Tendo la ndoa sio kwa starehe

Tendo la ndoa sio kwa starehe

Imenilazimu kutoa elimu kwa wanadamu wenzangu ili warudi kwenye mstari sababu naona shimoni tunaelekea.
Nimejaribu kufuatilia MAISHA ya wazee wetu na hata baadhi ya maandiko.
1: ukifuatilia maisha ya adamu katika maandiko ni kuwa kila "alimpojua" mke wake, mtoto alizaliwa.

2: wazee wa kale hawakulala chumba kimoja au kitanda kimoja. Walikuwa wakikutana kwa ajili ya kutafuta mtoto tu na sio vinginevyo.

Sababu ya mabadiliko;

  • Picha za ngono zimebadili akili za wanadamu kuona tendo hilo ni kwa ajili ya starehe.
  • Uzazi wa mpango kwa njia za kigeni.
  • Sinema na movies za kigeni.
  • Utandawazi kwa ujumla wake hasa katika mwingiliano wa mila na desturi.
  • Madhara yake;
1: idadi ndogo watoto katika familia.

2: upungufu wa nguvu za kiume na kike.

3: magonjwa ya ngono kwa ujumla wake.

4: ndoa kivunjika mapema sababu ya uzoefu wa ngono kwa wanandoa.

Mengine ongeza wewe JF member including
Madenge Kilewa pangalashaba
Kwaiyo tukae na nyege mpaka siku tukihitaji watoto?
 
Kwanza kabisa, thibitisha huyo Adam alikuwapo kweli.
 
According to Mzee Wassira Yes
 
Mm naona tendo la ndoa ni starehe .lakini hizo changamoto ulizo toa zinatokana na utandawazi .hasa hizo video za ngono pia kuna tatizo la mfumo wa maisha kama vile chakula,mazoezi ndio linaleta changamoto hizo za idadi ndogo ya watoto, nguvu za kiume
 
Back
Top Bottom