starehe

Tendo la ndoa sio kwa starehe

Kila mtu ana starehe yake ukiona hiyo kitu hapo kati siyo starehe yako ni wewe. Usisingizie wazee wa zamani


Niliwaahidi tisheti nimeleta sijaleta?
 
Hivi kwenye ngono kusingekuwa na Raha watu wangezaa kweli?🤣
 
Imenilazimu kutoa elimu kwa wanadamu wenzangu ili warudi kwenye mstari sababu naona shimoni tunaelekea.
Nimejaribu kufuatilia MAISHA ya wazee wetu na hata baadhi ya maandiko.
1: ukifuatilia maisha ya adamu katika maandiko ni kuwa kila "alimpojua" mke wake, mtoto alizaliwa.

2: wazee wa kale hawakulala chumba kimoja au kitanda kimoja. Walikuwa wakikutana kwa ajili ya kutafuta mtoto tu na sio vinginevyo.

Sababu ya mabadiliko;

  • Picha za ngono zimebadili akili za wanadamu kuona tendo hilo ni kwa ajili ya starehe.
  • Uzazi wa mpango kwa njia za kigeni.
  • Sinema na movies za kigeni.
  • Utandawazi kwa ujumla wake hasa katika mwingiliano wa mila na desturi.
  • Madhara yake;
1: idadi ndogo watoto katika familia.

2: upungufu wa nguvu za kiume na kike.

3: magonjwa ya ngono kwa ujumla wake.

4: ndoa kivunjika mapema sababu ya uzoefu wa ngono kwa wanandoa.

Mengine ongeza wewe JF member including
Madenge Kilewa pangalashaba
tendo la ndoa lina majukumu 2ambayo ni:
1.ni starehe baina ya wana ndoa
2. kuzaa
kuhusu kutolala chumba kimoja haina maana kuwa wana ndoa hawaburudishani,tuache uzushi
 
tendo la ndoa lina majukumu 2ambayo ni:
1.ni starehe baina ya wana ndoa
2. kuzaa
kuhusu kutolala chumba kimoja haina maana kuwa wana ndoa hawaburudishani,tuache uzushi
Mbili weka Moja kwenye mpangilio
 
Unatutakia mabaya wewe, unaamka asubuhi ndonga imedisa sio poa, kila akipita mdada unahisi kuchanganyikiwa, leo uniambie ni kwa ajili ya kuzaliana...mmmh!!
 
Back
Top Bottom