Tendo la ndoa sio kwa starehe

Tendo la ndoa sio kwa starehe

Eeeh siangalii pcha za ngono, situmii uzazi wa mpango nk..... lakini kuna muda mwili unahitaji jambo na si kwaajili ya mtoto,,hii inaitwaje kitaalamu....
Inaitwa Nyege
 
Hapana, jee yeye anapata hamu wakati gani? Mana ndio mtiaji mimba
Ngoja nijibu kitu kwenye hili...

Mimi mwanaume sina sababu wala kipindi, muda wowote nikikuona nakutamani nakutaka nikupate...
 
lakini nishawahi kua bikira,, kabla hata haijatolewa mwili ulihitaji ndoman ikatolew na hii je

Kiukweli hukufahamu na Bado hufahamu ulifanyalo..... B'se lile unalolipenda hulitendi, bali lile unanalolichukia ndilo unalotamani na kulitenda 👉 hi ni nature ya binadamu wote waliozaliwa kwa kukutana baba na Mama kwanini? Kwasababu sote tuliuzwa kama watumwa kwa dhambi i.e tuliuzwa kuitumikia dhambi ndiyo maana mara zote tunatamani na kutenda mabaya lakini Hakika hatupendi Ndio maana tukimaliza kutenda mabaya tunajisikia hatia ndani yetu👉 nilichotenda sio sahihi

Hakika hakuna mtu anaependa au kutamani kutenda mabaya lakini kwasababu tuliuzwa kuwa watumwa wa dhambi hivyo tunakuwa tunalazimika kuitumikia dhambi tu bila kupenda

Umesema sentensi nzuri Sana 👉 "mwili ulihitaji ndiyo maana ikatolewa" kwanini mwili ulihitaji na ukashindwa kuuzuia hilo hitaji la mwili B'se wewe ni mtu wa mwilini i.e uliuzwa kuitumikia dhambi kwa gharama ya mauti ndiyo maana unashindwa kulishinda hilo hitaji la mwili ......haya ni mambo ya kisheria

Mtu wa rohoni pekee yake ndiye mwenye uwezo wa kushinda hilo hitaji la mwili na mahitaji mengineyo ya mwili ambayo Hakika hatuyapendi ila tunalazimika tu kuyatenda

Kilichotumika kutuuza kuitumikia dhambi ni mauti ndiyo maana mwana wa Mungu alikufa Ili kulipa hiyo mauti na kutununua Ili tuludi katika asili yetu 👉"rohoni" na kuyashinda mahitaji yote ya mwili ambayo kiukweli hatupendi kuyatenda ila tunalazimika kuyatenda
 
Mungu anisamehe
 
Eeeh siangalii pcha za ngono, situmii uzazi wa mpango nk..... lakini kuna muda mwili unahitaji jambo na si kwaajili ya mtoto,,hii inaitwaje kitaalamu....
Ufahamu uliotangulia ndani yako ndo unafanya utake icho kitu maana ushaamini ni haki yako wakati wowote.
 
Acha mambo yako makahaba walianza miaka hiyo tangu za Bwana Yesu huko unataka kusema walikua wanawatumia kwa ajili ya kutengeneza watoto??? na hawakuwa na uzazi wa mpango Wala vitu hvyo ulvyosema ...
Tendo la ndoa n Ibada kwa walio na ndoa wasio na ndoa ni dhambi km dhambi nyingine
 
Siku nikiamka nikajikuta sina nguvu za kuwasasambua nyuchi zao aiseee nahsi huo ndo utakua ukomo wa maisha yng maaana ukitoa neno starehe ila na stress zng natolea uko
 
Back
Top Bottom